JPM AKOSHWA NA DC WA IGUNGA JOHN MWAIPOPO, AAMURU STENDI YA BASI NA SOKO...
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe John Mwaipopo akielezea changamoto za Stendi ya Mbasi ya abiria na Soko jipya zinazoikabiri wilaya hiyo wakati wa mkutano...
View ArticleDC TUNDURU JUMA HOMERA AWATIA MBARONI VIONGOZI 4 KWA TUHUMA ZA KUUZA VIWANJA.
Askari akiwa amewakamata Viongozi wawili wa Serikali ya Kijiji waliokuwa wakituhumiwa kwa ubadhirifu wa viwanja.Mkuu wa Idara ya Ardhi na Maliasili Ndugu Japhet Muogopeni Mnyagala akizungumza mbele ya...
View ArticleMKUTANO WA LOWASSA NA WANAFUNZI MUHIMBILI WAZUILIWA
Na Dotto MwaibaleUONGOZI wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba Shirikishi Muhimbili (MUHAS) umezuia mkutano uliokuwa ufanywe na baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho na Waziri Mkuu wa zamani Edward...
View ArticleAirtel Money yaingia ubia na NMB bank kuongeza ufanisi kwa wakala wake.
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colasso akiongea wakati wa kutambulisha kuhusu Money airtel kuingia ushirikiano na NMB banki ili banki ya NMB ihudumie wakala wa Airtel MoneyAirtel Money yaingia...
View ArticleSHIDA KUBWA YA MAJI WILAYANI KARAGWE!!
Ukweli ni kwamba ukiwa nje ya wilaya hii ya Karagwe hutawaza kwamba kuna uwezekano wa kuwepo tatizo la maji la kiasi hiki katika maeneo mengi na Mji wa Kayanga ambao ndio makao makuu ya Wilaya yenye...
View ArticleDC ILALA,SOPHIA MJEMA AZINDUA UWANJA WA NETIBOLI NA KIKAPU SHULE YA JANGWANI...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akifunga goli wakati wa uzinduzi wa uwanja wa Netiboli na Mpira wa Kikapu wa Shule ya Sekondari ya Jangwani uliojengwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kidoti,...
View ArticleWASANII, WATANGAZAJI NA WATU MAARUFU KUVUNA MAPESA KUTOKANA NA MITANDAO YAO...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Aggrey and Clifford, Rashid Tenga alielezea machache mbele ya wageni na waandishi wa habari waliohudhuria uzinduzi huo juu ya huduma mpya ya matangazo katika bara la Afrika...
View ArticleR.I.P REGENDARY RAMADHAN JUMA
Pigo jingine kwa mashabiki wa soka Mkoani Kagera na Taifa kwa ujumla baada ya kumpoteza mdau mkubwa ,aliyekuwa mchezaji wa Zamani RTC ,Mwl wetu na Mwl wa timu ya Under 20 msimu huu KAGERA Sugar Fc...
View ArticleTAARIFA YA MKUU WA MKOA WA KAGERA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU WIKI YA...
Ndugu Waandishi wa Habari, Wiki ya Agosti 1 hadi 7, Tanzania huungana na nchi nyingine ulimwenguni kuadhimisha wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama Duniani. Maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika tangu...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 04 AGOSTI, 2O16
Ndugu Waandishi wa Habari, Katika Mkoa wetu wa Kagera vimeibuka vitendo vya hujuma hasa wakati huu wa majira ya kiangazi (hususani mwezi Juni na Julai 2016) ambapo wananchi wenye nia mbaya na Taifa na...
View ArticleMAALIM SEIF AZUNGUMZA NA WAZANZIBARI BOSTON
Na Mwandishi wetu Boston Karibuni wapenzi Wasomaji wetu katika sehemu ya nne ya mfululizo wetu wa makala ya "Maalim Seif azungumza na Wazanzibari Boston" katika mkutano wake na Wazanzibari uliofanyika...
View ArticleCHAMA CHA WAFANYAKAZI COTWU (T) KANDA YA DAR ES SALAAM CHAFANYA MKUTANO WAKE...
Kaimu Mkurugenzi, Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), Shanes Nungu (katikati), akihutubia wakati akifungua mkutano mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania COTWU (T),...
View ArticleMAONESHO YA NANE NANE MKOANI KAGERA YAZINDULIWA RASMI NA MKUU WA MKOA NA...
Maonesho ya Wakulima ya Nanenane ya mwaka huu 2016 Mkoani Kagera tayari yamezinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu katika uwanja wa kilimo wa Kyakairabwa...
View ArticleWANANCHI WAZIDI KUFURAHIA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINI
Mmoja wa wananchi waliotembelea maonesho ya Kilimo na Mifugo ya Nanenane Kanda ya Kaskazini yanayofanyika kwenye uwanja wa Taso Themi akipata maelezo kwenye banda la kampuni ya Simba CementMeneja Mauzo...
View ArticleSTARTIMES YACHANGIA MADAWATI MKOANI MTWARA
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Bi. Anastazia Wambura (kushoto) pamoja na Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Bi. Zuhura Hanif (kulia) wakiwa kwenye baadhi ya madawati...
View ArticleMJINI BUKOBA :MASHINDANO YA POOL TABLE YA NANE NANE KUFANYIKA LEO NEW COFFEE...
Mashindano ya Pool Table ya Nane nane (“88” Pool Competition 2016) yanatalajia kufanyika leo Jumatatu Aug 8 @New Coffee Tree Hotel kuanzia majira ya Saa 8 Mchana. Wadau wa pooltable mnakaribishwa sana...
View ArticleJESHI LA POLISI NCHINI KUVIFUNGA VYUO VYA UDEREVA VISIVYO NA SIFA
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamishina wa Polisi (DCP), Mohamed Mpinga (wa pili kushoto), akizungumza na wamiliki wa shule za udereva (hawapo pichani), wakati akifungua mkutano wa...
View ArticleJAMII FORUMS YAZINDUA RASMI MRADI WA 'TUSHIRIKISHANE'
Mtandao wa JamiiForums.com umezindua rasmi mradi wa unaowashirikisha viongozi wa kuchaguliwa(hususani wabunge na madiwani), Serikali(Halmashauri) na Wananchi katika kurahisha upatikanaji wa...
View ArticleNAIBU WAZIRI STELLA MANYANYA AZINDUA RASMI MAFUNZO YA KKK KWA WALIMU 1770...
Mhandisi Stella Manyanya Akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Bw. Amantius Msole Wakiwasikiliza Walimu wa KKK Mhandisi Stella Manyanya Mara Baada ya Kuzindua Rasmi Mafunzo ya KKK Kagera Akishuka...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA BUKOBA AFANYA ZIARA YA KUSHUTUKIZA KATIKA MRADI WA MAJI...
Mhe. Kinawilo wa2AA Pili Akiongozwa na Mhandisi Mtagaywa wa Kwenda Kuhakiki Tenki la Maji Juu. Mhe. Kinawilo (wa pili kutoka kulia) aliyeshika Viungio vya Maji Akimhoji Bw. Dismas Martin Juu ya Ubora...
View Article