Mzee Appolinary Rwihula alifaliki 24/01/1988 na leo tarehe 24/01/2014 anatimiza miaka 26 tangu atangulie mbele ya haki anakumbukwa na Familia yake mama yake Mzazi Bi Felista Wiliam mke wake Bi Stivina Rwihula watoto wake Erick Rwihula, Ewald Rwihula, Marina Rwihula, Blandina Rwihula na Expelansia Rwihula Wajukuu na wana ukoo wote.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.
AMIN...!!