MUSA SAID AREJEA KUTOKA KATIKA KAMBI YA KIMATAIFA YA COPA COCA- COLA, UFARANSA
Nyota wa soka aliyefanya vizuri michezo ya Shule za Sekondari (UMISETTA) Mussa Bakari akiwasili ndani ya uwanja cha ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kutokea katika kambi ya...
View ArticleMATUMIZI YA TIKETI ZA KAWAIDA KATIKA MABASI YA UDART MWISHO JULAI 30 MWAKA HUU
Mabasi ya Shirika la Mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (UDART) yakiwa makao makuu ya Udart Jangwani jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam...
View ArticlePORTUGAL MABINGWA WA EURO 2016:PORTUGAL 1-0 FRANCE
Ni tukio la kusikitisha mwanzoni mwa mchezo Mchezaji Ronaldo anaumia.Mwanzo mwa mchezo Mchezaji Nani akianza mtanange huoPortugal striker Eder wrote his name in footballing history as his strike gave...
View ArticleSIMULIZI NDOTO ILIYOZIMWA GHAFLA
NDOTO ILIYOZIMWA GHAFLANa Mary Gaston:Kulikuwa na familia moja maskini sana. Ilikuwa familia ndogo ya baba, mama na binti yao wa pekee . Baba ndiye alikuwa mtu pekee mwenye kipato, hata hivyo kipato...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA MRADI WA GREEN VOICES TANZANIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akiwa na kinyago cha mwanamke baada ya kuzindua mradi wa Green Voices Tanzania. Katikati ni mfadhili wa mradi huo,...
View ArticleTAARIFA YA TBN KWA UMMA
Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' (TBN) kinasikitishwa na kulaani vitendo vya baadhi ya Vyombo vya Habari kutumia kazi za wanachama wake (picha,...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 11 JULAI, 2O16
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, na Watoto Mheshimiwa Ummy Mwalim anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani Kagera kuanzia tarehe 15-16 Julai, 2016. Katika ziara hiyo...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA ARDHI, ANGELINE MABULA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula (kushoto), akihutubia wakati akifungua mkutano wa wadau wa uendelezaji milki uliofanyika Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa...
View ArticleDC BUHIGWE ATOA SIKU SABA KUKAMILISHA MFUMO WA NYUMBA KUMI ZA KIUSALAMA
Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Col. Marco Gaguti.******* MKUU Wa Wilaya ya Buhigwe, Mkoani Kigoma, Col Marco Gaguti amewataka Viongozi wa Serekali na jamii Wilayani Buhigwe kuwatumikia...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JULY 13 KWA HISANI YA WINDHOEK LAGER
It’s been a long day and it’s finally over. You head over to your regular watering-hole and order your favourite beer. When the crisp, cold Windhoek Lager first hits the glass you stop and enjoy the...
View ArticleWAZIRI WA UCHUKUZI ATEMBELEA VIWANJA VYA NDEGE JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (kushoto), akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya kuhudumia mizigo, Ndege na abiria ya Swissport inayotoa huduma katika Uwanja wa...
View ArticleKYERWA NA BIHARAMULO KUANZA UTEKELEZAJI AWAMU YA KWANZA YA MRADI WA PS3...
Kiongozi wa Timu ya Uzinduzi wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) mkoani Kagera, Abdul Kitula (kulia) akimkabidhi bahasha iliyo na majina ya Halmashauri mbili zilizopitishwa kuanza...
View ArticleMTOTO AGUNDULIKA AKIWA AMEFUNGIWA NDANI NA WAZAZI WAKE KWA MIAKA 11 MBEYA
Mahali anapo lala kijana Emanuel Fedrick (20)Mkazi wa Mwambeja Kata ya Ilemi jijini kwa zaidi ya Miaka 11 sasa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuficha aibu ya familia. Kijana Emanuel Fedrick (20)...
View ArticleMMOJA AFARIKI KATIKA AJALI MJINI BUKOBA !!
Ajali iliyohusisha magari mawili imetokea mapema ya leo maeneo ya Rwamishenye (KwaKagambo) mjini Bukoba ,na kusababisha kifo cha mtu mmoja mwendesha pikipiki maarufu kama (Assecdo) aliyejulikana kwa...
View ArticleTANZANIA DISTILLERIES LIMITED (TDL) YAZINDUA KAMPENI YA NUNUA, UZA, SHINDA NA...
Meneja Masoko na Udhamini wa TBL Group,George kavishe akiongea na baadhi ya mawakala wakati wa uzindinduzi wa kampeni ya NUNUA, UZA, SHINDA NA KONYAGI kwa wasambazaji wa bidhaa zake .Hafla ya uzinduzi...
View ArticleWAZIRI MWAKYEMBE AAGIZA KAMATI ZA MAADILI YA MAHAKIMU KUANZISHWA MARA MOJA...
Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe (kulia) Akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Salum M. Kijuu.Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu Akiongoza Msafara kuelekea Ofisi ya Mkuu wa...
View ArticleWAZIRI UMMY MWALIMU APIGA MARUFUKU HOSPITALI NA VITUO VYA AFYA VYA SERIKALI...
Mhe. Waziri YUmmy Mwalimu Akizindua Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa KageraManeno yaliondikwa katika kibao cha uzinduzi yakisomwa.Mbunge wa Bukoba Mjini Mhe Lwakatare Akitoa Neno...
View Article