SHEIKH KICHWABUTA :WAZAZI WAPENI WATOTO ELIMU KUWAEPUSHA NA MIGOGORO YA MIRATHI
WAZAZI na walezi Mkoani Kagera wametakiwa kutoa umuhimu wa pekee kwa elimu ya watoto wao, ili kupunguza migogoro ya mirathi ambayo inatokea kutokana na jamii kutokuwa na elimu...
View ArticlePUMA YANG'ARISHA UTALII ZANZIBAR KWA MASHINDANO YA NDEGE KONGWE 22
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy Tanzania, Phillipe Corsaletti (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Rubani wa kike mdogo kuliko marubani wote wa ndege ya zamani, Sara Meehan (18), jinsi...
View ArticleMBUNGE WA JIMBO LA NKENGE BALOZI DR KAMALA LEO AMEKABIDHI MADAWATI 537 KWA...
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Kamala leo alhamisi Dec 1,2016 amekabidhi madawati 537 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Missenyi, Limbe Mourice,Madawati hayo yametokana na fedha...
View ArticleUJIO WA HUDUMA YA (SPEED BOAT) KATIKA ZIWA VICTORIA!!
Habari kubwa kutoka katika Chanzo makini ni Ujio wa Boti mpya inayoenda kwa mwendo kasi (Speed boat) hivi karibuni,kama inavyosemekana kumba huduma ya Boti hiyo itasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza...
View ArticleKIKUNDI CHA WATOTO ''THE MOST WANTED STREET DANCE PORTSMOUTH UK'' CHATOA...
Kikundi cha Watoto '''MTOTO NI MALEZI'' wakiwa katika picha ya pamoji na Walezi wao nje ya Bango la Kanisa Mt.Yohanne Maria Muzzeeyi Parokia ya Maruku Jimbo Katoliki la Bukoba muda mchache kabla ya...
View ArticleSERIKALI YAINGIA MKATABA NA YANGA
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (katikati) akisaini Mkataba kwa niaba ya Serikali na Klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam ambayo iliwakilishwa na...
View ArticleTAARIFA YA TANZANIA BLOGGERS NETWORK (TBN) KWA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 02...
Ndugu Mwakilishi kutoka Benki ya NMB,Waandishi wa habari,Kwa niaba ya Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' (TBN) napenda kuwashukuru kwa kujitokeza...
View ArticleKIKUNDI CHA WATOTO ''THE MOST WANTED STREET DANCE PORTSMOUTH UK'' CHATOA...
Kikundi cha Watoto '''MTOTO NI MALEZI'' wakiwa katika picha ya pamoji na Walezi wao nje ya Bango la Kanisa Mt.Yohanne Maria Muzzeeyi Parokia ya Maruku Jimbo Katoliki la Bukoba muda mchache kabla ya...
View ArticleMAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MTO WA MBU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Mto wa Mbu wilayani Monduli akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 4, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa...
View ArticleBLOGGERS TANZANIA WAPEWA MAFUNZO YA NAMNA BORA YA UENDESHAJI WA MITANDAO YA...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abbas (wa pili kulia) akizungumza wakati wa kufungua mkutano mkuu wa siku mbili wa Tanzania Bloggers Network (TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, KATIBU MKUU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwakaribisha Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo aliyeambatana na Katibu Mkuu wa TAMISEMI Mhandisi Mussa Iyombe kabla ya kuanza...
View ArticleTAASISI YA AFRICAN RELIEF YAANZISHA KILIMO CHA UMWAGILIAJI CHUMBI,RUFIJI
Mkurugenzi wa Taasisi ya African Relief Organization, Samy Mohammed Elazeb (kulia) akisimamia trekta likilima shamba lenye ukubwa wa ekali 2500 eneo la Khanga, katika Kijiji cha Chumbi C, wilayani...
View ArticleTAMASHA LA SIFA ZA YERIKO ARUSHA
Miaka 25 ijayo, Takribani asilimia 75 ya wakazi wa Afrika Mashariki watakuwa vijana,na hii inamaanisha nguvukazi kubwa itakuwa mikononi mwao. Lakini kama watasalia kuwa idadi kubwa basi na kuwa na...
View ArticleWATANZANIA WATAKIWA KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA KUSHEREHKEA UHURU WA TANZANIA BARA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe.Jenista Mhagama akiongea na Mkurugenzi wa Idara ya Maadhimisho na Sherehe za kitaifa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.Flora Mazelengwa wakati akikagua maandalizi ya...
View ArticleTAARIFA KUTOKA KWA RPC KAGERA
Na mwandishi wetuBukoba.MTOTO Junior Bosco mwenye umri wa miezi mitano na wiki mbili afariki dunia kwa ajari ya kuungua na moto ndani ya nyumba ya wageni iliyopo mwalo wa igabilo kata ya Kaagya...
View ArticleNaibu Waziri Ofisi ya Makumu wa Rais Muungano na Mazingira Luhaga Mpina...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akimksikiliza Mkurungenzi wa Kituo cha Ujasiriamali Kutengeneza Nafasi za Kibiashara kwa Vijana Zanzibar Ndg, Ameir Sheha...
View Article