Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY BLOGGER MC BARAKA

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwangu, Aug 23. Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuishuhudia siku hii. Ni neema ambayo sistahili,Napaswa kutambua kwamba kila siku katika maisha yangu ni dhamana,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC GABRIEL DAQARRO AAPISHWA AAHIDI MAKUBWA ARUSHA

Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro akiapa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mrisho Gambo aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha.Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akisaini hati ya kiapo cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKAO MAALUM CHA UVCCM MANISPAA BUKOBA

 Kikao maalum cha Jumuiya UVCCM Manispaa Bukoba chini ya Mwenyekiti wao Mpya Bwana Ashraf Kazinja kilichofanyika mwishoni mwa juma lililopita katikaUkumbi wa Red Cross Mjini Bukoba,Kikao hicho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI AUG 27

View Article

MKUU WA MKOA WA KAGERA AWAAGIZA VIONGOZI MKOANI HUMO KUSIMAMIA HUDUMA ZA AFYA...

MKUU WA MKOA WA KAGERA AWAAGIZA VIONGOZI MKOANI HUMO KUSIMAMIA HUDUMA ZA AFYA KIKAMILIFUMkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu awaagiza viongozi katika Halmashauri za Wilaya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA KAGERA AZINDUA RASMI MPANGO MKAKATI WA KULINDA RASLIMALI ZA...

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu azindua Mpango Mkakati wa Kulinda Raslimali za Uvuvi Mkoani Kagera ili kuondokana na uvuvi haramu na madhara yake yanayosababisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KAIRUKI AUAGIZA MKOA WA KAGERA KUHAKIKISHA DATA CHAFU ZOTE...

Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki akiwa Mkoani Kagera aliawaagiza viongozi wa Mkoa kuhakikisha wanaondoa data chafu za Watumishi katika mfumo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA MISA YA JUBILEI YA DHAHABU (MIAKA 50) YA NDOA YA...

 Rais Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro  Fr. Stephano Kaombwe wakati akiwasili kuhudhuria  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JENISTA ATOA SOMO ​KWA ​MAB​E​​​​NKI, FINCA YAPETA

Sekta za kifedha zinazohusika na utoaji wa mikopo nchini zimetakiwa kutenga utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali wa wadogo, kati na wakubwa ili kuleta unafuu wa masharti ya ukopaji. Hayo yalisemwa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATATU AUG 29

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUSHIRIKISHANE | Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

Meya wa Manisapaa ya Bukoba, Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini na Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media wakisaini makubaliano ya kushiriki katika utekelezaji wa Mradi wa TushirikishaneMradi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAGERA SUGAR WAFURAHIA KURUDI NYUMBANI, WAJIFUA KWA MARA YA KWANZA KAITABA...

Viongozi wa Timu ya Kagera Sugar, Wanamkurukumbi wakiteta jambo leo kwenye Uwanja wa Kagera Sugar kwa mara ya kwanza Tangu Uwanja huo ukamilike hivi karibuni. Na sasa ukiwa tayari kwa Michezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DALADALA LAGONGA MAGARI MATATU MAJI MATITU TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO...

 Wananchi wakiangalia ajali iliyosababishwa na daladala lenye namba za usajili T 397 BVB linalofanya safari zake kati ya Temeke na Gongo la Mboto kwa kuyagonga magari mengine matatu eneo la Maji Matitu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

R.I.P BI ESTHER JOSEPH RWEGASIRA

R.I.P Diwani msitaafu kata Kanyiko Bi Esther Joseph Rwegasira. Kifo kimetokea alfajiri yatarehe 27 Aug huko nchini India alipokuwa anapatiwa matibu. Mwili wake umewasili Jijini Dar Jioni ya leo Jumanne...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU CHADEMA MWANZA ABWAGA

Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza, John Nzwalile amejivua nyazifa zake tatu pamoja na uanachama wa chama hicho kwa madai kuwa chama hicho kimekuwa na ubabaishaji. Mbali na ukatibu wa mkoa, Nzwalile...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

R.I.P MZEE UDD IDD MIRUKO

R.I.P Mzee Udd Idd mwenyekiti wa Mtaa wa Bilele Manispaa Bukoba.Kifo cha marehemu mzee Udd Idd kimetokea mapema ya leo katika Hospitali ya Mkoa Kagera, Shughuli ya mazishi inatalajiwa kufanyika Kesho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA WASITISHA MAANDAMANO YA (UKUTA)

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Mh.Freeman Mbowe amesitisha shughuli za maandamano zilizokuwa zimepewa jina la (UKUTA) kwa Muda wa mwezi mmoja baada ya kuombwa na viongozi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PATA HABARI ZA UHAKIKA ZA KUPATWA NA JUA KUPITIA TOVUTI ZA DAILYNEWS NA...

Kaa tayari kupata habari na matukio motomoto yatakayo kua yakijiri kutoka eneo la Rujewa, Wilayani Mbararali mkoani Mbeya ambako tukio kubwa la kihistoria Duniani linakwemda kushuhudiwa hapo kesho kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC ARUSHA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA DINI

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA DINI Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mheshimiwa Mrisho Gambo(katikati)akizungumza na Askofu wa Kanisa la Anglikan,Dayosisi ya Mount Kilimanjaro,Stanley...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAMILIA YA AL- HAJI ABBAKARI GALIATANO WASHIRIKI NA WADAU KATIKA DUA YA PAMOJA!

Familia ya Al-haji Abbakari Galiatano kwa ukarimu na upendo waungana na jamaa na marafiki wa familia Nyumbani kwa Bwana Abdul Galiatano katika dua maalum ya familia hiyo ya kuwaombea na kuwatakia...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>