Tunasikitika kutangaza kifo cha Mzee wetu ,Alhaji Abdulmalick Kabyemela kilichotokea alasiri ya leo tarehe 27 Nov, 2016 katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando Mwanza alipokuwa akitibiwa.
Taarifa kamili kuhusiana na msiba huu ni mtaendelea kufahamishwa muda mchache baada ya mipango yote kukamilika. Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!!