Huu ndio muonekano wa Msanii Roma Mkatoliki ,una endelea kuzua maswali mengi wapo wanadai angependeza kuwa Diwani, wengine wanasema anapendeza kwa usanii,walio wengi wanasema kwa muonekano huu angependeza kuwa Mwanasiasa, wachache wanasema awe Wakili