RAIS DKT. MAGUFULI AANZA ZIARA YAKE MKOANI MWANZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella mara baada ya kuwasili katika Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza.Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WA JIJI LA MWANZA UWANJA WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza na maeneo ya kanda ya ziwa katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha...
View ArticleMH.LWAKATARE ATEMBELEA JIMBO LAKE NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO LEO AUG 11.
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Mh. Lwakatare leo Alhamis Aug 11, ameongozana na Kamati ya Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo (CDF) kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo jimboni humo itokanayo na mfuko huo...
View ArticleSHULE ZA FEZA HAZITAFUNGWA
Na Dotto MwaibaleUONGOZI wa Shule za Feza nchini umeibuka na kukanusha taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa wao hawana uhusiano na Fethullah Gulen wala serikali ya Uturuki kwa vile...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WA JIJI LA MWANZA UWANJA WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza na maeneo ya kanda ya ziwa katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha...
View ArticleCHRISTIAN BELLA ALIVYONOGESHA MKUTANO WA RAIS MAGUFULI JIJINI MWANZA
Mwanamuziki nyota Christian Bella akikonga nyoyo za maelfu ya wananchi wa jiji la Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza...
View ArticleAJALI YA LORI YATOKEA LEO MJINI BUKOBA AUG 14
Ajali ya Roli imetokea Usiku wa kuamkia leo Mjini Bukoba eneo la Rwamishenye (round about)tunaendelea kufatilia taarifa rasmi zinasema mtu mmoja amepoteza maishaTaarifa zinasema mtu mmoja (mwanamke...
View ArticleMagufuli aisifia ‘Sizonje’ ya Mrisho Mpoto, ategua fumbo la mashairi yake
Utunzi mahiri wa mashairi na ughani uliotukuka wa Mrisho Mpoto, umeligusa sikio la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ameeleza kuwa shabiki mkubwa wa kazi za...
View ArticlePATA SIMULIZI LA LEO
Baba mmoja alikuwa akila chakula kwa furaha na mke wake ambaye alikuwa siku za mwisho akijitazamia kabla ya kujifungua mtoto wao wa kwanza. Mara mama akaanza kulalalamika maumivu ya kichwa na baba...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 16 AGOSTI, 2O16 UJIO WA WAZIRI RUKUVI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani Kagera kuanzia tarehe 18-19 Agosti, 2016. Katika ziara hiyo Mhe....
View ArticleALI KIBA LADY JAY DEE WAFUNIKA TAMASHA LA SEREBUKA 2016 LILILOANDALIWA NA...
Msanii, Ally Salehe 'Ali Kiba' akishambulia jukwaa wakati akitumbuiza kwenye tamasha la kutimiza miaka Miwili ya Chaneli ya Startimes Swahili tokea kuanzishwa Kwake. Tamasha hilo lililopewa jina la...
View ArticleBALOZI DR.KAMALA AENDELEA NA ZIARA YAKE KATIKA KATA YA KITOBO AUG 16,2016
Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge,mkoani Kagera ameendelea na ziara yake leo Jumanne Aug 15 Katika kata ya Kitobo na kuongea na wananchi kwenye mkutano wake wa hadhara wenye...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AMPATIA BAJAJI MLEMAVU THOMAS KONE ANAYEJITUMA
Kaimu Mnyikulu ambaye pia ni Naibu Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akimkabidhi funguo na nyaraka Bw. Thomas Kone (35) kwa ajili ya Bajaji mpya ambayo amezawadiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleHongera kwako Mdau wetu Frank Theo kwa safari ya masomo yako ya PhD!
Hongera kwako Mdau wetu Frank Theo kwa safari ya masomo yako ya PhD! Tunayanukuu maneno hako haya katika kukupongeza wewe na familia yako;'Ni kwa neema zake mungu nimekuwa hivi nilivyo. Hatimaye safari...
View ArticleSHINDANO LA MISS ILALA 2016 LAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM
Warembo wanao wania taji la Miss Ilala 2016, wakipozi mbele ya wageni waalikwa katika halfa maalum ya uzinduzi wa shindano hilo iliyofanyika jijini Dar es Salam usiku wa kuamkia leo. Shindano hilo...
View ArticleBALOZI DR.KAMALA AENDELEA KUTEKELEZA AHADI ZAKE KWA KASI KUBWA NA VITENDO
Balozi Dr Diodorus Kamala,Mbunge wa Jimbo la Nkenge wa tatu kutoka kushoto pichani alipotembele eneo Kijiji cha Ishozi katika Kata ya Bugandika Wilayani Missenyi,eneo linalo lalamikiwa na Wananchi...
View ArticleWAZIRI LUKUVI ATATUA KERO ZA WANANCHI WA KAGERA KUHUSU ARDHI AWAPANGUSA...
Mhe. Lukuvi (Kulia) Akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Kijuu Vitabu vya Orodha ya Makampuni Yaliyosajiliwa katika Masuala ya Upimaji wa ArdhiMhe. Lukuvi (wa pili kutoka Kulia) Akiongea na...
View ArticleGHALA LA KAMPUNI YA BOSS SHOPPING CENTRE LTD LIKITEKETEA KWA MOTO JIJINI DAR...
Askari wa Kikosi cha Uokoaji cha Zimamoto wakizima moto uliokuwa ukiteketeza ghala la Kampuni ya Boss Shopping Centre Ltd zilimo kuwa zikihifadhiwa bidhaa mbalimbali eneo la Viwanda Chang'ombe jijini...
View ArticleMKUTANO WA WACHUNGAJI WA KKKT/DKMG 2016
Mkutano wa wachungaji wa KKKT/DKMG 2016 wafanyika Ntoma VTC tangu August 15 hadi 19 chini ya uongozi wa Askofu Dr. Abednego Keshomshahara. Mchungaji Joseph Bocko awakilisha Kanisa la Kiinjili...
View Article