PCK Cosmetics $ Kids Closet
PCK Cosmetics $ Kids Closet ni wauzaji wa nguo za watoto tena za kijanja kabisa pia ni wasambazaji wa vipodozi ambavyo havina madhara yeyote wapo Bugabo house Mjini Bukoba
View ArticleWANACHAMA WA RWELU 80'S ASSOCIATION -DAR WALIPOMTEMBELEA NDG ALANUS KASHARABA !!
Kama ilivyokawaida ya wanachama wa wa Rwelu 1980's, Umoja wa wadau Bukoba waliopo Jijini Dar walioungana kwa lengo la kusaidia na kutembeleana pale wanapoona mwenzao amepatwa na lolote Jema au...
View ArticleNOAH YAACHA NJIA NA KUPARAMIA DALADALA, BUZA JIJINI DAR ES SALAAM WANAJESHI...
Wananchi wakiangalia ajali ya Noah yenye namba za usajili T 359 DFQ iliyodaiwa kuacha njia na kuparamia daladala namba T 797 DEW eneo la Buza Njia Panda ya Kitunda jijini Dar es Salaam leo jioni....
View ArticleVideo: Mkutano wa Maalim Seif Washington DC
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Maalim Seif Sharif Hamad, Siku ya Jumamosi June 18, 2016 alifanya mkutano na waTanzania waishio Jijini Washington DC wakati akiwa katika ziara yake ya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNNE 21,2016
Magazeti ya leo Jumanne yanakufikia kwa hisani ya Shule ya Sekondari ya Wasichani 'John The Baptist Girls ' Iliyopo jijini DarMagazeti ya leo Jumanne yanakufikia kwa hisani ya Shule ya Sekondari ya...
View ArticleTUSIFANANE NA WALE WAPENDAO KUONEKANA SAA MBILI KAMILI USIKU
Habari zenu wana Bukoba na Kagera kwa ujumla. Mkoa wetu kwa miakaa michache ya hivi karibuni mpaka sasa umekuwa katika orodha ya mikoa iliyo katika kiwango cha juu cha umasikini. Na kila mara watu...
View ArticleMFUMO WA UCHAMBUZI WA UHAKIKA WA CHAKULA NA LISHE WABORESHWA
Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brg. Jen, Mbazi Msuya akisisitiza umuhimu wa Mfumo wa Uchambuzi wa Uhakika wa Chakula na Lishe (MUCHALI) wakati akifungua semina ya uboreshaji...
View ArticleMchezo wa Shuga wabadilisha tabia za vijana
Mratibu wa mradi wa Shuga akijibu maswali yaliyokua yanaulizwa na kikundi cha wasikilizaji cha Iwawa- Makete mkoani NjombeWakionyesha furaha zao baada ya kuelewa mada ya siku ukihusianisha na maisha...
View ArticleKAULI YA DK. H.G. MWAKYEMBE ALIYOITOA KWA WAANDISHI WA HABARI MJINIDODOMA LEO
Jumatatu ya wiki iliyopita, yaani tarehe 13 Juni, 2016, Gazeti la Kiswahili la kila wiki liitwalo Dira ya Mtanzania lilichapisha ukurasa wa mbele na wa pili kwa maandishi makubwa meusi na mekundu...
View Article*WAKATI MWINGINE KATIKA MAISHA*
Unahitaji watu watakaokudharau ili ukimbilie kwa Mungu. Unahitaji watu watakaokunyanyasa ili uwe shupavu. Unahitaji watu watakaokwambia HAPANA ili ujifunze kujitegemea au ujifunze namna ya kutatua...
View ArticleTIGO PESA YATOA FURSA ZA BIASHARA KWA WAJASIRIAMALI
Mkuu wa Huduma za Kifedha za Tigo, Ruan Swanepoel (katikati), akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Tigo Makumbusho Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu Tigo Pesa kutoa fursa za biashara kwa...
View Article'THE LIQUID LOUNGE' PRE OPENING EVENTS
'Amsha amsha' ya Kiwanja kipya Mjini Bukoba 'The Liquid Lounge' kufanyika alhamisi ya wiki hii June 23 na ufunguzi rasmi utakaofanyika baada ya Sikukuu ya Idd Hakika..hii inakuhusu wewe mdau wa Bukoba...
View ArticleFULL TIME:Germany 0-2 France Euro 2016 Final
Antoine Griezmann scored both goals as France beat Germany to reach the Euro 2016 final in Marseille on Thursday evening Griezmann celebrates after scoring from 12 yards in first-half stoppage time to...
View ArticleELIMU NI MUHIMILI WA TAIFA', UNGANA NA CAMPUS VYBEZ NDANI YA PROTEA HOTEL...
Ili kupambana na changamoto za ajira Nchini kama kijana hususani mwanafunzi wa elimu ya juu, unaitaji mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.#CampusVybez ya #TimeFm @timesfmtz @sandytemu @djj_one @...
View ArticleMagazeti ya leo Jumamosi July 9,kwa hisani ya Shule ya Sekondari ya Wasichani...
Magazeti ya leo Jumamosi yanakufikia kwa hisani ya Shule ya Sekondari ya Wasichani 'John The Baptist Girls ' Iliyopo jijini Dar
View ArticleDC GONDWE ATAKA WAFANYABIASHARA KUWEKEZA KWENYE KILIMO KIKUBWA WILAYANI HUMO
MKUU wa wilaya ya Handeni Mkoani Tanga,Godwin Gondwe amewataka wafanyabiashara kuhakikisha wanawekeza kwenye kilimo kikubwa cha kisasa ambacho kitakuwa na tija kwao ili kuweza kusukuma gurudumu la...
View ArticleDOLE LA KATI LA MBUNGE MR SUGU LILILOSABABISHA AFUNGIWE BUNGENI
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Mr Sugu' akiwaonesha wabunge wa CCM dole la kati Bungeni Dodoma hivi karibuni, kitendo ambacho kilitafsiliwa na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya...
View Article