UPEPE MKALI WAEZUA PAA ZA SHULE YA MSINGI BYAMUTEMBA WILAYANI MISSENYI
Shule ya msingi Byamutemba iliyoko kata Nsunga Wilayani Missenyi imefungwa na mkuu wa Wilaya kwa muda wa wiki tatu baada ya vyumba sita vya madarasa kuezuliwa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha...
View ArticleKATIBU MKUU WIZARA YA HABARI PROF. ELISANTE OLE GABRIEL AFUNGUA MAONYESHO YA...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) pamoja na Balozi wa Italia, Mhe. Roberto Mengoni wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji...
View ArticleUMATI WA WATU WAMZIKA CLIFORD LUANGISA
Umati wa waombolezaji wajitokeza kumzika Criford Luangisa aliyefariki dunia Oct 15,2016 katika hospitali ya Mkoa Kagera,Shughuli ya maziko yake inatalajiwa kufanyika Mchana wa Jumanne Oct 18 majira ya...
View ArticleMAMIA YA WAOMBOLEZAJI WAMZIKA ROYCE DANIEL KATARAIA KIJIJINI GERA OCT 17,2016
Shughuli ya Ibada ya Maziko ya Bi Loyce Kataraia iliyofanyika siku ya Jumatatu mchana Oct 17 Kijijini Nyatai Gera, Kifo cha Marehemu Loyce Kataraia kilitoka Juma lililopita tarehe 13/10/16 kwa ajali ya...
View ArticlePIKIPIKI YAZUA HOFU BAADA YA KUTELEKEZWA MWAKA MZIMA JIJINI DAR ES SALAAM,...
 Mwananchi akipita kwa kuikwepa pikipiki yenye namba za usajili T 684 CJZ aina ya Fokon iliyotelekezwa kwa zaidi ya mwaka mmoja katika Kituo cha waendesha bodaboda cha Maganga Veterinary Dar es Salaam....
View ArticleWATENDAJI NA VIONGOZI WA VIJIJI WATAKIWA KUWA WAAMINIFU KATIKA SUALA LA TETEMEKO
WATENDAJI na viongozi wa vijiji wametakiwa kuwa  waaminifu katika suala la utambuzi wa waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera katika kugawa misaada ya vifaa vya ujenzi ambayo vimenza...
View ArticleMradi Mkubwa wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii katika Kijiji cha Matemwe...
Mmiliki wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii katika eneo la Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, Mkurugenzi wa Mradi huo Brain Thomson, akitowa maelezo kwa waandishi wa habari walipofika kutembelea mradi huo...
View ArticleMUUGUZI HOSPITAL YA WILAYA YA CHUNYA MBEYA ATIWA MBALONI KWA KUDAIWA...
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Rehema Madusa akizungumza na watumishi wa hospital ya Wilaya ya Chunya kufuatia tukio la mama mjamzito kifanyiwa vitendo vya unyanyasaji na mmoja wa watoa huduma hospitalini...
View ArticleTOYOTA TANZANIA YAZINDUA JUMBA LA MAONYESHO JIJINI DAR
Balozi wa Japan, Masaharu Yoshida akiangalia gari jipya aina ya Land Cruiser VXR wakati wa uzinduzi wa jumba la maonyesho ya magari la Kampuni ya Toyota Tanzania jijini Dar es Salaam juzi Balozi wa...
View ArticleSERIKALI YAKABIDHI HATI ZA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI NYAKATO
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Bunge), Dkt. Hamisi Mwinyimvua akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya MOIL, Sharif Mansoor , hati za ujenzi wa shule ya sekondari ya Nyakato,...
View ArticleMFALME WA MOROCCO MHE. MOHAMMED VI AWASILI NCHINI NA KUPOKELEWA NA RAIS MHE....
Vikundi vya ngoma na matarumbeta vikitumbuiza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere kwa ajili ya kumpokea Mfalme wa Morocco Mhe. Mohammed VI leo 23/10/2016 Jijini Dar es...
View ArticleHAFLA YA UTILIAJI SAINI MIKATABA 21 KATI YA TANZANIA NA MORROCO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kwa ajili ya kumpokea Mgeni wake Mfalme Mohamedi wa Sita wa Morocco leo Ikulu Jijini Dar es SalaamRais wa Jamhuri ya Muungano...
View ArticleMWENYEKITI WA HALMASHAURI YA BUKOBA VIJIJINI ATEMBELEA KATA ZA RUHUNGA NA...
 IKIWA ni siku  mbili  baada ya serikali kuanza tathimini ya jinsi ya kusaidia kaya za watu 300 wasiojiweza,wakiwemo Wazee,Wagonjwa,Wajane ,watoto yatima wanaoishi katika mazingira magumu na Walemavu...
View ArticleMKUTANO WA INJILI WA MTUMISHI WA MUNGU JAYLES NEEMA KATARAIA KUTOKA US.
 Mtumishi wa Mungu Jayls Neema Kataraia kutoka US pichani,Jioni ya leo Oct 24,2016 amehudumu katika Mkutano wa Injili uliofanyika katika Viwanja vya Kashai Sokoni Manispaa ya Mji wa Bukoba Katika...
View ArticleWANAWAKE WA KYAMURAILE NA RUHUNGA WAHOFIA NDOA ZAO KUVUNJIKA KUTOKANA NA BAA...
Na mwandishi wetu Bukoba.WANAWAKE katika kata ya Kyamuraile na Luhunga Bukoba vijijini mkoani Kagera wamemulilia mwenyekiti wa halmashauri ya Bukoba vijijini Murshid Ngeze kutokana na Ndoa zao kuwa...
View ArticleAJALI YA MOTO YAUNGUZA MADUKA BUKOBA
 Mjini Bukoba Maduka mawili yaliyopo katikati ya MAKUTANO ya mtaa na Zamzam na Arusha Jirani na Soko kuu yashika moto na mengine yaliyopo jirani kuathirika na moto huo ingawa juhudi za wenye maduka za...
View ArticleMAMIA WAMZIKA PROCHES RWABIGENE OCT 27,
Mamia ya Wakatoliki na wasio Katoliki wa Jimbo Kuu la Bukoba, Siku ya Jana Oct 27 waliungana Kutoa heshima za mwisho na kumzika Marehemu Proches Rwabigene Mandela.Shughuli ya Ibada ya Maziko hayo...
View ArticleAJALI YA MOTO YAUNGUZA MADUKA BUKOBA
 Mjini Bukoba Maduka mawili yaliyopo katikati ya MAKUTANO ya mtaa na Zamzam na Arusha Jirani na Soko kuu yashika moto na mengine yaliyopo jirani kuathirika na moto huo ingawa juhudi za wenye maduka za...
View ArticleIBADA YA KUMBUKUMBU MWAKA MMOJA KIFO CHA MZEE ASIEL EVALIST KAREGA
Matukio ya picha yaliyojiri katika Ibada ya kumbukumbu mwaka mmoja kifo cha Mzee Asiel Karega iliyofanyika Siku ya Jana Jumapili Oct 30,2016 Nyumbani Kwake Mafungo Bukoba Mjini Mchungaji mara baada ya...
View Article