$ 0 0 #BREAKINGNEWS: Wabunge bila kujali itikadi zao za kivyama wametoka nje ya kikao cha Bunge baada ya Naibu Spika kukataa kauli ya serikali kuhusu wanafunzi wa Chuo cha Dodoma waliosimamishwa kujadiliwa.