ASKOFU DK. ABEDNEGO NKAMUHABWA KESHOMSHAHARA AZURU MIJI YA NEW YORK, CHICAGO...
Bishop Keshomshahara preaching in New YorkAskofu Dk. Abednego Keshomshahara, Bibi Melisa Keshomshahara na Katibu Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Mchungaji Elmereck Kigembe watembelea...
View ArticleKIPINDI CHA UNYAYO WANGU: DAVID MANOTI AZUNGUMZIA ADHABU YA WABUNGE WA...
Unyayo wangu ni kipindi kipya kabisa kinachokujia kupita Tone Tv, ambacho kinaletwa kwenu na Mtangazaji wetu Eddie Nyota , kinacholenga shabaha ya watu waliothubutu kufanya jambo fulani katika jamii na...
View ArticleR.I.P REGENDARY MUHAMMAD ALI
Aliyeluwa bondia wa kwanza maarufu mweney asili ya Kiafrika, Mohammed Ali, wa Marekani amefariki leo asubuhi akiwa na umri wa miaka 74.Kulingana na msemaji wa familia yake, bingwa huyo wa zamani wa...
View ArticleKampuni ya Auto Xpress yazinduwa Tawi lake Dar es Salaam
Mgeni rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo (wa pili kulia) akikata utepe kuzinduwa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam. Kushoto...
View ArticleNYUMBA INAUZWA BEI NZURI IPO MAFUMBO- BK
Ni Nyumba ya kuishi familia iko vizuri kabisa na maeneo mazuri,Jirani na barabara 1. Ipo Mafumbo *(Society)* 2.Ina vyumba 3 kimoja master. 3. Sitting,dinning, public toilet. 4. Ina Parking ya Gari...
View ArticleTAARIFA YA KIFO CHA ROBBIN PHILIPO MASHURANO
Familia ya Mzee Philipo Mashurano wa Bwanjai-Kiziba, inasikitisha kutangaza kifo cha Kijana wao Robbin Philipo Mashurano, kilichotokea huko Njombe, mazishi yatafanyika siku ya Jumatatu Trh 6 Juni...
View ArticleMKUU WA MKOA AFANYA ZIARA KIWANDANI KAGERA SUKARI KUJIONEA UZALISHAJI NA...
Kutokana na sakata la uhaba wa sukari nchini Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu aliamua kufanya ziara ya kikazi katika kiwanda cha Kagera Sukari ili kujionea jinsi kiwanda...
View ArticleWILLY MUTABUZI ASIMIKWA KUWA NAIBU KAMANDA WA UVCCM BUKOBA MJINI
Ndugu Willy Mutabuzi mara baada ya kukabidhiwa nyenzo za vitendea kazi za kimila kuwa Naibu Kamanda wa UVCCM Bukoba Mjini Mashuhuda wa tukio hilo
View ArticleMagazetini Leo Alhamisi June 9,2016
 Magazeti ya leo Alhamisi kwa Udhamini wa www.proaktiv.co.tzMagazeti ya leo Alhamisi kwa Udhamini wa www.proaktiv.co.tz
View ArticleUMATI WASHIRIKI MAZISHI YA OMULANGIRA DAUDI MBONEKO KIJIJINI NYABIOKWO BWAJWAI
 Mamia ya waombolezaji wameweza kushiriki mazishi ya Marehemu Omulangira Daudi Mboneko yaliyofanyika jioni ya Jana June 8, Nyumbani kwake Kijijini Nyabiokwo Bwanjai -Missenyi Sehemu ya wanakwaya wa...
View ArticleMATUKIO KIBAO YA BUNGENI DODOMA JANA
 Mbunge wa Viti Maalumu, Bupe Mwakang'ata (CCM), Mkoa wa Rukwa, akiuliza swali kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi) bungeni Dodoma LEO, kwamba serikali ina mkakati gani wa kusimamia fedha...
View ArticleGARI LA ZIMAMOTO LAZINDULIWA WILAYANI KARAGWE NA ZAIDI YA MILIONI ISHIRINI...
Hatimaye baada ya matukio ya moto kuikumba Wilaya ya Karagwe mara kwa mara na kusababisha hasara kubwa kwa wananchi wa Wilaya hiyo kutokana na kutokuwa na gari la Zimamoto uongozi  wa Wilaya hiyo...
View ArticleCHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE CHAFANYA KONGAMANO KUHUSU UADILIFU NA...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dk.Lenard Akwilapo akikabidhiwa picha na Mwakilishi Makazi wa Shirika la KAS, Daniel El-Noshokaty ya waasisi wa ushirikiano kati ya Tanzania na...
View ArticleSAKATA LA RAY C KUCHUKULWA NA POLISI
Usiku wa June 16 kuamkia June 17 kuna video ya mwimbaji wa Bongofleva Ray C ilisambaa mitandaoni na kila mmoja kuzungumza habari tofauti kuhusu clip video hiyo, wapo waliosema Ray C kapata kichaa na...
View Article