Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

UMATI WASHIRIKI MAZISHI YA OMULANGIRA DAUDI MBONEKO KIJIJINI NYABIOKWO BWAJWAI

$
0
0
 Mamia ya waombolezaji wameweza kushiriki mazishi ya Marehemu Omulangira Daudi Mboneko yaliyofanyika jioni ya Jana June 8, Nyumbani kwake Kijijini Nyabiokwo Bwanjai -Missenyi
 Sehemu ya wanakwaya wa Bethania wa Kanisa Kuu la KKKT mjini Bukoba
Ibada ya Mazishi ya 

Mzee Deo (Deka ) Rugaibula pichani kulia akiteta na shemeji yake
Wanafamilia ya Marehemu Omulangira Daudi Mboneko kulia ni Dk. Venant Mboneko












 Ndugu Rahym Kabyemela ambaye ni rafiki wa familia ya Marehemu Omulangira Daudi Mboneko

   Dk. Venus Kataruga kushoto na Bi Happiness Essau wakati Ibada ikiendelea





 Omulangira Ben Kataruga akitoa heshima zake za mwisho .

 Dokta Venus Kataruga wa mwisho pichani wakati akitoa heshima zake za mwisho.









 Marehemu Omulangira Daudi Mboneko pichani wakati wa Uhai wake
 Baadhi ya wajukuu wa Marehemu Omulangira Daudi Mboneko wakitoa heshima zao za mwisho
Mzee Kanati akishiriki kutoa heshima za Mwisho kuaga mwili wa Marehemu Omulangira Daudi Mboneko
 Wasifu wa marehemu ukisomwa na wajukuu.
 Mdau Yunus Kabyemela wakati akiwasili kushiriki mazishi ya Omulangira Daudi Mboneko
 Wajukuu wa Marehemu Omulangira Daudi Mboneko wakiendelea kusoma wasifu wa Babu yao mpendwa
 Mchungaji Milton wa  Ushirika wa KKKT Bwanjai
Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu Omulangira Daudi Mboneko !!


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>