$ 0 0 Taswira sehemu ya wakazi wa Mji wa Bukoba wakimsikiliza Mh. Lema kwenye viwanja vya Uhuru (mayunga)Uswahilini Bilele leo Jan 26,2014 Mh.Godbless Lema akiwahutubia wananchi katika viwanja vya Uhuru maarufu kama Mayunga.Kumsikiliza bonyeza kitufe cha Play hapa chini.