Kesi ya lema
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha yatupa ombi la mbunge Godbless Lema la kutaka marejeo ya kesi yake, yashauri mawakili wake kupinga zuio la dhamana....
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO NOV 23,2016 YANAKUFIKIA KWA HISANI YA WINDHOEK
Magazeti yote yamekufikia kwa hisani kubwa ya Kinywaji Cha Windhoek Beer
View ArticleBARABARA YA KIBETA YASEMEKANA KUKITHIRI KWA AJALI
Waendesha Bodaboda na Magari wametakiwa kufuata sheria za barabarani ili kuiepukana na ajali za mara kwa mara,Rai hiyo imetolewa na wakazi wa Kata ya Kibeta wakati wakiongea na BukobawadauWananchi...
View ArticleRICH MAVOKO FT DIAMOND PLATNUMZ - KOKORO ( OFFICIAL VIDEO)
Naam unaweza kutaza Video mpya hapo chini Rich Mavoko Ft. Diamond Platnumz (Video) – KOKORO Rich Mavoko Ft. Diamond Platnumz (Video) – KOKORO
View ArticleWAREMBO WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2016 WAANZA KAMBI
Warembo wanaoshiriki katika mashindano ya Miss Universe Tanzania 2016 wakiwa wamesimama mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,Fainali itafanyika Novemba 25 katika Hoteli ya Collessium...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
View ArticleTANAPA YAPANIA KUDHIBITI UGONJWA WA KIMETA USIINGIE KWENYE HIFADHI ZA TAIFA
Maafisa wa idara ya wanyapori wakiangalia mmoja wa mizoga iliyokufa kutokana na ugonjwa wa Kimeta katika Shoroba ya Selela wilayani Monduli mkoa wa Arusha. Daktari wa Mifugo wa halmashauri ya wilaya ya...
View ArticleKUHUSU AKAUNTI MBILI ZA MAAFA KAGERA
Na mwandishi wetu.Bukoba.KAMATI ya maafa mkoani Kagera yatumia akaunti mbili kupokea fedha inayotolewa na Mashirika, Makampuni,tasisi na watu binafsi kwa ajiri ya kuchangia waathirka wa tetemeko la...
View ArticleANAANDIKA HAPPY KATABAZI
MCHUNGAJI ANTHONY LUSEKELO USIRUDIE TENA KUFANYA USHETANI HUUNa Happiness KatabaziMITHALI 20: 1 Katika Biblia inasema : " Mvinyo hudhihaki ,kileo huleta ugomvi; Na akosaye kwa vitu hivyo Hana...
View ArticleTANZIA :KIFO CHA MZEE ALHAJI ABDULMALICK KABYEMELA KILICHOTOKEA LEO NOV 27,2016
Tunasikitika kutangaza kifo cha Mzee wetu ,Alhaji Abdulmalick Kabyemela kilichotokea alasiri ya leo tarehe 27 Nov, 2016 katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando Mwanza alipokuwa akitibiwa. Taarifa kamili...
View ArticleRAIS MAGUFULI AWATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA 194
Bendi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) likiingia uwanjani wakati wa sherehe za kutunuku Maafisa 194 wa Jeshi hilo katika viwanja vya Ikulu leo Jijini Dar es SalaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleSimbachawene aagiza Fedha zilizotolewa kwa kaya zisizokuwa na Sifa katika...
Na Rebecca KwanduWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene ameziagiza Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa, Miji...
View ArticleTANZIA :KIFO CHA MZEE ALHAJI ABDULMALICK KABYEMELA KILICHOTOKEA LEO NOV 27,2016
Tunasikitika kutangaza kifo cha Mzee wetu ,Alhaji Abdulmalick Kabyemela kilichotokea alasiri ya leo tarehe 27 Nov, 2016 katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando Mwanza alipokuwa akitibiwa. Taarifa kamili...
View ArticleNALPHINE HOTEL LTD KUSHEREKEA MIAKA 2 TANGU KUFUNGULIWA KWAKE IJUMAA DEC 2.!!
Baada ya maboresha makubwa,sasa Nalphine Hotel Muleba wanatalaji kusherekea Birthday ya kutimiza miaka 2 ,shughuli itakayofanyika siku ya Ijumaa Dec 2,2016 na kusindikizwa na burudani kutoka kwa...
View ArticleRAIS DKT.MAGUFULI AMWANDALIA RAIS EDGAR LUNGU DHIFA YA KITAIFA IKULU JIJINI...
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili AlhajAli Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume wakielekea kwenye dhifa ya kitaifa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AAGANA NA MGENI WAKE RAIS WA ZAMBIA EDGAR CHAGWA LUNGU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Rais...
View ArticleSHUGHULI YA MAZISHI YA KIHISTORIA YA ALHAJI ABDULMALICK KABYEMELA YAKIONGOZWA...
Ndivyo wanavyo onekanaka baadhi ya watoto wa Marehemu Alhaji Abdulmalick Kabyemela na ndugu wa familia pichani wakiwa hawaamini kinachoendelea,ni wakati mgumu kwao ,machozi yanawatoka mbele ya Jeneza...
View ArticleKAMPUNI MAARUFU YA FILAMU YA UJERUMANI KUPAISHA SEKTA YA UTALII NCHINI
Moja ya eneo la lililotumiwa na kampuni ya Polyphon Film ya nchini Ujerumani ikirekodi Filamu inayozungumzia maisha kwa ujumla eneo la Kogatende ndani ya Hifadhi ya taifa ya Serengeti mkoa wa Mara na...
View Article