MADIWANI WA HALMASHAURI ZA KYERWA NA BIHARAMULO WAANZA MAFUNZO YA YA...
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, Deusdedith Kinawiro akifuyngua mafunzo ya siku nne ya Madiwani kutoka Hlamashauri mbii za Kyerwa na Biharamuo juu ya namna ya utekelezaji wa Mradi wa Uimarishaji...
View ArticleJIPE MOYO MWANGA UPO
Ipo tofauti kati ya kupita kwenye magumu na kuishi kwenye magumu. Tunapopita kwenye magumu huwa ni ishu ya kitambo kifupi au msimu fulani. Kuishi kwenye magumu maana yake maisha yako ya muda mrefu yako...
View ArticleSERIKALI YATOA MSIMAMO WAKE KUHUSU BENKI YA TWIGA BANCORP
Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu msimamo wa Serikali kuhusu Benki ya Twiga Bancorp. Kulia ni Ofisa Mtendaji...
View ArticleJAMBO TANZANIA WAENDELEA KUWANUFAISHA WANANCHI KWA KUBORESHA HUDUMA ZA MAJI...
Wakiwasili katika Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba Katika picha ya pamoja. Mapokezi Jambo Tanzania is a nonprofit humanitarian organization of volunteers founded in Western Massachusetts in 1998 by DR....
View ArticleKIWANJA CHAWAKA MOTO JIJINI DAR
Kiwanda cha nguo ambacho ni moja ya viwanda vichache vinavyo fanya kazi ambapo kwa sasa kilikua kinatengeneza khanga na vitenge vilivyoanzishwa na baba wa taifa mwalimu Juliaua Nyerere kimeungua moto...
View ArticleBENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA-AfDB YAIPIGA JEKI TANZANIA DOLA MILIONI 200
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB, Dkt. Alberic Kacou, baada ya kumalizika kwa...
View ArticleKANALI MKISI AANZA KUSHUGHULIKIA KERO ZA USHURU WA MAZAO KWA WAKULIMA WADOGO...
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kanali Martin Mkisi akiongea na wakulima wadogowadogo wanaosafirisha mazao yao ya chakula kutoka mashambani mwao wakati alipokutana nao njia akiwa katika ziara...
View ArticleSERIKALI YAKINUSURU CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA KCU 1990 LTD MKOANI KAGERA
SERIKALI YAKINUSURU CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA KCU 1990 LTD MKOANI KAGERABodi na Meneja Mkuu wa KCU 1990 LTD Wasimamishwa Kazi Kuanzia SasaNafasi ya Mrajisi Msaidizi Kagera yasitishwa na Kuteuliwa...
View ArticleMWENGE WA UHURU WATARAJIA KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI...
Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kuzindua miradi ya maendeleo yenye thamani shilingi bilioni 17,729,785,522 Mkoani Kagera ambapo Mwenge huo unatarajiwa kupokelewa Mkoani hapa katikaWilaya Ngara Kata ya...
View ArticleWindhoek Draught Ya Dhamini Miss Sinza 2016!
"Warembo wa Miss Sinza 2016 watembelea ofisi za Mabibo Beer, wasambazaji na wauzaji halali wa Windhoek Lager na Windhoek Draught nchini Tanzania. Mashindano ya Miss Sinza yatafanyika tarehe 29/07/2016...
View ArticleJESHI LA POLISI MKOA WA DAR ES SALAAM LAINGIZA SH.MILIONI 198 KATIKA ZOEZI LA...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna, Simon Sirro, akisisitiza jambo wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Ofisini kwake Dar es Salaam leo mchana alipokuwa...
View ArticleWANACHAMA WA CUF KUPIGA HODI KWA IGP MANGU ENDAPO ATAENDELEA KUKIFUATILIA...
Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Tanzania Bara, Shaweji Mketo, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam , wakati wa kutoa msimamo wa chama hicho kuhusu mikakati ya Jeshi la Polisi dhidi ya...
View ArticleKIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
WAKATI wasanii wa kundi la ngoma za utamaduni la Utandawazi wanajipanga kutumbuiza, watu wengi waliokusanyika kwenye viwanja wa shule ya msingi Bukongo mjini Nansio walikuwa wanajiuliza mtoto Gozbert...
View ArticleMSANII WOLPER ALIYEKUWA MPIGA DEBE WA LOWASSA 2015 ATIMKIA CCM
Msanii Jacquiline Wolper (katikati) ambaye mwaka jana alikuwa mmoja wa wasanii wapiga debe wa aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa, akikaribishwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman...
View Article