WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUA DUKA LA DAWA NA MAGHALA YA BOHARI YA DAWA (MSD),...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati), akihutubia wakati wa uzinduzi wa duka na ghala la Bohari ya Dawa (MSD), mkoani Mbeya leo hii. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu...
View ArticleMCHEZAJI KANU WA NIGERIA ATOA MAFUNZO KWA WATOTO WA KITUO CHA MICHEZO CHA...
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles, Nwankwo Kanu (kulia), akiwaelekeza jinsi ya kucheza mpira wachezaji wa Timu ya vijana waliochini ya miaka 20 ya Sunderland alipotembelea...
View ArticleRAIS JPM ATENGUA UTEUZI WA RC SHINYANGA
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzanaia Dr.John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa shinyanga Ana kilango Malecela kuanzia leo.Utenguzi huo umetokana na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Ana...
View ArticleB/NEWS:Soko la Kayanga Wilayani Karagwe laungua moto
Taarifa zilizotufikia Usiku huu ni kwamba soko la mji wa KAYANGA-KARAGWE limeungua moto na kuteketeza Vibanda vyote chanzo hakijajulikana mpaka sasa . Wananchi wameshindwa kuuzima hoto huo kwa sababu...
View ArticleAFRICA DIGITAL BANKING SUMMIT WILL BE HELD ON 13TH & 14TH APRIL, 2016 AT...
Africa Digital Banking Summit will be held on 13th & 14th April, at Julius Nyerere International Convention Centre, Dar es Salaam from 8.30am- 4.30pm. Topics that will be discussed: 1. E-...
View ArticleUCHIMBAJI WA KISIMA CHA MAJI GERA
Mjini Bukoba , hivi ndivyo yanavyowasili Magari ya Kampuni Master Drilling& Exploration Ltd wachimbaji wa Visima vya Maji,kwa ajili ya Mradi mkubwa wa Maji unao endelea katika Kata ya Gera chini ya...
View ArticleMABAKI YA SOKO LA KAYANGA KARAGWE
Sehemu ya mabaki baada ya soko la Kayanga-Karagwe kuteketea kwa moto
View ArticleLANCET TANZANIA LIMITED YAWAPIGA MSASA MADAKTARI NA WAUGUZI HOSPITARI YA...
Mtafiti wa Magonjwa mbalimbali Dkt Ahmed Kalebi akizungumza na madaktari na wauguzi wa Hosptali ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi wakati wa warsha juu ya matumizi ya maabara ya kisasa...
View ArticleRAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 32 YA KIFO CHA SOKOINE
Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa akimaliza kuweka saini katika kitabu cha Kumbukumbu ya miaka 32 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine kabla ya Ibada...
View ArticleWAZIRI NAPE AHAIDI KUIHAMISHIA WIZARA YAKE KWENYE MIKOA NA HALMASHAURI ZA...
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye leo tarehe 14 April, 2016 akiwa mkoani Kagera ahaidi kuihamishia Wizara yake kwenye mikoa na Halmashauri za Wilaya kwa wadau...
View ArticleRC DAR ES SALAAM NA KOREA KUSINI WAWEKA JIWE LA MSINGI LA HOSPITALI YA...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia) na Makamu wa Rais wa Shirika la Koica la nchini Korea Kusini, Taemyon Kwon, wakiweka tofali kwa pamoja kuashiria uweka wa jiwe la msingi la...
View ArticleMWANAHABARI JOSEPH HAULE AUKIMBIA UKAPERA BAADA YA KUFUNGA NDOA NA DELPHINA...
Mwanahabari Joseph Haule ambaye kwa sasa ni askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Joseph Haule akiwa katika ibada ya ndoa yake. Bibi Harusi, Delphina Joseph Haule Mgesi akiwa katika ibada ya...
View ArticleMPANGILIO WA NDANI YA NYUMBA
Watu wengi hususan wanawake, hupenda kurembesha sebule zao kwa mapambo mbalimbali, wakati mwingine bila kufahamu kuwa mapambo hayo yanaweza kuharibu mwonekano wa nyumba. Katika kipengele cha mitindo na...
View ArticleRAIS MAGUFULI AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Magufuli leo amemsimamisha kazi rasmi mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam Wilson Kabwe kutokana na kusaini mikataba yenye harufu ya rushwa.Kusimamishwa...
View ArticleSERIKALI KUCHUNGUZA MKATABA WA JENGO LA MACHINGA COMPLEX
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda (kulia), akikagua vizimba katika Jengo la Machinga Complex Dar es Salaam jana, baada ya kufanyika kikao cha kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa kilichoketi...
View Article