SALAMU ZA RAMBIRAMBI CCM - KIFO CHA MHE. MUNGAI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Abdulrahman Kinana amemtumia salamu za rambi rambi Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Ndg. Jesca Msambatavangu kufuatia kifo cha Mhe...
View ArticleMZAZI ANAYEPELEKA MTOTO WAKE SHULE BUBU ZISIZOSAJILIWA KUCHUKULIWA HATUA...
Naibu mthibiti mkuu ubora wa shule kanda ya nyanda za juu kusini Aldo Masonda Bw Aldo Masonda Na MatukiodaimaBlog...
View ArticleHOSPITALI YA KAIRUKI KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZAKE KUPUNGUZA MSONGAMANO WA...
Hospitali ya kairuki katika kuboresha huduma zake kwa wagonjwa imeanza kutumia kitengo kipya kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wa kutwa hususani wale wanachama wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya...
View ArticleMATUKIO BUNGENI DODOMA LEO
Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Bulaya na Mbunge kutoka Barza la Wawakilishi Zanzibar, Machano wakiingia bungeni Dodoma leo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG Naibu Spika,...
View ArticlePICHA UAGAJI WA MWILI WA MAREHEMU MHE. SAMWEL SITTA KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE
Mwili wa Marehemu Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta Ukiwasili katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya utoaji wa heshima za mwisho kabla ya kusafirishwa kwenda Bungeni Mjini Dodoma na Hatimaye Mkoani...
View ArticleMKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI ARUHUSIWA KUTOKA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA...
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa anatoka kwenye Wodi ya Sewahaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kurejea nyumbani mara baada ya kuruhusiwa baada ya kupata nafuu. Mama Janeth Magufuli...
View ArticleMBUNGE LEMA ANYIMWA DHAMANA LEO
ARUSHA: Mbunge Godbless Lema anyimwa dhamana baada ya Wanasheria wa Serikali kukata rufaa kupinga maamuzi ya Hakimu kumpatia dhamana. - Wakili wa Serikali ataka asipewe dhamana kwani alisema Rais...
View ArticleKATIKA KUSHEREKEA MAULID HAPO KESHO
Assalaam Aleykum ndugu msomaji!! Jumuiya ya waislam wa Kamachumu waishio Dar es Salaam, wanakualika kwenye sherehe ya Maulid ya mwaka mpya wa Kiislam itakayofanyika kesho Tarehe 13/11/2016 kuanzia saa...
View ArticleWANANCHI ARUSHA WALALAMIKIA UUZAJI HOLELA WA MAENEO YA WAZI
mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo anazindua daraja ambalo limejengwa na wawekezaji lililogarimu zaidi ya shilingi milioni 65 za kitanzania Mkuu wamkoa wa Arusha akiwa anaongea na wananchi wa kata ya...
View ArticleTFS WAENDELEA KUTOA MBEGU KWA VIKUNDI MBALIMBALI
NA MWANDISHI WETUBukoba.WAKARA wa huduma za misitu Tanzania (TFS) wanaendelea kutoa mbegu za viriba kwa vikundi mbalimbali na tasisi pamoja na watu binafisi wenye vigezo ili waweze kupanda miti na...
View ArticleTEA YAKIPIGA JEKI CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA
Mkuu wa Chuo cha TakwimuMashariki mwa Afrika (EASTC) Prof. Innocent Ngalinda akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bw. Joel Laurent (mweyesuti) alipotembelea chuo hicho...
View ArticleSHIRIKA LA NDEGE LA RWANDAIR LIMEPOKEA NDEGE YAKE NYINGINE MPYA AINA YA BOENG...
Baada ya kupokea ndege mpya aina ya Airbus mwezi wa tisa mwaka huu sasa leo tarehe 16/11/2016 Shirika la ndege la Rwandair limepokea tena ndege nyingine mpya aina ya Boeing 737-800...
View ArticleKUTOKA KIBETA BUKOBA SHUGHULI YA MISA TAKATIFU KUMBUKUMBU YA MIAKA 9 KIFO CHA...
Misa ya kumbukumbu ya Miaka 9 tangu kufariki kwa Marehemu Ma Auleria Kobulungo Muganda (1918-2007)iliyofanyika Jana Jumatano Nov 16 Nyumbani kwa Mjukuu wake Josephat Joakhim Matungwa wa Kibeta...
View ArticleSHIRIKA LA NDEGE LA RWANDAIR LIMEPOKEA NDEGE YAKE NYINGINE MPYA AINA YA BOENG...
Baada ya kupokea ndege mpya aina ya Airbus mwezi wa tisa mwaka huu sasa leo tarehe 16/11/2016 Shirika la ndege la Rwandair limepokea tena ndege nyingine mpya aina ya Boeing 737-800...
View ArticleTEA NA CRDB YAKABIDHI VITANDA NA MAGODORO SHULE YA SEKONDARY PANGANI
Meneja Elimu, Habari na Mawasiliano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania Bi. Sylvia Lupembe akisaini kitabu cha wageni wakati wa hafla ya kukabidhi Vitanda vya double deka 24 na Magodoro 48 kwa ajili ya bweni...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA JENERALI FAN CHANGLONG...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni kuu ya Ulinzi ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China Jenerali Fan Changlong...
View Article