MWANAJESHI FEKI ATIWA MBARONI TANGA AKITAKA KUMTAPELI DC
Koplo feki' akihojiwa wa Luteni Yahya Wangwe na Mteule daraja la pili Albano Semfuko.'Koplo feki' akijiandaa kupanda kwenye gari kupelekwa kituo cha polisi kwa mahojiano zaidi.Na Mashaka Mhando, Tanga...
View ArticlePENZI LA WEMA, DIAMOND...UCHAWI!
SIJUI ni hasira au nini! Mama mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu ‘Mama Wema’ amemshika uchawi mpenzi wa bintiye, Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku akilaani vikali kitendo cha kumrudia...
View ArticleHAFLA FUPI YA KUWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU DAR LEO JAN 20,2014
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mwigulu Nchemba, kuwa Naibu Waziri wa Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR Rais Jakaya Kikwete,...
View ArticleKIJIJINI MUGONGO RUZINGA NI SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU AURELIA NYAKATO...
Mchungaji akiongoza Ibada ya Mazishi ya Marehemu Aurelia Rugangila aliyefariki tarehe tarehe 18 .1.2014 majira ya saa mbili usiku nyumbani kwake hapa kijijini Mugongo kata Ruhunga tarafa ya Kiziba...
View ArticleVIDEO IBADA YA MAZISHI YA MAREHEMU AURELIA NYAKATO RUGANGILA KATIKA LUGHA YA...
Kwa masikitiko makubwa Bukobawadau Blog tunatoa pole kwa ndugu na jamaa wa Marehemu Omwana Aurelia Nyakato Rugangila,hakika msiba huo ni mkubwa katika familia yenu tunamuomba Mwenyezi mungu ailaze roho...
View ArticleMSAFARA WA RAIS KAGAME UMEPATA AJALI NCHINI KENYA NA WATU WAWILI WAMERIPOTIWA...
Limuru, Kenya: Two people were Tuesday morning injured after a vehicle that was in Rwanda President Paul Kagame’s motorcade was involved in an accident along Nairobi-Naivasha highway.The vehicles were...
View ArticleUFAFANUZI WA EZEKIEL MAIGE(MB) JUU YA YALIYOJIRI KWENYE MEDANI ZA SIASA -STAR TV
Wapendwa,Salaam za pilika za maisha?Nimeona ni vema nikawafafanulia, kwa baadhi ambao hamkufuatilia kipindi cha Medani za Siasa kilichorushwa na Star TV jana mchana.Nimeona nifanye hivyo baada ya...
View ArticleMBUNGE WA BUKOBA MJINI MH BALOZI KHAMIS KAGASHEKI ATAWASILI KESHO MJINI HAPA...
Mbunge wa Bukoba Mjini (CCM), Mh. Balozi Khamis Kagasheki anatarajiwa kuwasili kesho alhamisi Jan 23,2014 na kuhutubia mkutano wa hadhara .Balozi Kagasheki atawasili katika uwanja wa Ndege wa...
View ArticleMH.SAID BWANA MDOGO MBUNGE WA CHALINZE(CCM) AMEFARIKI DUNIA MAPEMA YA LEO JAN...
Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu.Ofisi ya Bunge inaendelea na Taratibu za...
View ArticleTASWIRA MAPOKEZI YA MH:MWIGULU NCHEMBA NA MH:ADAM MALIMA HII LEO WIZARA YA...
Naibu Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akipokea Zawadi ya Ua wakati akipokewa na Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha jijini Dsm hii Leo. Mh:Malima ambaye ni Naibu waziri wa Fedha akipokea Zawadi ya Ua...
View ArticleCAMERA YETU JIONI YA LEO JAN 22,2013
Camera yetu jioni ya leo Jan 22,2014 maeneo ya Victoriaus Perch Hotel Bukoba inakutana na wadau pichani Ndg Ray na Ndg Philpo. Muda mwingi wadau walionekana wako bize na Tv kuliko Camera...
View ArticleAMANI AKANUSHA KUJIUZULU ASEMA KAMA YEYE NI FISADI APELEKWE MAHAKAMANI
Mh. Anatory Amani katika mahojiano na STAR TV usiku wa Jan 22,2014 amesema yeye hajawahi kutamka kujiuzulu na sio kweli kuwa amejiuzulu Amesema hawezi kujiuzulu.kwakuwa hajafanya kosa lolote na CAG...
View ArticlePATA KUMSIKILIZA MH.BALOZI KHAMIS KAGASHEKI KATIKA MKUTANO WA HADHARA MJINI...
Bonyeza kitufe cha play kusikiliza sehemu ya 1 hotuba ya Mh.Balozi Khamis Kagasheki mjini hapa leo Jan 23,2014 SEHEMU YA 2.'BALOZI ASEMA HUU NI WAKATI WAKE KUIRUDISHIA BUKOBA SIO KUICHUKULIA BUKOBA'
View ArticleYALIYOJILI MKUTANO WA BALOZI KAGASHEKI JIMBONI KWAKE LEO JAN 23,2014
Majira ya saa kumi alasiri, Ndege maalumu ikiwa inawasili katika uwanja wa ndege mjini hapa.Mh. Balozi Khamis Juma Sued Kagasheki akiwapungia mikoni wananchi waliojitokeza kumpokea.Wananchi wakimpokea...
View ArticleVIDEO WALICHOKISEMA MAKAMU MEYA NA MH. BIGAMBO KATIKA MKUTANO WA MBUNGE...
CHECK VIDEO HAPA CHINI, MADIWANI WALIVYO NENA KATIKA MKUTANO WA MBUNGE BALOZI KHAMISI KAGASHEKI ULIOFANYIKA JAN 23,2014 VIDEO HOTUBA YA MBUNGE INAFUATIA HAPA HAPA...USICHEZE MBALI NA BUKOBAWADAU BLOG...
View ArticleCHECK OUT VIDEO; HOTUBA YA MH.MBUNGE BALOZI KAGASHEKI UWANJA WA UHURU BUKOBA...
Balozi Kagasheki akisema na wananchi wa jimbo lake.
View ArticleVING'AMUZI VYA STAR TIMES NDIO MPANGO MZIMA,FIKA ITEMBWE GENERAL SUPPLIES...
Ving'amuzi vya Kampuni ya Star Times tayari vinapatika mjini hapa kwa bei poa kabisa.Star Times ni kampuni binafsi ya China inayoshughulikia mawasiliano ya habari kwenye mtandao wa televisheni ya...
View ArticleUTANDAWAZI UNAVYOZISAMBARATISHA JUHUDI ZETU ZA KUPATA MAENDELEO
Na Prudence Karugendo Ipo dhana ya kwamba kutawaliwa kulichangia maendeleo ya Bara la Afrika, ikiwemo nchi yetu ya Tanzania. Vilevile wapo wanaodhani kwamba mawazo ya kupenda kutawala, yaani sehemu...
View ArticleTAMKO LA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA BUKOBA MJINI KWA VYOMBO VYA HABARI LEO...
Mwenyekiti wa CCM Wilaya, Mh. Yusuph Ngaiza Mh. Janath Musa Kayanda, Katibu wa CCM Wilaya.Kushoto ni Katibu wa Uchumi na fedha (W) Mh. George Joseph Rubaiyuka.
View Article