Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: KADI Mia mbili (200) za CHADEMA kurudishwa siku ya kuzaliwa...

KAMBI YA CCM GREEN GUARD, CHIMALA, MBEYA, YAVUJISHA SIRIKila kilichokua kinaendelea katika kambi ya CCM Chimala tulikua na watu wetu. Kamanda Beni wa mbeya mjini alifanikiwa kuingiza watu kumi;CHADEMA...

View Article


TOFAUTI YA VIPATO NDIO MWANZO WA UHALIFU NCHINI

Na Prudence Karugendo Nitataja  rushwa ili kurahisisha maelewano,  lakini vinginevyo nilipaswa kutaja mabalaa yote yanayohusu mambo ya fedha yanayoikumba jamii yetu ya Tanzania. Ujambazi, ubadhilifu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA KUSAIDIA ELIMU YA (OPPORTUNITY EDUCATION FOUNDATION )YAZINDUA...

Mwenyekiti wa taasisi ya kusaidia elimu ya Opportunity Education Foundation wa Marekani Bw. Joe Ricketts akikata utepe wakati wa Uzinduzi wa mpango wa matumizi ya Tableti uliofanyika Feb 1,2014 katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIRI YAFICHUKA MAUAJI Z'BAR

Zanzibar Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji (KZU) na Polisi wamefanikiwa kuvunja zege lililokuwa limejengwa kufunika kisima walichotupwa raia wawili wa Ufaransa, baada ya kuuawa na kupata sehemu za miili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KISHINDO CHA AJALI YA SEMI BUKOBA WATU WANUSULIKA KIFO LEO FEB 2,2014

Hivi ndivyo watu walivyonusulika kifo baada ya Gari lenye namba AJB 7188 aina ya Semi, kuferi breki katika eneo lenye barabara kadhaa zinazounganisha kuingia na kutoka mjini Bukoba Ajali hii imetokea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHECK OUT VIDEO SHUHUDA WA KWANZA KABISA AJALI YA RWAMISHENYE BUKOBA LEO FEB...

 Shuhuda wa kwanza wa tukio hili ambaye ndiye Dreva wa Gari aina Seme pichani hapo juu lenye nambari AAM 1165 T ameileza Bukobawadau Blog  kuwa Gari hilo lililokuwa likiendeshwa na Mwenzake ,aliliona...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAVUNA WASANII WA BONGO MOVIE LEO FEB 2,2014

MWENYEKITI WA CCM, RAIS JAKAYA KIKWETE LEO AMEVUNJA UKIMYA NA KUZUNGUMZIA SUALA LA MAWAZIRI WALIOTUHUMIWA NA WANANCHI KUWA MIZIGO WAKATI WA ZIARA ZA KATIBU MKUU WA CCM, ABDULRAHMAN KINANA NA BAADHI YA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO YALIOJILI BAADA YA AJALI YA RWAMISHENYE BUKOBA LEO FEB 2,2014

Muonekano barabara ilipotokea ajali ya Gari aina ya Semi,mjini Bukoba Leo Feb 2,2014

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YA BASI HUKO SINGIDA ISUNA FEB 2,2014

Ajali ya Basi likiwa limegonga lori aina ya fuso kwa nyuma imetokea huko Singida. Ajali hii imetokea majira ya saa 11 jioni Feb 2,2014  eneo la Isuna Singida Watu wawili wamejeruhiwa vibaya sana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI ZILIZOPEWA KIPAUMBELE MAGAZETINI LEO JUMATATU FEB 3,2014

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MACHOZI YALINITOKA BAADA YA KUSOMA HII HADITHI

Bwana Zimbo (kwenye picha), alikuwa hajaajiliwa tangu alipomaliza chuo na kushika nafasi ya kwanza kabisa kitaifa katika University of Port Harcourt alipokuwa akichukua degree ya pili. Alikuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchungaji Mtikila anusurika kuuawa

Dar es Salaam. Kiongozi wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila amenusurika kifo na mtu mwingine aliyetambuliwa kwa jina moja la Mikidadi, ambaye yupo mahututi katika Hospitali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHECK MUONEKANO WA MSANII ROMA MKATOLIKI

Huu ndio muonekano wa Msanii Roma Mkatoliki ,una endelea kuzua maswali mengi wapo wanadai angependeza kuwa Diwani, wengine wanasema anapendeza kwa usanii,walio wengi wanasema kwa muonekano huu...

View Article


THE TANZANIA EFFECT

Tony Ventrella goes looking for answers behind the success of the Seattle sports teams at CenturyLink Field this season and as he comes to find out there is a connection to the new Tanzania murals in...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PATA LYRICS:DOWNLOAD NA KUSIKILIZA TUBONGE-JOSE CHAMELEONE

 SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA CHINIIntroTubonge, Chameleone anaomba tubongeMungu Baba, we long deGospel time now, ooh Lord…Verse 1Mi na wewe wa kweli, katika wote ninaye ni weweAna nipenda Chamili, bila...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIG RESULTS NOW:NI SHIDAAAA!!!

 Mikakati ya Big Results Now huenda isifanikiwe katika sekta ya elimu kwa kuwa miundombinu ya mazingira ya kufundishia haijaboreka kwa wanafunzi walimu na vyumba vya madarasa.Pichani ni wanafunzi zaidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHECK HAPA KISIMA WALICHOZIKWA WAFARANSA WAWILI WALIOULIWA ZAMANI ZANZIBAR NA...

Kisima kilichopo eneo la Matamwe Mkoa wa Kaskazini Unguja ambamo raia wawili wa Ufaransa wanasadikiwa kuuawa na kisha kufukiwa kwa zege. Picha na Mwinyi Sadallah Alipoulizwa kuhusu maendeleo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAMERA YETU MTAANI LEO JUMANNE FEB 4,2014

 Hapa ni Kiroyera Beach Bukoba, Camera yetu inakutana na Wageni waliofika hapa  kwa ajili ya mapumzika. Ugeni huo ukiwa kamili , familia yenye watoto wanne  wapo hapa kufurahia utalii na mandhari ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO MUHIMU KUHUSU FACEBOOK IKIWA LEO FEB 4,2014 IMETIMIZA MIAKA 10

 Hakuna Ubishi kwamba, mpaka sasa mtandao wa Facebook ndiyo mtandao pekee wa kijamii unao tumiwa na idadi kubwa zaidi ya watu. Leo February 4, mtandao wa Facebook unaadhimisha miaka 10 tangu ulipoanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OMBI MAALUMU KUTOKA KWA WADAU DENICE WASE,DJ SIMBA,LYT MUKAILE,JOHN...

Beyoncé Featuring Jay Z – Drunk In Love Lyrics:Produced By: Beyoncé & Detail[Verse 1] I've been drinking, I've been drinking I get filthy when that liquor get into me I've been thinking, I've been...

View Article
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>