Bukobawadau Blog tumepokea taarifa za kifo hiki kwa masikitiko makubwa, tunapenda kutoa pole kwa ndugu na jamaa wa familia ya Marehemu Mzee Abdallah Nzomkunda,pole kwa Watoto wa Marehemu,dada zangu Amina (nash)Aida ,Aishath,pole pia bro Hamidu na Rajab Pole kwa Kampuni ya Visram kumpoteza staff wenu, pole jirani yetu Tigo kuondokewa na Baba Mkwe.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'oun!!