KUMBUKUMBU YA MAREHEMU APPOLINARY RWIHULA JAN 24,1988-2014
Mzee Appolinary Rwihula alifaliki 24/01/1988 na leo tarehe 24/01/2014 anatimiza miaka 26 tangu atangulie mbele ya haki anakumbukwa na Familia yake mama yake Mzazi Bi Felista Wiliam mke wake Bi Stivina...
View ArticlePONGEZI KWA FLAVIANA MATATA
Kwanza kabisa naanza kumpongeza mdogo wangu Flaviana kwa kazi nzuri anayofanya ya kusaidia jamii hasa kupitia mfuko wake wa Flaviana Matata Foundation wa kusaidia watoto ili waweze kuipenda shule...
View ArticleUSWAHIBA WA JK, KAWAMBWA UNAUA ELIMU;DK SLAA
Mbeya na Arusha. Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema, uswahiba wa Rais Jakaya Kikwete na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa ndiyo chanzo cha kuporomoka kwa cha...
View ArticleUWANJANI KAITABA MBEYA CITY FC YAIBAMIZA KAGERA SUGAR 1-0 LEO JUMAMOSI JAN...
Uwanjani kaitaba leo Jumamosi Jan 25,2014 tinu ya MBEYA City imeendelea kufanya kile ambacho hakuna timu ya mkoani iliwahi kufanya katika miaka kumi iliyopita kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, Kwa...
View ArticleCHECK PICHA ZA CHADEMA JIJINI MBEYA JANA JAN 24,2014
Baadhi ya wananchi wa mji wa Mbeya wakiwa wabeba mabango yenye ujumbe mbalimbali, wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima wa Chadema, uliofanyika kwenye Uwanja wa Lwanda Nzovwe...
View ArticleMGOMO WA MADEREVA WA MALORI HUKO NZEGA LEO KUFUATIA MAUAJI YALIOTOKEA...
Huko Nzega hali ni tete baada ya madereva wa Malori kugoma kufuatia tukio la majambazi kufanya unyama wa kumtoboa macho dereva na kumkata mguu tingo alfajiri ya kuamkiaa leo Jan 26,2014.Chanzo...
View ArticleTASWIRA MKUTANO WA CHADEMA OPERESHENI PAMOJA DAIMA MJINI BUKOBA LEO JAN 26,2014
Mwanzo wa harakati za M4C -PAMOJA DAIMA ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba leo ambapo Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) kinaendelea kupasua anga kwa kutumia Helkopita ili kuwafikia wafuasi...
View ArticleSIKILIZA FULL AUDIO HOTUBA YA MH. MBOWE;Chadema(Operesheni Pamoja Daima )...
Mh. Mbowe akihutubia wakazi wa manispaa ya Mji wa Bukoba. Sehemu ya maelfu ya wananchama wa chadema mkoani Kagera wakimsikiliza mwenyekiti wa chadema na mbunge wa Hai Mh.Freeman Mbowe akiunguruma leo...
View ArticleCHUKUA MUDA WAKO KUMSIKILIZA MH.GODBLESS LEMA AKIWAHUTUBIA WAKAZI WA MJI WA...
Taswira sehemu ya wakazi wa Mji wa Bukoba wakimsikiliza Mh. Lema kwenye viwanja vya Uhuru (mayunga)Uswahilini Bilele leo Jan 26,2014 Mh.Godbless Lema akiwahutubia wananchi katika viwanja vya Uhuru...
View ArticleSIKILIZA AUDIO WILFRED LWAKATARE,ANTHONY MBASSA,MAMA CONCHESTER NA MH.SAID...
Bonyeza Kitufe cha Play Chini ya picha zinazofuata upate kumsikia Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema,Wilfred Lwakatareakiongea katika mkutano wa hadahara wa Operesheni M4C Pamoja Daima,...
View ArticleCHECK OUT VIDEO TASWIRA MKUTANO WA CHADEMA OPERESHENI PAMOJA DAIMA MJINI...
Check video hapo chini mwenyekiti wa chadema na mbunge wa hai freeman
View ArticleIFAMAHU MELI KUBWA ZAIDI DUNIA NA MATUKIO MENGINE YA BAHARINI
World's Biggest Ship Ever carrying 19,000 TEUs (bigger than Mc-Kinney Moller Maersk) ordered by CHINA Shipping Container Lines World’s Widest Ship, Ramform Titan External hull of Rena before she broke...
View ArticleMZEE DUDE MUIGIZAJI WA FUTUHI AFARIKI DUNIA
Inauma lakini ndio hivyo tena...mzee huyu ambaye ni mmoja kati ya wasanii walioanzisha kundi la Futuhi na kulifanya ling'are vilivyo kupitia kituo cha luninga cha Star TV, hatunaye tena duniani. Mzee...
View ArticleWELCOME TO THE PERFECT HOTEL BUKOBA (KWA PAJERO)
The Hotel is nestled in the quite residence side at Anyama street (Chamber) Bukoba Tanzania, and offers a spectacular view Greatest Like in Africa. Its only 5 minutes Drive, from town, 10 minutes from...
View ArticleTAMKO LA JUMUIYA YA VIJANA KUUNGA MKONO KAZI YA SEKRETARIETI YA CHAMA CHA...
“..Chama Cha Siasa chochote duniani hubomoka kutokana na migongano iliyokithiri ya muda mrefu. Uzoefu wa vyama vikubwa vilivyoporomoka umeonyesha hivyo! Chama lazima kidhibiti uchu wa madaraka wa...
View ArticleThe day WAMA Nakayama girl's Secondary school in Rufiji went digital with...
Chairman of the Opportunity Education Foundation Joe Ricketts from Omaha, Nebraska, in the US signs the visitor's book upon arrival at the WAMA Nakayama Girl's Secondary School at Nyamisati village in...
View Article