FURAHIA BUKOBA YETU LEO JAN 28,2014
Muonekano wa Mji wa Bukoba kwa Juu, maeneo ya Uswahilini Bilele,na mitaa ya Hindu. Sehemu ya Mji wa Bukoba unavyoonekana kutokea juu Maeneo ya stand kuu mjini hapa. Nyumba makazi ya mdau. Uwanja wa...
View ArticleAFANDE SELE AHUTUBIA MKUTANO WA CHADEMA OERESHENI M4C PAMOJA DAIMA MOROGORO
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele akiwahutubia wananchi wa Kata ya Tungi mjini Morogoro jana, katika mkutano wa hadhaa wa Operesheni M4C Pamoj Daima, ambao pia ulihutubia na Mwenyekiti...
View ArticleDJ JOHN DILLINGA A.K.A DJ JD AONGELEA DISKO LA OLD SCHOOL NA ISUMBA LOUNGE
Disck Jockey Mkongwe DJ JOHN DILLINGA A.K.A DJ DJ akiongelea mustakabali wa Disco nchini Tanzania na Isumba Lounge
View ArticleTASWIRA KIJIJINI RUZINGA KANYIGO LEO JAN 29,2014
Camera yetu Kijijini Ruzinga Kanyigo Wilaya ya Missenyi, pichani ni muonekano wa Kanisa Dayosisi ya Usharika Ruzinga Bango la Kanisa la KKKT Kijijini Ruzinga. Picha ya kanisa la KKKT Ruzinga kwa...
View ArticleNEW COFFEE TREE HOTEL INAWALETEA NYAMACHOMA FESTIVAL ON VALENTINE DAY
NEW COFFEE TREE HOTEL INAWALETEA NYAMACHOMA FESTIVAL ON VALENTINE DAY SIKU YA IJUMAA YA TAR 14/02/2014. KUTAKUWEPO NA LIVE BAND&VINYWAJI&NYAMACHOMA ZA MBUZI,NG'OMBE,KUKU PAMOJA NA SAMAKI WA...
View ArticleR.I.P MZEE ABDALLAH NZOMKUNDA
Bukobawadau Blog tumepokea taarifa za kifo hiki kwa masikitiko makubwa, tunapenda kutoa pole kwa ndugu na jamaa wa familia ya Marehemu Mzee Abdallah Nzomkunda,pole kwa Watoto wa Marehemu,dada zangu...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA FEDHA AKAGUA MIRADI YA VITUO VYA PAMOJA VYA USHURU NA FORODHA...
Naibu Waziri Malima AKiwa Maelezo na Wahandisi wa Daiho Kuhusu Mradi Meneja wa Wakala wa Barabara TANIROADS Mhandisi Kalupale Akisoma Taarifa ya Mradi Mpakani Rusumo Wilayani Ngara. Mhandisi wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAAPISHA WAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU JIJINI DAR LEO
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ummy Mwalimu, kuwa Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha Waziri na Manaibu Waziri iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE OPENS THE AGRIBUSINESS CONGRESS EAST AFRICA IN DAR ES SALAAM
Heading for the function hall Introductory speechPart of the participants Click… President Kikwete delivers his keynote speech Participants listen attentively It’s a full house I thank the organisers...
View ArticleCHECK OUT VIDEO YETU YA LEO JAN 31,2014 MSANII NSHOMILE AKIFANYA YAKE SPECIAL...
Check Video yetu ya leo Jan 31,2014 Msanii Nshomile akitoa burudani -Mkutano wa Mh.Kagasheki
View ArticleAJUZA AKUTWA KAMA ALIVYO ZALIWA CHUMBANI KWA MTU!!!
Sehemu ya Wananchi wa Kata ya HAMUGEMBE Mjini Bukoba wakiwa wamezunguka eneo la tukio mara baada ya Polisi kufika hapo kumsaidia Bibi Kizee baada ya kukurupushwa chumbani kwa mtu akiwa uchi wa...
View ArticleTASWIRA SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU ABDALLAH NZOMKUNDA YALIYOFANYIKA LEO...
Mwili wa Marehemu Abda llah Nzomkunda aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana ukipelekwa makaburi leo Jan 31, 2014 Baada ya mwili wa Marehemu Abdallah Nzomkunda kusaliwa msikitini, sasa unapelekwa...
View ArticleJK KUKATAA KUITUA MIZIGO ANAMKOMOA NANI?
Na Prudence KarugendoBINADAMU tumeumbwa na hulka tofautitofauti, katika hulka hizo kuna watu wameumbwa na hulka za unafiki na wengine si wanafiki.Pamoja na kwamba watu hatupaswi kujisifia lakini...
View ArticleJAMBO BUKOBA YAWAJENGEA UWEZO WATOTO WA KIKE KUJIAMINI NA KUSHIRIKIANA NA...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe Akiwahutubia Wananfunzi na Wageni Waalikwa kwenye Ufunguzi wa Binanza la Jambo Bukoba Kaitaba Watoto Wakinyesha Michezo ya Kitamaduni na Mwalimu Wao...
View ArticleAJALI MBAYA DODOMA ASKARI POLISI WATANO WAFARIKI PAPO HAPO!!
Ajali mbaya ya kusikitisha imetokea usiku huu majira ya sa nane na nusu ambapo gari ya ya polisi iliyokuwa inatoka Dodoma kwenye sherehe ya mapolisi iliyokuwa inafanyika katika ukumbi wa mipango, Gari...
View ArticleJAJI MARK BOMANI ATETEA SERIKALI TATU
Dar es Salaam. Jaji mstaafu, Mark Bomani, ametetea kuwepo kwa muundo wa Serikali tatu na kuwabeza wanaodai kuwa ni wa gharama kubwa.Amesema dhana hiyo si sahihi na kwamba anayedai kuwa itakuwa hivyo....
View ArticleSIMBA YAFANYA KUFURU UWANJA WA TAIFA LEO,YAICHAPA JKT OLJORO BAO 4-0
Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic akisalimiana na kocha wa Oljoro JKT, Hemed Moroco. Wachezaji wa Simba wakisalimiana na wenzao.Kikosi cha timu ya Simba kilichoanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka...
View Article