Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

RAIS DKT MAGUFULI ATOA POLE NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE ABOUD JUMBE MWINYI, AWEKA SHADA LA MAUA KABURINI

$
0
0
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulishwa kwa Bw. Mustapha Aboud Jumbe na Rajabu Aboud Jumbe alipokwenda kutoa mkono wa pole kwa familia ya Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimu wanafamilia  alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa  Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimu wanafamilia  alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa  Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka sahihi kitabu cha maombolezo  alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa  Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba  3, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekezwa jambo na Rajabu Aboud Jumbe alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa  Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016. Nyuma yao ni Mama Janeth Magufuli na wanafamilia wa Mzee Jumbe.
 ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua kaburini na kutoa heshima zake alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa  Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi  Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016. 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na ujumbe wake wakishiriki dua alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa  Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kutoa mkono wa  pole nyumbani kwa  Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016

PICHA NA IKULU

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>