Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

KATIKA MISA YA KUMBUKUMBU YA FAMILIA YA ALFRED RWIHULA WA ILAMBIKA BUGANGUZI

$
0
0
Kamishna Mstaafu Alfred Tibaigana (kushoto)ambaye ndiye mlezi wa Familia ya Marehemu  Alfred Rwihula akiteta jambo na Bi Graye Rwihula Mtoto Mkubwa wa kuzaliwa katika familia ya Marehemu Alfred Rwihula wa Buganguzi Ilambika Wilayani Muleba.
 Fr. Modest Mutasingwa wa Parokia ya Rukindo Buganguzi akinyunyuzia maji ya baraka katika Makaburi.
 Mtoto wa Mwisho wa Marehemu Alfred Rwihula ,Raul Rwihulakatika picha ya kumbukumbu kwenye kaburi la Baba yake Mpendwa.





 Mrs Nicko Rwihula akifanya kutweet kinachojiri katika shughuli hii...
 Eng. Datus Rwihula akisisitiza jambo kwa Mke wake Mpendwa Bibie Grace Rwihula.

 Wanafamilia katika picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
 Watoto wa Majirani wakifatilia kinachojiri.
 Familia ya Alfred Rwihula na wakwe zao katika picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu





 Jane Rwihula na Mdogo wake Raul Rwihula pichani


Waumini wa Kikatoliki wakishiriki Ibada ya Misa takatifu ya kuwaombea familia
 Katikati ni Bwana Mwambi Rwihula mtoto mkubwa wa Kiume , wa pili kwa kuzaliwa katika familia ya Marehemu Alfred Rwihula akiendelea na Ibada.











 Mama wa ubatizo wa familia  ya Nicko Rwihula wakati wa utambulisho.
 Mama Junior, Mrs Mwambi Rwihula akisoma neno la Bwana kutoka katika 

 Wakati Fr. Modest Mutasingwa akiongoza Ibada hiyo
Mlezi wa familia hiyo Kamishna Mstaafu Alfred Tibaigana akitoa neno kwa niaba ya familia.
 Huduma ya Msosi safi ikiendelea kutolewa
 Waalikwa wakiendelea kupata huduma ya Chakula
Menu husika, minyama nyama ya kutosha.


Watoto nao wakapa fursa ya kupata Kinywaji na Msosi maalum ulio andaliwa katika shughuli hii ya Ibada ya kumbukumbu ya familia ya Marehemu Alfred Rwihula iliyofanyika Siku ya Jumatano Dec 28,2016.



 Bibi Mlezi wa familia hiyo kutoka ukoo wa 'Abanyama' Ma Clementina.

 Muonekano wa Maandalizi ya Menu husika.
 Mzee Tibaigana akibadilishana Mawazo na Mr Chrles Peter Bushaija
MAELEZO ZAIDI  YANAFUATA......



Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>