Majira ya saa kumi alasiri, Ndege maalumu ikiwa inawasili katika uwanja wa ndege mjini hapa.
Mh. Balozi Khamis Juma Sued Kagasheki akiwapungia mikoni wananchi waliojitokeza kumpokea.
Wananchi wakimpokea Mh. Balozi Kagasheki.
Hakika ni furaha isiyo pimika kwa mamia ya wananchi waliojitokeza katika Uwanja wa ndege.
Wadau wakipambana katika kumuongoza Balozi Kagasheki kuweza kupata njia.
Ilikuwa vigumu kupata njia kwa namna watu walivyo mlaki Mbunge wao maarufu kama Swahiba.
Mh. Balozi Khamis Kagasheck akicheck muda kabla ya kusaini kitabu cha Wageni.
Baada ya kusaini kitabu cha wageni anasalimiana na Haji Abbakari Galiatano na Haji Sadick Galiatano.
Balozi Kagasheki anasalimiana na Komredi Mzee Luangisa, Kitu Muhimu kutoka kwetu mdau msomaji utapa kusikiliza audio juu ya alichokisema Mzee Luangisa kupitia hapa hapa Bukobawadau Blog.
Nje ya Uwanja wa Ndege, bango linasomeka hivyo.
Mwanzo wa maandamano makubwa ya kumpokea Mh. Mbunge Balozi Khamis Kagasheki
Maeneo ya Polisi, barabara ya Samuel Luangisa.
Pwaa pwa pwa pwa Eee kidedea pwa pwa pwa pwa ee kidedea!!
Mguu kwa Mguu, hatua kwa hatua,kidea hadi maeneo ya Soko kuu Mjini Bukoba.
Katikati ya Viunga vya Mji wa bukoba,watu wanaimba, wanaruka, ni mwendo wa miduara na rusha roho.
Mtiti wa watu walio hudhuria katika mkutano huo.
Makamu meya wa Manispaa ya Mji wa Bukoba , Mzee Ngalinda akimkaribisha Mh. Mbunge Kagasheki jimboni mwake, sambamba na kutoa utambulisho kwa madiwani wote waliohudhuria.
Kushoto ni Mh. Ibrahim Maburouk , Diwani kata ya Bilele (CUF)
Mh. Samuel Ntambala Luangisa, Diwani kata ya Kitendaguro akitoa neno kidogo.
Taswira mbalimbali uwanjani
Sehemu ya wadau waliojitokeza kumsikiliza Mbunge Balozi Khamis Kagasheki.
Wadau wakimsikiliza Mbunge wao kwa umakini.
Hotuba ya Mh. Mbunge imekuza nyanja mbalimbali, kwa kuofia kupotosha tumefanya jitihada za makusudi kukupachikia wewe mdau Msomaji, full audio mwanzo mwisho.
Sehemu ya wadau pichani yupo Dada Pasycazia Barongo na Mzee Faustin Karugendo.
Mshereheshaji Uncle Salum Mawingo(Al Saqry kwa ukoo) maarufu kama Salum Organizer.
MH.Yusuph Ngaiza pichani kushoto, Ndg Yahaya na Mnec Ndg Karim Amri Amir.
Mchungaji Bililiza akimpongeza Mh. Balozi Kagasheki.
Mwisho wa Mkutano wananchi wakitawanyika katika viwanja vya Uhuru-Mayunga Uswahili.
HOTUBA NZIMA INAPATIKANA CHINI YA HABARI HII ,PIA VIDEO ZINAPATIKANA KATIKA HABARI ILIYOPO JUU YA HII...PICHA ZAIDI YA 200 ZINAPATIKANA KATIKA UKURASA WETU WA FACEBOOK .