Mbunge wa Bukoba Mjini (CCM), Mh. Balozi Khamis Kagasheki anatarajiwa kuwasili kesho alhamisi Jan 23,2014 na kuhutubia mkutano wa hadhara .
Balozi Kagasheki atawasili katika uwanja wa Ndege wa Manispaa ya Bukoba kwa ndege maalumu majira ya saa 8 mchana.Atapokelewa kwa maandamano makubwa yatakayo elekea Uwanja wa Uhuru ambapo atazungumza na wananchi wa jimbo lake .