TANZIA: ANKAL MICHUZI AFIWA NA MWANAE
Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin kilichotokea jana Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa masomoni.Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu inafanywa,...
View ArticleTANZIA UK DIASPORA GLASGOW.
Tunasikitika kuwatangazia msiba wa Mtanzania mwenzetu Bi Mwasaburi Hajikilichotokea Jumamosi jioni huko Glasgow Scotland.Mipango ya mazishi inaendelea na mtajulishwa tarehe ya mazishi.Msiba uko...
View ArticleWATANZANIA KUSHUHUDIA COPA AMERICA LIVE KUPITIA STARTIMES
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya StarTimes Tanzania, Mohamed Kimweri (kushoto), akizungumza katika na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kampuni hiyo kupata haki za kuonesha michuano ya Copa...
View ArticleTASWIRA MJINI BUKOBA LEO
Muonekano wa barabara ya tupendani jirani na Bank ya CRDB Tawi la BukobaTaswira mbalimbali katikati ya mji ya Bukoba Swala zima la mchakato wa kitoweo cha SeneneMdau Samuel Lugemalila pichani kushoto...
View ArticleKilele cha wiki ya utamaduni Karagwe May 21, 2016
MwanaKaragwe na Mtanzania kwa ujumla unakaribishwa kuhudhuria siku hii muhimu. Njoo ujionee utamaduni wako. Njoo uijue historia tajiri ya Karagwe.Unakaribishwa pia kwenye majadiliano ya kihistoria...
View ArticleWABUNGE WENGI WAIBARIKI BAJETI WIZARA YA AFYA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim akihitimisha majumuisho ya makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017, bungeni Dodoma usiku huu. Waziri...
View ArticleTANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA WAKADIRIAJI MAJENZI, AFRIKA...
Rais wa Chama cha Wakadiriaji Majenzi Tanzania (TIQS), Samuel Marwa (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo (hawapo pichani), kuhusu Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano mkuu wa...
View ArticleBLOGGERS WATINGA BUNGENI KWA MWALIKO WA WAZIRI NAPE
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (aliyevaa tai) akiwa katika picha ya pamoja na wamiliki wa Blogs (Bloggers) aliowaalika wakati wa kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato...
View ArticleJIFUNZE WEWE MWANAMKE ULIYE SINGLE.
JIFUNZE WEWE MWANAMKE ULIYE SINGLE. 1. Kamwe usisahau kumuomba Mungu wako kabla hujasema "YES" kwa yule unaedhani anapaswa kujenga maisha na wewe. Usikimbilie kuolewa. Kama utakimbilia kuolewa,...
View ArticleUMUHIMU WA MAWASILIANO KATIKA MAHUSIANO!
Kama mwanaume hakupigii simu au hata ujumbe mfupi wa maneno kukujulia hali ila wewe ndio wa kufanya hivyo kila siku ni kwa sababu hataki kukupigia simu wala kukutumia sms. Kama hataki kukupa...
View ArticleNUKTA NYEUSI (REPOST)
Siku moja professor wa saikolojia aliingia darasani na kuwaambia wanafunzi wake wajiandae na Test anayowapa muda huo huo. Wanafunzi walisubiri kwa uoga mno hasa ukizingatia aliwaambia ghafla mno....
View ArticleSHUKURANI TOKA KWA FAMILIA YA ANKAL KUFUATIA MSIBA WA MWANAE MAGGID
Familia ya Ankal Muhidin Issa Michuzi inapenda kutoa shukrani nyingi sana sana kwa ndugu, jamaa, majirani, marafiki na wafanyakazi wenzie kwa kujitoa kwa hali na mali katika wakati huu mgumu wa msiba...
View ArticleRC PAUL MAKONDA ASEMA WANAWAKE NDIO CHANZO CHA UFISADI NCHINI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akikagua machinjio ya Vingunguti baada ya kuzungumza na wananchi wa Kata ya Mnyamani Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala,...
View ArticleKilele cha wiki ya utamaduni Karagwe May 21, 2016
MwanaKaragwe na Mtanzania kwa ujumla unakaribishwa kuhudhuria siku hii muhimu. Njoo ujionee utamaduni wako. Njoo uijue historia tajiri ya Karagwe.Unakaribishwa pia kwenye majadiliano ya kihistoria...
View ArticleBREAKING NEWS:NDEGE YAPOTEA HUKO MISRI
Breaking News:Ndege nyingine yapotoa huko Misri.Egypt Air passenger jet disappears from radar.Flight MS804 from Paris to Cairo with 69 people on board vanished after entering Egyptian air space.Further...
View ArticleIJUE NUSU YA MWEZI WA SHAABANI
IJUE NUSU YA MWEZI WA SHAABANI UTANGULIZI:Ikiwa leo ni tarehe 20 Mei 2016 ni sawa na tarehe 13 mwezi Shaabani 1437H. Wakati naandika makala hiiniko katika Miji Mitakatifu ya Makkah na Madinah...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI BUNGENI DODOMA JANA
Naibu Waziri wa Tamisemi, Seleman Jaffo akijadiliana jambo na Mbunge wa Busokelo, Atupele Mwakibete kwenye viwanja vya Bunge, mjni Dodoma. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG...
View ArticleMAGAZETINI LEO IJUMAA MAY 20,2016
Introducing the long awaited New Windhoek Bottle in Tanzania to create a new experience for you. Same beer, same taste. Try our smart new look and feel great. #AfricasWorldClassBeer
View Article