$ 0 0 Mbunge wa Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala(aliyeshika kisima cha maji) akitazama kisima cha kata Mabale Wilayani Missenyi ambacho kimeacha kutoa maji. Balozi Kamala ameshauri Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya Missenyi kukagua kisima hicho.