Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA...

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFFICIAL LAUNCHING EVENT OF CHI PARK LINE HOTEL

 Muonekano wa Jengo la Hotel Mpya ya Chi Park Line iliyopo Mtaa wa Kasaba Kinondoni Jijini Dar es Salaam,Chi Park Line  ni hotel Hotel inayotoa huduma nzuri kwa gharama nafuu kanisa ,Gharama ya Chumba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAREJESHO YA MIKOPO YANAKWAMA KUTOKANA NA HALI YA UCHUMI NA ATHARI YA TETEMEKO

Na Mwandishi WetuBukoba.WANACHAMA wa ushirika wa Bukoba tuinuane women Saccos (BUTUWOSA) Ltd wamesema kutokea kwa majanga ya tetemeko la ardhi na njaa imewasabisha kushindwa kurejesha mikopo yao kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WAUNGANA NA VIJANA KUTOKA ZAIDI YA NCHI 19 AFRIKA, KATIKA MKUTANO...

Kati kati ni Bi. Victoria Mwanziva akiwa na watanzania wengine walioshiriki katika mkutano huo Bw.Innocent Makota na Raymond PaulBi.Victoria Mwanziva akiwa katika picha ya pamoja na Bw. Boniface Mwangi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO DEC 14 NJE NA NDANI YA TZ

 Magazeti yote ya leo Jumatano Dec 14 yanakufikia kwa hisani ya kinywani Chako cha WindhoekWelcome to Chi Park Lane Hotel:A subsidiary of Chichi Hotel , Located at Kasaba street, kinondoni , Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - KIKAO CHA NEC

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIHalmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imekutana leo tarehe 13/12/2016 jijini Dar es salaam kwa kikao cha siku moja cha kawaida. Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa...

View Article

(VIDEO ) MAREKANI YARIDHISHWA NA TANZANIA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA UENDESHAJI...

 INTROS Mkurugenzi wa mapinduzi ya takwimu kwa maendeleo kutoka nchini marekani Dkt. Paul Zeitz ameipongeza serikali ya Tanzania kwa jitihada zake katika kuetekeleza kwa vitendo mpango wa uendeshaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL CSR MTWARA LINDI

Kushoto ni Meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando na maafisa biashara wa Airtel Mtwara Jerry Issaya na Moses Bhalalusesa wakiongea na mmoja wa wanufaika wa mradi wa Airtel Fursa mkoani Mtwara bi....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA JF:Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi zaJamiiForums...

TAARIFA YA JF:Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, MaxenceLeo mida ya mchana, polisi kutoka kituo cha Kati, Dar es salaam wakiambatana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO DEC 20,2016 KWA HISANI YA WAANDAAJI WA MARUKU BEACH PARTY....!!

 Muonekano wa MANDHARI ya Maruku Beach, Kabuhara sehemu inayotalajiwa kufanyika ile Shughulu ya funga mwaka inakayowashirikisha wasanii mbalimbali wa nje na ndani ya Tz ni Dec 26,2016 aswira Kabuhara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU YA PILI YA SAFARI YA WANAHABARI NA ASKARI WA JESHI LA ULINZI ,KUELEKEA...

Baada ya mapumzko ya siku ya kwanza katika kituo cha Mandara,timu ya Wanahabari na Asakari wa jeshi la Ulinzi asubuhi yake walipanga mstari mmoja kwa ajili ya kuanza safari ya kuelekea kituo cha pili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAA 144 ZA MAXENCE MELO NDANI YA MAHABUSU!!

Maxence Melo akiwa mahakamani siku ya jana Jumatatu, Desemba 19, 2016. Na Daniel MbegaHATIMAYE leo saa 5:15 asubuhi ya Jumatatu, Desemba 19, 2016 Maxence Melo ametoka kwa dhamana. Mungu ametenda.Lakini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAIMU KATIBU MKUU UVCCM SHAKA HAMDU SHAKA ATEMBELEA MPAKA WA RUSUMO...

 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)pamoja na Viongozi wa ngazi ya mkoa Uvccm akipanda kivuko cha MV RUVUVU wilayani Ngara akielekea katika Mpaka wa boda ya RUSUMO. Safari ikiendelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAIPONGEZA NAMAINGO KUGAWA MIRADI YA SUNGURA KWA WAJASIRIAMALI

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Bi Ubwa Ibrahim akihutubia wakati wa uzinduzi wa kugawa miradi ya sungura kwa wajasiriamali eneo la Majohe, Dar es Salaam Mkurugenzi wa Kampuni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MACHINJIO YA KISASA YA SUNGURA KUJENGWA NCHINI

Mkurugenzi wa Kampuni ya Rabbit Republic ambaye ni mfugaji wa sungura kutoka Kenya, Moses Mutua (kulia) akielezea mipango yake ya kuzanzisha machinjio ya kisasa ya sungura hapa nchini, wakati wa hafla...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO JUMATANO DEC 21,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJINA YA MIAKA KWA KIHAYA

1959-BILEMOLENGILE1960-IJA WEBONELE1961-BILYE OYEKOMILE1962-GUMISA OMWOYO1963-OTULA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNFPA YAKABIDHI MAJENGO YA DAMU SALAMA NA VIFAA TIBA ILI KUBORESHA UTOAJI WA...

 Na: Sylvester RaphaelWananchi Kagera sasa kunufaika na huduma ya Damu Salama katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera mara baada ya jengo la kuhifadhi Damu Salaama (Blood Store) kukamilika na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKRANI YA FAMILIA YA BYEILANGO WA KISHANDA MULEBA

Familia ya Marehemu  Deonice Bweilangu wa Kishanda Muleba, Siku ya Jana Alhamisi Dec 22,2016 wamejumuika na Wadau mbalimbali katika Misa takatifu ya Shukrani na kuwaombea Marehemu wazazi wao na ndugu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI KAGERA WATAKIWA KUDUMISHA UPENDO TUNAPOELEKEA MWAKA 2017

Askofu Abedinego Keshomshara Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini Magharibi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania -KKKTNa mwandishi wetu BukobaWANANCHI mkoani Kagera wametakiwa kudumisha upendo na...

View Article
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>