MKOA WA KAGERA TARATIBU WAANZA KUREJEA KATIKA ENZI ZA NSHOMILE KATIKA ELIMU...
Na: Sylvester RaphaelKutokana na usimamizi na uongozi thabiti chini ya Mkuu wa Mkoa mahili wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu kiwango cha Elimu mkoani hapa kimeanza kupanda kwa kasi na...
View ArticleMKUTANO MKUU NA KONGAMANO LA WAPIMAJI ARDHI LAFUNGULIWA JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akifungua mkutano mkuu na Kongamano la Wapimaji Ardhi linalofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia leo Novemva 2-3, 2016. Waziri Ardhi,...
View ArticleSoka la Bukoba Kukosa Uzalendo kunachangiwa na Mambo Mengi.
Pichani wanaonekana Mashabiki wa Timu ya Mbeya City.Soka la Bukoba Kukosa uzalendo kunachangiwa na mambo mengi.....hakuna vichocheo. kuna mambo mengi yanatakiwa kuangaliwa mfano ni rahisi kupata jezi...
View ArticleTANZANIA CIVIL SOCETY STATEMENT TOWARDS THE UNFCCC COP22
ForumCC Project Officer Fazal Issa (left) and Dar es Salaam Program Manager of Oxfam Tanzania Heri Ayubu speaking to journalists during a press conference organized by ForumCC, Care Tanzania and Oxfam...
View ArticleUN yawapiga msasa wanafunzi wa Chuo cha Tumaini Makumira juu ya SDGs
Mtaalamu wa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Hoyce Temu akitoa semina juu ya malengo ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs) katika Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira kilichopo mkoani...
View ArticleMAJADILIANO MUSWADA WA HABARI BUNGENI DODOMA LEO
Mwenyekiti wa Jukwaa la Habari Tanzania (TEF), Theothil Makunga (kulia), akiwa na wajumbe wa jukwaa hilo, Jane Mihanji (katikati) baada ya kutoka bungeni Dodoma jana, kusikiliza mwenendo wa...
View ArticleWAMAMA WAWILI WAKAMATWA LEO JIJINI ARUSHA WAKIIBA KWENYE DUKA LA NGUO
picha ikionyesha wamama wawili ambao ni wezi waliokamatwa katika mtaa wa koni eletronic uliopo jijini Arusha wakiwa wanaiba katika duka moja la mfanyabiashara wa nguo ambaye akutaka kutajwa jina lake...
View ArticleHOTUBA YA WAZIRI NAPE BUNGENI WAKATO AKIWASILISHA MBELE YA BUNGE LA JAMHURI...
Hotuba Ya Waziri November-Muswada wa Habari by WHUSM on Scribd
View ArticleDAWA ZA ASILI ZA WAHAYA
Mpenzi msomaji nina kukaribisha katika kujifunza mila na desturi za asili ya wahaya. Naziita mila na desturi za asili maana sasa hivi inawezekana hazipo tena, lakini mimi nazieleza kama zilivyo kuwa....
View ArticleList ya matukio 10 yaliyowahi kuikumba Kagera
Pitia sehemu ya Video hapa chini matukio 10 yaliyowahi kuikumba Kagera
View ArticleCAMERA YETU PANDE ZA KAHORORO LEO NOV 4,
BUKOBA yetu leo, Muonekana ya Vijiji vilivyopo chini ya ardhi maeneo ya Kahororo ndani ya Manispaa ya Bukoba ,Mashamba na nyumba kandokando ya ziwa Victoria vikiwa vinaleta mandhari nzuri na...
View ArticleMKUU WA MKOA WA KAGERA AZINDUA RASMI MAZOEZI YA KUIMARISHA MWILI NA AFYA KWA...
Na: Sylvester R, na Kepha Elias Mkoa wa Kagera umezindua rasmi leo Novemba 5, 2016 mazoezi ya viungo kwa watumishi wa umma, Taasisi na Idara za Serikali na zisizokuwa za Serikali pamoja na wananchi...
View ArticlePUMZIKA KWA AMANI MZEE SAMUEL SITTA
TANZIA: Aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge na Waziri Mwandamizi Mhe. Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko Ujerumani akiwa katika matibabu.Bukobawadau tunatoa pole kwa ndugu,Jamaa na...
View ArticleBUKOBA HAFLA YA KUWAPONGEZA WAHITIMU WA SHAHADA KATIKA CHUO CHA (CARUMUCO)
Matukio katika Hafla ya kuwapongeza Bw.Joseph Josephat na Bw Abel Mwomboki pamoja na Innocent Marchades kwa kutunukiwa Shahada ya Umahili na Shahada ya Uzamivu katika fani mbalimbali nchini na Bw...
View ArticleTAARIFA YA MRADI WA ''TUSHIRIKISHANE'' JIMBO LA BUUKOBA MJINI AUGUST-SEP, 2016
UTANGULIZI:Tushirikishane ni mradi unaowahusisha viongozi wa kuchaguliwa (mbunge na madiwani) serikali (halmashauri) na wananchi katika kufanikisha maendeleo. Wadau wakuu wa mradi huu ni Halmashauri...
View ArticleWAKUU WA MIKOA NA WILAYA WAASWA KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WAWEKEZAJI...
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt.Adelhelm Meru akiwasili katika kiwanda cha kutengeneza Vifungashio kilichopo Wilayani Kibaha Mkoani Pwani kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi,...
View ArticleWATU WANNE WAFARIKI KATIKA AJALI YA GARI WILAYANI MULEBA
Na mwandishi wetu MulebaWATU wanne wamefariki dunia na majeruhi wengine 14 katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Nundu-Katoke wilayani Muleba mkoani Kagera baada ya gari aina ya Toyota Hilux...
View ArticleNAIBU SPIKA TULIA AKSON AWA KINARA UCHEZAJI NETIBOLI DODOMA
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson (kulia), wa timu ya Bunge akidaka mpira ulioelekezwa golini kwake walipocheza na timu ya Wilaya ya Chato katika mchezo wa...
View ArticleWAZIRI NAPE NNAUYE APOKEA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO TOKA KAMPUNI YA STAR...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (aliyekaa katikati mbele) akiongea na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya michezo toka Kampuni ya Star Times...
View Article