$ 0 0 tTaswira katika Mji Mdogo wa Muleba waendesha bodaboda wakiwa wameegesha pembezoni mwa barabara kuu. Jengo la UVCCM zilipo ofisi za GSM Muleba.Gari aina ya fuso kama lilivyokutwa na Camera yetu likiwa limepakia mikungu ya ndizi