USALITI NI KAZI NZITO MNO !
Unatakiwa kufuta meseji, kuweka password kwenye simu, kutumia gharama nyingi za kuandaa venue ya kukutania na mchepuko ikiwemo na kumhudumia (kwa wanaume), kufuta meseji katika mitandao ya kijamii...
View ArticleCAMERA YETU MTAANI LEO IJUMAA MAY 20,2016
Ghuba lililojaa uchafu ndani na nje ya eneo la soko kuu Mjini Bukoba Kijana Mkhusini kama alivyokutwa akiwa na mpwa wake mtaani mapema ya leo Taswira mjini kati na Camera yetu leo Ijumaa May...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MSIBA MKUBWA MEI 21 MIAKA 20 YA AJALI YA MELI YA MV.BUKOBA
Mei 21,1996 katika ziwa Victoria,Mwanza Tanzania meli ya Mv Bukoba ilipata ajali na zaidi ya watu 800 kupoteza maisha yao.Meli ilizama kilomita 30 kukaribia kutua nanga kwenye bandari ya mwanza...
View ArticleWAZIRI KITWANGA ASIMAMISHWA KAZI RASMI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Charles Kitwanga kuanzia leo tarehe 20 Mei, 2016.Rais Magufuli...
View ArticleMAANA YA BAADHI YA MANENO AMBAYO WANAWAKE HUTUMIA.
1. Sawa bwana (fine)"Sawa" ni neno ambalo hutumiwa na wanawake kumaliza mabishano na mpenzi wake. Wakisema hivyo ujue wanahitaji mwanaume unyamaze hawataki kusikia mabishano na makwazo yako. 2. Dakika...
View ArticleTAARIFA YA KIFO CHA MULANGIRA MOMICIAN KYAI
TANZIA:Taarifa ya Kifo cha Mulangira Domician Kyai Kapisi kilichotokea alfajiri ya jana tarehe 20 May katika Hospitali maalum ya Tumbi Kibaha,Shughuli ya mazishi inatarajiwa kufanyika nyumbani kwake...
View ArticleSHOW YA MIAKA 16 YA JUMA NATURE KUFANYIKA KESHO JUMAPILI MAY 22 LINAS CLUB...
SHOW YA MSANII mwenye jina kubwa katika muziki wa Bongo Fleva nchini, Juma Kassim Kiroboto 'Juma Nature' itafanyika kesho Jumapili May 22 katika Ukumbi wa Linas Night ClubWakazi wa Mji wa Bukoba...
View ArticleMWANACHUO BENADETHA MSIGWA ANAOMBA MSAADA ILI AKATIBIWE MACHO
Jaman wapendwa kuna mwanafunzi mwenzetu amepata upofu akiwa chuo na sisi kama wanafunzi tumeamua kumchangia pesa kama inawezekana akatibiwe ila inahitaji kama milion 30 kwa hiyo kwa yeyote atakaeguswa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE MAY 24,2016
Introducing the long awaited New Windhoek Bottle in Tanzania to create a new experience for you. Same beer, same taste. Try our smart new look and feel great. #AfricasWorldClassBeerMagazeti ya leo...
View ArticleUMATI WASHIRIKI MAZISHI YA OMULANGIRA DOMICIAN KYAI KIJIJINI KIKUKWE - KANYIGO
Ndivo linavyo onekana Jeneza lenye mwili wa Marehemu Omulangira Domician KyaiBaadhi ya wajukuu wakiendelea kutekeleza mira na desturi Umati wa waombolezaji washiriki shughuli ya maziko ya Omulangira...
View ArticleUZINDUZI WA KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION (KFDF) WAFANA
Mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Kariakoo family Development Foundation Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi polisi mstaafu Jamal Rwambow akiogea machache na amekitaka chama hicho kujali maendeleo ya...
View ArticleBWANA EDWIN MASHAYO NA BI. MARY MOLLEL WAUAGA UKAPELA
Bwana Edwin Mashayo na Bi. Mary Mollel wakionyesha vyeti vyao vya ndoa mara baada ya kufunga ndoa takatifu katika kanisa la KKKT - Umoja lililopo chuo kikuu cha Dar es Salaam leo May 28, 2016. Picha na...
View Article'Nyakijoga' Kituo cha Hija cha Parokia ya Mugana
Kituo hiki kilianza mwaka 1954 kama kituo cha Hija cha Parokia ya Mugana.Wakati huo Parokia ya Mugana ilikuwa ikijiandaa kuadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu ilipoanzishwa. Jubilei ilikuwa iadhimishwe...
View ArticleBREAKINGNEWS:SINTOFAHAMU BUNGENI LEO MAY 30,2016
#BREAKINGNEWS: Wabunge bila kujali itikadi zao za kivyama wametoka nje ya kikao cha Bunge baada ya Naibu Spika kukataa kauli ya serikali kuhusu wanafunzi wa Chuo cha Dodoma waliosimamishwa kujadiliwa.
View ArticleTANCDA YAPIMA AFYA ZA WABUNGE DODOMA
Mbunge wa Viti Maalum, Bupe Mwakang'ata (CCM) Mkoa wa Rukwa, akipimwa mapigo ya moyo wakati wa programu maalumu ya wabunge kupimwa afya zao. Programu hiyo ilifanywa bure na Shirikisho la Vyama vya...
View Article#TAARIFA YA MSIBA WA MZEE AUGUSTINE RUTABANDAMA KALEMERA
#TAARIFA YA MSIBA:Mama Mary KALIKAWE wa Kiroyera Tours na mdogo wake Rose Kalemera waanasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa Mzee Augustine Rutabandama Kalemera kilichotokea Ijumaa tarehe...
View ArticleTRA KUGAWA MASHINE ZA EFD BILA MALIPO KWA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOA WA DAR...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alfayo Kidata
View ArticleMATUKIO YA PICHA SHUGHULI YA MATANGA MSIBA WA OMULANGIRA DOMICIAN KYAI
Muonekano wa Kaburi lenye Mwili wa Marehemu Bwana Honest Mushobozi pichani wakata akiwasili kushiliki Misa ya Matanga ya Fr .Medericus Kyaruzi wa Parokia ya Mugana akiongoza Misa ya Shukrani ya...
View ArticleNYUMBA INAUZWA BEI NZURI IPO MAFUMBO -BUKOBA MJINI
Ni Nyumba ya kuishi familia iko vizuri kabisa na maeneo mazuri,Jirani na barabara 1. Ipo Mafumbo *(Society)* 2.Ina vyumba 3 kimoja master. 3. Sitting,dinning, public toilet. 4. Ina Parking ya Gari...
View Article