JK AANDALIWA MAPOKEZI MAKUBWA BAGAMOYO
Na Richard Mwaikenda, DodomaMWENYEKITI mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Jakaya Kikwete ameandaliwa mapokezi makubwa na wanaCCM wilayani Bagamoyo kesho baada ya kung'atuka wadhifa huo, kwenye...
View ArticleSIMULIZI LETU LEO JUMAPILI JULY 24,2016
Miaka kadhaa iliyopita, hii ilikuwa nyumba ya hadhi ya juu kabisa katika jamii iliyopo hapo. Mmiliki wake alikuwa ni tajiri mno ambae kila mtu angependa kwenda kwake kuomba msaada. Hilo gari lilikuwa...
View ArticleHAPA NA PALE NA CAMERA YETU JULY 2016
Bila shaka unakumbuka na umepata kutumia sabuni za MAGWAJI kwa kuogea kabla ya Ujio wa sabuni ya Imperial (kutoka Kenya)Hakika ni changamoto kubwa kwa ndugu zetu huko Vijijini mpaka sasa Sabuni za...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiweka Sime katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt...
View ArticleMAALIM SEIF KUNGURUMA TENA MAREKANI
Na Mwandishi wetu, PhilladelphiaMakamo wa Kwanza Mstaafu wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, anatazamiwa kunguruma tena chini Marekani wiki...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt Frannie Leutier aliyemtembele Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma...
View ArticleBENKI YA POSTA YAPATA FAIDA YA SH BILIONI 8.84 KABLA YA KODI KWA NUSU YA...
Sabasaba Moshingi akiongea na Waandishi wa Habari (Hawapo kwenye picha) juu ya Utendaji kazi wa Benki ya Posta kwa Nusu mwaka. Katikati ni Mkurugenzi wa Fedha Regina Semakafu na Mkurugenzi wa Sheria,...
View ArticleSIMBA APIGWA 2-0 NA JKT RUVU KATIKA FAINALI ZA FASDO FOOTBALL CUP JIJINI DAR.
Timu ya Simba chini ya Umri wa Miaka 20 wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mpira kuanza dhidi ya JKT Ruvu Timu ya JKT Ruvu chini ya umri wa miaka 20 wakiwa katika picha ya pamoja kabla mechi...
View ArticleWATEJA WAFURAHIA MICHUANO YA ICC INAYOONEKANA KUPITIA STARTIMES
Meneja Mauzo wa StarTimes Tanzania, Bw. David Kisaka akizungumza na timu ya StarTimes na maveterani wa uwanja wa Mwembe Yanga – Temeke kabla ya mchezo wa kirafiki uwanjani hapo. StarTimes iliweka...
View ArticleKARIBU KIPEPEO DESIGNER (jack)
Jack kipepeo designer ni washonaji wa nguo katika mitindo tofauti tofautiKwa wanawake wanaume na watoto. Mishono ya vitenge na vivalio vya kisasaKaribu sana kipepeo designer (jacky)Anapatikana...
View ArticleHOMA YA INI B NA C KUTOKOMEZWA IFIKAPO MWAKA 2030
Baadhi ya vijana waliokuwa wakitumia dawa za kulevya wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali wa kutokomeza homa ya ini wakielekea kwenye maadhimisho ya siku ya homa ya ini yaliyofanyika viwanja vya...
View ArticleMPANGO WA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHAMIA DODOMA WIKI IJAYO WAKAMILIKA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Uratibu, na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb)amepokea Mpango Mkakati wa Kuhamia Dodoma wiki ijayo wa Ofisi ya Waziri Mkuu leo Jijini Dar es...
View ArticleMRADI WA HARAMBEE NI MKOMBOZI WA WANANCHI WA KIJIJI CHA CHOLE, MAFIA - PWANI
Mwenyekiti wa Kijiji cha Chole, Shehari Ahmadi akielezea waandishi wa habari maendeleo ya kijiji cha Chole ikiwa ni pamoja na kutolea ufafanuzi suala la kauli iliyoleta mkanganyiko hivi karibuni ya...
View ArticleMARAIS WASTAAFU NCHI ZA AFRIKA WAWASILI JIJINI DAR KUHUDHURIA MKUTANO MKUU WA...
Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mheshimiwa Thabo Mbeki (pichani kulia) akiwasili leo jijini Dar Es Salaam akiwa na Mwenyeji wake Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI Profesa Joseph...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SEKRETARIETI NA...
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa mara baada ya kuwasili makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma. Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akijiandaa...
View ArticleTASWIRA YA MJI MDOGO WA NSHAMBA MULEBA
Pichani wanaonekana Wananchi wakifua mtoni Kutokana na shida ya maji kwa baadhi ya maeneo hali hii huwa ndio suluhisho kwa jamii fulani huko Vijijini kwetu, hapa ni maeneo ya Kalela Nshamba Wilayani...
View ArticleTKIFO CHA JOSEPH SANGA WA TANZANIA DAIMA!
TANZIA.Mpiga picha mkongwe wa habari nchini ambaye amewahi kuwa mpiga picha mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga (pichani) amefariki dunia. Senga ndiye aliyepiga picha ya Daudi Mwangosi...
View ArticleSIA PIUS NDIYE WINDHOEK DRAUGHT MISS SINZA 2016
Windhoek Draught Miss Sinza 2016, Sia Pius (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Catherine Listoni (kushoto) na mshindi wa tatu Hafsa Mahamood baada ya kutangazwa mshindi Hoteli...
View ArticleBOHARI LATEKETEA KWA MOTO SINZA LEGO JIJINI DAR JIONI HII
Bohari likiwa linateketea kwa moto jioni hii Sinza LegoMmoja wa kijana ambaye alifika kushuhudia tukio hilo akipanda juu ya Ghorofa baada ya kunusurika kudondokea katika moto huo Moto ukiendelea kuwaka...
View ArticleLOWASSA, MBOWE NA NAPE WAONGOZA KUUAGA MWILI WA MPIGAPICHA MAREHEMU SENGA
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (kushoto) akifuatana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, Naibu Waziri wa wizara hiyo, Annastazia Wambura, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
View Article