MUONEKANO WA NJE NA NDANI YA SOKO KUU MJINI BUKOBA
 Ndani ya Soko kuu Mjini Bukoba,hekaheka za ununuzi wa bidhaa mbalimbali zikiendelea,kilio cha wananchi ni kuona mradi wa ujenzi wa soko kuu la Bukoba unatekelezwa. Muonekano wa Maduka nje ya Soko Kuu...
View ArticleMAELFU WAMZIKA BI ESTHER RWEGASIRA
Hivi ndivyo ilivyokuwa Safari ya Mwisho ya Maisha ya Bi Esther Rwegasira aliyekuwa Mke wa Marehemu Balozi Joseph Rwegasira aliyekuwa Mwenyekiti wa vyama vya wafanyakazi JUWATA, Mkuu wa Mkoa wa kwanza...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ATOA POLE NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE ABOUD JUMBE MWINYI,...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulishwa kwa Bw. Mustapha Aboud Jumbe na Rajabu Aboud Jumbe alipokwenda kutoa mkono wa pole kwa familia ya Rais wa awamu ya Pili...
View ArticleHAPA NA PALE NA CAMERA YETU MTAANI
 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Sheikh Haruna Kichwabuta akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala ,Balozi Kamala alipita kumsalimia sheikh ofisini kwake...
View ArticleSTARTIMES KUONYESHA MICHUANO YA ULAYA KUWANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018
Na Dotto MwaibaleMATAIFA 54 ya Barani Ulaya siku ya Jumapili hii yatashuka dimbani katika harakati za kuwania nafasi ya kufuzu ili kuungana na mwenyeji nchi ya Urusi katika michuano ya kombe la dunia...
View ArticleBENKI YA MAENDELEO YADHAMINI SHINDANO LA GOSPEL STAR SEARCH JIJINI DAR ES SALAAM
Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Benki ya Maendeleo, Peter Tarimo akisaini mkataba wa udhamini wa shindano la Gospel Star Search (katikati) huku meneja wa Mrado huo wa GSS, Samwel Sasali (kushoto)...
View ArticleRAIS MUSEVENI WA UGANDA AWASILI DAR ES SALAAM JIONI HII TAYARI KWA MKUTANO WA...
 Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam leo...
View ArticleUJENZI WA CHUO CHA KISASA CHA UFUNDI STADI VETA KAGERA MBIONI KUANZA MARA...
Na: Â Sylvester RaphaelUjenzi wa Chuo cha kisasa cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Kagera wakaribia kuanza katika eneo la Burugo Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba nje kidogo ya Manispaa ya Bukoba ili...
View ArticleJE, KILIMO BADO KINA NAFASI YA KUKUZA UCHUMI WA TZ NA MKOA WETU WA KAGERA?
MADA YA LEO;JE, KILIMO BADO KINA NAFASI YA KUKUZA UCHUMI WA MKOA WETU WA KAGERA NA TANZANIA KWA UJUMLA? NA JE TUNAWEZA KUFIKIA TANZANIA YA VIWANDA BILA KILIMO?
View ArticleALICHOKIHOJI LWAKATARE BUNGENI JANA
Ndugu Wananchi na wadau wa Bukoba Mjini na Kagera; jana nimepata fursa ya kuuliza swali ambalo limetuumiza vichwa wengi kuhusiana na mkoa wetu kuwa kati ya mikoa mitano maskini Tanzania kwa 39%...
View ArticleUWANJANI KAITABA TIMU YA KILIMANJARO QUEENS YASHINDA 3 -0 DHIDI BURUNDI!
Kikosi cha Timu ya Mpira wa Miguu ya Taifa ya wanawake wa Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens kilichoanza leo kwenye mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki ulichezwa kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini leo na...
View ArticleALICHOKIHOJI LWAKATARE BUNGENI JANA
Ndugu Wananchi na wadau wa Bukoba Mjini na Kagera; jana nimepata fursa ya kuuliza swali ambalo limetuumiza vichwa wengi kuhusiana na mkoa wetu kuwa kati ya mikoa mitano maskini Tanzania kwa 39%...
View Article#TETEMEKOBUKOBA :WATU 10 WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE KADHAA KUJERUHIWA
Mjini Bukoba hali ya taharuki imewakumba wakazi wa Mji huobaada ya kutokea tetemeko la ardhi lililodumu kwa takribani dakika tatu na kusababisha nyimba kadhaa kubomoka, Vifo, Majeruhi na majengo ya...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA 17 WA DHARURA WA NCHI ZA JUMUIYA YA...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na viongozi wenzie wakisimama wakati wimbo wa Jumuiya ukipigwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 17 wa Dharula wa Nchi za Jumuiya...
View Article#TETEMEKOBUKOBA :WATU 10 WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE KADHAA KUJERUHIWA
Mjini Bukoba hali ya taharuki imewakumba wakazi wa Mji huobaada ya kutokea tetemeko la ardhi lililodumu kwa takribani dakika tatu na kusababisha nyimba kadhaa kubomoka, Vifo, Majeruhi na majengo ya...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI IHUNGO KUJIONEA...
Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa atembelea Shule ya shule ya sekondari ya Ihungo kujionea athari iliyojitokeza kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea jana tarehe 10/09/2016 katika Mkoa wa Kagera na...
View Article#TETEMEKOBUKOBA:WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA AONGOZA MAMIA KUAGA MIILI YA...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameongoza mamia ya wananchi wa Mkoa wa Kagera waliofurika uwanjani Kaitaba kuiaga miili ya wapendwa wao waliofariki wakati mkoa huo...
View Article