BALOZI DR. KAMALA ATEMBELEA KISIMA CHA MAJI CHA KATA MABALE AMBACHO KIMEACHA...
Mbunge wa Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala(aliyeshika kisima cha maji) akitazama kisima cha kata Mabale Wilayani Missenyi ambacho kimeacha kutoa maji. Balozi Kamala ameshauri Mhandisi wa Maji...
View ArticleBALOZI KAMALA ATEMBELEA MABWAWA YA MAJI YA KATA MABALE - MISSENYI
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akizungumza na mwananchi wa kata Mabale aliyefika kuchota maji katika bwawa la maji la Akashwa lililo kata Mabale. Bwawa...
View ArticleUTANDAWAZI UMETAJWA KUHARIBU MAADILI YA WATOTO WA KIKE
Na Mwandishi wetu.Bukoba.UKUWAJI wa sayansi na tekinolojia umetajwa kuwa chanzo cha watoto kukosa maadili kuanzia ngazi ya familia hadi jamii.Kauli hizo zimetolewa na wananchi mbalimbali kwa nyakati...
View ArticleSOCCER LA KULIPWA ULAYA NA AMERICA
Tukianza na mtiririko mzima kwa wanasoka wa Tanzania, wapo wachezaji ambao waliuchukulia mpira wa miguu ni kama moja ya starehe,Iwe labda kwa kupunguza vitambi,Pia wachezaji ambao walijitahidi kucheza...
View ArticleTimu ya kuchunguza chanzo cha moto soko kuu la Kayanga yaundwa
Katibu tawala Mkoa wa Kagera Kamishina, Diwani Athumani akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe, Adeodata Agustine juu ya janga la moto katika soko kuu la...
View ArticleIBADA YA KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA YA OMWANA MARIA VERDIANA MBONEKO (GERA)
Matukio ya picha yaliyojiri Mwishoni mwa juma wakati familia ya Marehemu Omwana Verdiana Maria Mboneko wa Rwamishenye Bukoba,walipo unguna na marafiki wa familia kushiriki nao kwenye misa ya kumbukumbu...
View ArticleTISHIO LA NJAA BEI ZA VYAKULA HAZIKAMATIKI, WANANCHI WASHINDIA MAEMBE
NA WAANDISHI WETU-DAR/MIKOANI UKAME, njaa kila kona. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya maeneo mengi ya nchi kukumbwa na njaa ambayo imesababishwa na kukosekana mvua muda mrefu. Baadhi ya mikoa...
View ArticleWAWILI WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZAMAUAJI MKOANI KAGERA
Na Mwandishi wetu.. BukobaWadau JESHI la polisi mkoani Kagera linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Msafiri Samson(41) na Marciana Kaila kwa makosa ya mauaji uliosababishwa na ugomvi na...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI BARABARA YA BARIADI-LAMADI KM 71.8 BARIADI...
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi yenye kilometa 71.8 wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWASILI BARIADI MKOANI SIMIYU, AWEKA JIWE LA MSINGI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati alipowasili Bariadi kwa ajili ya kuifungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa kilometa 71.8. Wengine...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWASALIMIA WAKAZI WA KISESA, MAGU, NA BUSEGA MKOANI SIMIYU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia wakazi wa Nyamikoma Wilayani Busega wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya...
View ArticleAmplifaya Jan 11 2017.....Hotuba ya mwisho ya Rais Barack Obama
Januari 10, 2017, Rais Barack Hussein Obama, Rais wa 44 wa Marekani, na rais wa kwanza mwenye asili ya Afrika alitoa hotuba yake ya mwisho kwa taifa.Hii ni siku 10 kabla ya kuingia madarakani kwa Rais...
View ArticleMBARONI KWA KUMPIGA RISASI MFANYAKAZI WAKE
MBARONI KWA KUMPIGA RISASI MFANYAKAZI WAKENa Mwandishi wetu Bukoba.MENEJA wa kampuni inayojihusisha na usambazaji wa bia Tanzania Tanzania Breweries Limited (TBL) ya Global agency Arobogasti Byenobi...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA SHINYANGA KATIKA KILELE CHA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuwasalimia wananchi wa Shinyanga waliofika katika uwanja wa mpira wa Kambarage katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MWIGUMBI-MASWA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi-Maswa (Km 50.3) katika Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu. Wengine...
View ArticlePicha 45 : RAIS MAGUFULI AKIFUNGUA VIWANDA VIWILI MKOANI SHINYANGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa Januari 13,2017 amefungua rasmi viwanda viwili mkoani Shinyanga. Rais Magufuli amefungua Kiwanda cha kutengeneza vifungashio...
View ArticleWATANZANIA WATANO WACHAGULIWA KUWA MABALOZI WA KUWAINUA WANAWAKE KIUCHUMI...
“BINGWA WA MABADILIKO” au “CHAMPION FOR CHANGE” ni kauli mbio iliyoanzishwa kwenye shindano lililoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia maswala ya wanawake (UN-WOMEN) lenye lengo wa...
View ArticleSBL inalaani kusambazwa kwa video isiyo na maadili kwenye mitandao ya kijamii
TAARIFA KWA UMMA Dar es Salaam Januari 12, 2017- Kampuni ya Bia ya Serengeti inapenda kuwataarifu wateja wake na umma na kwa ujumla kuwa kuna video isiyo na maadili inaiyosambazwa katika mtandao ya...
View Article