NAMAINGO YATOA ELIMU BURE WAKAZI DAR KUHUSU UJASIRIAMALI
Mkurugenzi wa Taasisi ya Namaingo Business Agency Tanzania Limited, Ubwa Ibrahim akitoa elimu ya ujasiriamali kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam katika Makao Makuu ya Taasisi hiyo, Ukonga, Dar es...
View ArticleVIDEO:RC MAKONDA AKIZUNGUMZA NA WAUMINI KATIKA KANISA LA KKKT KIMARA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akizungumza na waumini wa Kanisa la KKKT Kimara ambalo leo limeendesha ya ibada ya maombi ya kumuombea Rais Dk. John Magufuli, Watendaji pamoja na Mkuu...
View ArticleCamera yetu Mjini Muleba leo Jumatatu March 6,2017
tTaswira katika Mji Mdogo wa Muleba waendesha bodaboda wakiwa wameegesha pembezoni mwa barabara kuu. Jengo la UVCCM zilipo ofisi za GSM Muleba.Gari aina ya fuso kama lilivyokutwa na Camera yetu likiwa...
View ArticleRAIS MAGUFULI AZINDUA UWANJA WA NDEGEVITA WA KAMBI YA NGERENGERE, MOROGORO
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli akijiandaa kufyatua risasi ya bastola kuashiria matumizi rasmi ya Uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere mkoani Morogoro leo Machi 6, 2017 ais na...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli ametengua rasmi nafasi ya Mtendaji Mkuu wa Shirika Elimu Kibaha Dkt. Crispin Mpemba ili kupisha uchunguzi wa tuhuma...
View ArticleMAADHIMISHO YA GIRL GUIDES TEMEKE YA KUMUENZI MWASISI WA TGGA DUNIANI
Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa katika matembezi ya Maadhimisho ya Chama Cha Girl Guides Tanzania (TGGA) ya kumuenzi mwanzilishi wa chama hicho Duniami, Roden Barden Powell...
View ArticleWAZIRI DKT TIZEBA AWAONYA WENYE VIWANDA VYA CHAI KUTOWANYONYA WAKULIMA WADOGO...
mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza aliyemwakilisha waziri wa wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba akifungua mkutano mkuu wa wadau wa chai nchini uliofanyika wilayani MufindiWadau wa zao...
View ArticleWABUNGE WAPAZA SAUTI KUHUSU UZAZI WA MPANGO, KUPUNGUZA VIFO VINAVYOTAKANA NA...
Asasi ya Kibunge inayojihusisha na masuala ya Idadi ya watu na maendeleo (TPAPD) imeelezea umuhimu wa kuweka kipaumbele kwenye masuala ya uzazi wa mpango ili kukabiliana na ongezeko la kasi la idadi...
View ArticleSIMBACHAWENE ASISITIZA USAFI WA MAZINGIRA KATIKA MJI WA DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene amewataka viongozi wa Manispaa ya Dodoma kuwa wabunifu katika kushughulikia suala la usafi wa mazingira ili...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE
Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Vijana na Watu wenye Ulemavu) washiriki sherehe za maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani yenye kauli mbiu isemayo Tanzania ya Viwanda: wanawake ni...
View ArticleBALOZI KAMALA AHUDHURIA KAMATI TENDAJI YA KIBUNGE KUHUSI SHIRIKISHO LA...
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akishiriki kikao cha 38 Kamati Tendaji Kuhusu Shirikisho la Biashara Duniani. Kikao hicho kimefanyika Brussels - Ubeligiji...
View ArticleR.I.P SIR GEORGE KAHAMA
TANZIA: Mmoja wa waasisi wa Taifa la Tanzania, Sir. George Kahama afariki dunia! Kwa Ufupi kuhusu Sir George Kahama aliwahi kuwa Waziri wa Mambo yaNdani (1961-1962) kabla nafasi hiyo hajaichukua Oscar...
View ArticleRAIS JPM AKUTANA NA DK SHEIN IKULU CHAMWINO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein walipokutana kwa mazungumzo Ikulu ya Chamwino...
View ArticleJK AZINDUA RASMI TAASISI YA MAENDELEO YA JAKAYA MRISHO KIKWETE (JMKF)
Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (kulia), akizungumza alipokuwa akizindua rasmi Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) ikiwa ni sehemu pia ya uzinduzi wa...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AFUNGA SEMINA YA WATENDAJI NA WENYEVITI WA...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa baada ya kufunga semina yao katika ukumbi w White House mjini...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU YA CHAMWINO...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma Jana Machi 15, 2017Rais wa Jamhuri...
View ArticleQUALITY GROUP KUANZISHA KAMPUNI LUKUKI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Kampuni za Quality Group Limited (QGL), Nicholas Ralph akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuunga mkono jitihada za Rais John Magufuli...
View ArticleMKURUGENZI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA TANZANIA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA...
Bw. Alvaro Rodriguez ambaye ni Mwakilishi Mkazi wa Mashirika matatu ya Umoja wa Maifa nchini Tanzania (IOM, UNICEF na UNDP) akiongea na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu, Salum Kijuu mara...
View ArticleCHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA YA KINYWA NA MENO KUFANYIA MATIBABU WATOTO 53
Daktariwa Kinywa na Meno Hospitali ya Sinza Dar es Salaam, Idd Khery akimfanyia matibabu ya Kinywa na Meno mwanafunzi wa Darasa la 3 Shule ya Msingi Jumuishi Buhangija, Rajabu Yahaya katika...
View ArticleMAHAKAMA YAMGANDA YUSUF MANJI
-NA KULWA MZEE -DAR ES SALAAM MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imekataa kutoa amri ya kumwachia huru kwa muda mfanyabiashara, Yusuf Manji badala yake imeamuru kusikiliza maombi yake ya kupinga...
View Article