Wenyeviti Wawili Washikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Kagera
MWENYEVITI wa wili wa serikali ya kijiji cha Nyabihanga na mwenyekiti wa kitongoji cha Bihanga wilayani Ngara wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Kagera kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya watu...
View ArticleRAIS MAGUFULI AWAKUMBUKA WAZEE KATIKA KITUO CHA KIILIMA BUKOBA
Na  Mwandishi wetu.Bukoba.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr  John Pombe Magufuli  amewatakia heri  Wazee wanaotunzwa katika  Kituo cha Kulelea Wazee  Kiilima kilichopo katika   kata Nyakato...
View ArticleMJENGO WA GHOROFA ALIOUACHA MPOKI BUKUKU TABATA DAR
 Nyumba ya ghorofa moja iliyopo Tabata Bwawani, Dar es Salaam, aliyoiacha aliyekuwa MpigaPicha Mwandamizi wa  The Guardian, marehemu Mpoki Bukuku. Waliopo nje ni baadhi ya waombolezaji akiwemo Kiongozi...
View ArticleKANISA LA KKKT KIVULE DAR WAMPIGIA SALUTI YESU KRISTO IBADA YA KRISMASI
 Wanakwaya wa Vijana ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Mtaa wa Kivule, wakimpigia saluti Yesu Kristo walipokuwa wakiimba wimbo wa kumsifu Yesu wakati wa Ibada ya Krismasi. Mchungaji wa...
View ArticleSHEREHE YA JUBILEI YA KUMPONGEZA MZEE BARUTI KWA KUTIMIZA MIAKA 80 YA KUZALIWA
 Familia ya Mzee Wilson Baruti waungana katika Sherehe ya Kumpongeza mzazi wao kwa kutimiza Miaka 80 ya kuzaliwa kwake na Kuadhimisha Jubilei ya miaka 49 ya ndoa yake na Mama yao mpendwa,Mama Astedia...
View ArticleYALE YA MARUKU BEACH PARTY DEC 26,2016
 Matukio ya picha ya Bonge la Beach Party iliyowakutanisha wakazi wa Mji waBukoba na maeneo ya jirani iliyofanyika Kabuhara Maruku Bukoba Siku ya Boxing Day Dec 25,2016. Msanii Lady Mariam wa Uganda...
View ArticleWANNE WAFARIKI DUNIA WAKATI WA SIKU KUU YA KRISMASI
WATU wa nne wamefariki Dunia katika matukio tofauti tofauti mkoani Kagera wakati wasikuku ya krisimasi Hayo yamebainishwa na Kamanda wa polisi mkoani Kagera Augustine Ollomi wakati alipokuwa akitoa...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA KUHUSU MWANDISHI WA HABARI KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA AGIZO...
TAARIFA KWA UMMAUONGOZI wa Klabu ya Waandishi wa Habari mkoa wa Shinyanga (SPC),na baadhi ya waandishi wa habari wilayani Kahama,wamekutana na mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu ili kupata muafaka...
View ArticleYALIYOJIRI MKUTANO WA WADAU WA MAENDELEO MISSENYI DEC 29,2016
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akitoa hotuba fupi kabla ya Ufunguzi wa Mkutano Mkubwa wa wadau wa maendeleo wa Missenyi uliofanyika Dec 29,2016 Katika Ukumbi wa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI YA MWAKA MPYA KATIKA KANISA KUU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akibusu mkono wa Askofu Msaidizi Jimbo Katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini mara baada ya kuwasili katika Kanisa Kuu la Jimbo...
View ArticleKATIKA MISA YA KUMBUKUMBU YA FAMILIA YA ALFRED RWIHULA WA ILAMBIKA BUGANGUZI
Kamishna Mstaafu Alfred Tibaigana (kushoto)ambaye ndiye mlezi wa Familia ya Marehemu  Alfred Rwihula akiteta jambo na Bi Graye Rwihula Mtoto Mkubwa wa kuzaliwa katika familia ya Marehemu Alfred Rwihula...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA CHA KABYAILE MISENYI...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika eneo la Ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kabyaile Misenyi Mkoani Kagera. Rais wa...
View ArticleWATANZANIA SAIDIENI JAMII YA WATU WASIOJIWEZA
 Nabii mkuu mheshimiwa Dr Geordavie akiombea bajeti mbalimbali za waumini walizoziletwa kwa ajili ya kutolewa neno la unabii hiii leo Na Woinde Shizza,Arusha.Watanzania nchini wametakiwa kusaidia...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA MAENEO YALIOATHIRIKA NA TETEMEKO NA KUWEKA JIWE...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke (kushoto) wakiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Shule ya Sekondari ya...
View ArticlePAPA FRANCIS KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 500 YA KANISA LA KILUTHERI
Papa FrancisMwinjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kivule, Ukonga Dar es Salaam Michael Mgaya (wa pili kushoto) akiwa na wazee wa kanisa hilo baada ya kumalizika kwa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWASALIMIA WAKAZI WA BUKOBA MJINI, MULEBA NA MUGANZA...
 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Bukoba mjini mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani Kagera. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Bukoba mjini...
View ArticleWATUMISHI WATATU WA MANISPAA YA BUKOBA WASIMAMISHWA KAZI
SIKU moja Baada ya Rais wa jamuhuli ya muungano wa Tanzania kumaliza ziara yake mkoani Kagera watumishi watatu wa manispaa ya Bukoba wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi kwa madai kuwa thamani ya...
View ArticleWADAU MJINI BUKOBA WALIVYO UPOKEA MWAKA 2017 KIVINGINE KABISA...@ ''THE UMURA...
 Baadhi ya wakazi wa Mji wa Bukoba wakishangilia kwa furaha kuupokea mwaka mpya 2017 saa 6:1 za usiku wa Mkesha watu waliojitokeza katika Kiota cha 'Umura Rocks ' sehemu tulivu kabisa iliyopo kilimani...
View ArticleMRADI WA MAJI KATA KILIMILILE WILAYANI MISSENYI HATIMAE WAANZA KUTOA MAJI
Mkazi wa Kata Kilimilile akichota maji baada ya mradi wa kata Kilimilile kuanza kutoa maji. Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala ameshuhudia kuanza kazi kwa mradi huo na...
View Article