Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

MAELFU WAMZIKA BI ESTHER RWEGASIRA

$
0
0
Hivi ndivyo ilivyokuwa Safari ya Mwisho ya Maisha ya Bi Esther Rwegasira aliyekuwa Mke wa Marehemu Balozi Joseph Rwegasira aliyekuwa Mwenyekiti wa vyama vya wafanyakazi JUWATA, Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa Pwani na baadaye balozi wa Tanzania nchini Zambia halafu akawa Waziri wa viwanda na Biashara, na baadaye waziri wa Kazi na mwisho Waziri wa mambo ya nchi za nje,na Mbunge wa Nkenge mpaka mwaka 2000.
 Maziko ya Marehemu Bi Esther Rwegasira yaliyofanyika Nyumbani kwake Kijijini Bugombe-Kanyigo Wilayani Missenyi yaliongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera na Viongozi wa Vyama na Serikali.
 Wanaonekana Mamia ya Waombolezaji wakiwa na nyuso zenye huzuni wakati wa shughuli ya Ibada ya Mazisho ya Marehemu Bi Esther Rwegasira .
 Umati wa waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya Maziko





 Bw. Hafidh (Nkurukumbi) na Bw. Haruna Goronga pichani
Shughuli ya Maziko ya Marehemu Bi Esther ikiendelea jioni ya Jana Ijumaa Sep 2,1015
Rutta na Tiba ambao ndio watoto wa kiume wa Marehemu Bi Esther Rwegasira wakiweka shada la maua.
 Watoto wa kuzaliwa na Marehemu Bi Esther Rwegasira wakati wa utambulisho
Waonekana baadhi ya wanafamilia pichani
Kutoka Kijijini Bugabo pichani ni  Kaka wa Marehemu Bi Esther Rwegasira
 Kijana Julius (Tiba) Rwegasira akisoma wasifu wa Marehemu Mama yake mzazi Bi Esther Rwegasira
 Salaam za rambirambi kutoka kwa Diwani wa Kata ya Kanyigo
 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Missenye Mh. Tegamaisha akitoa salaa za rambirambi
 Mkuu wa Wilaya ya Missenyi akitoa Salaam za rambirambi
 Diwani wa Kata Kashenye(Omulangira)Adeodatus Rugaibula ameweza kushiriki kikamilifu shughuli hii ya maziko iliyofanyika Kijijini Bugombe-Kanyiko Wilayani Missenyi na kuhudhuriwa na maelfu ya waombolezaji
 Dr. Iganga Gerrad msemaji wa familia ya Marehemu Bi Esther Rwegasira wakati akitoa neno

 Wanaonekana Watoto wa Marehemu Bi Esther Rwegasira katika wimbi kubwa la mawazo
 Wanaonekana wadau pichani muda mchache baada ya Shughuli ya maziko

 Mdau Kelvin, rafiki wa familia ya Marehemu Bi Esther Rwegasiea
Ikafika fursa ya waombolezaji kupata huduma ya Chakula
 Huduma safi ya Chakula ikiendelea kwa watu wote waliweza kushiriki shughuli ya maziko hayo
 Tunaendelea kwa matukio zaidi ya picha......
 Matukio mengine yanapatikana katika ukurasa wetu wa facebook kujiunga Gonga 'Like' katika LINK HII MAZIGO YA BI ESTHER RWEGASIRA KIJIJINI KANYIGO



Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles