ZIARA YA MKURUGENZI WA NAMAINGO KUIMARISHA UJASIRIAMALI MIKOANI
Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Ubwa Ibrahim akiwa katika moja ya ,ya mikoa kukagua na kuimarisha shughuli za Wajasiriamali wanachama wa kampuni hiyo katika mikoa mbalimbali nchini....
View ArticleEAST AFRICA CHORAL AND CULTURAL DANCE FESTIVALS:BUKOBA
EAST AFRICA CHORAL AND CULTURAL DANCE FESTIVALS: BUKOBA, TANZANIAExecutive Summary & Concept Paper Drawn by Smart P. Baitani, (BA, MBA, PMP) President & CEO of...
View ArticleMAMIA WAMZIKA TWAHA YUNUS MSOKE KIJIJINI KISHANDA MULEBA LEO ALHAMISI FEB...
Sheikh wa Mtaa wa Kishanda, Sheikh Selemani akiongoza Dua mara baada ya Sala ya kusalia Maiti ya Marehemu Twaha Yunus (Msoke) aliyekuwa Meneja wa Lake Hotel Bukoba kwa muda mrefu. Sala ya kusalia...
View ArticleRais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete Akutana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya...
Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Kamisheni ya Kimataifa ya Kupendekeza Namna Bora ya Kugharamia Fursa za ELimu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dkt....
View ArticleRAIS MSTAAFU ALHAJ ALLY HASSAN MWINYI KATIKA SHEREHE YA UHURU WA KUWAIT USIKU...
Rais Mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi akipokea zawadi ya mchoro toka kwa Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem al Najem katika hafla ya kusherehekea Miaka 54 ya Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka 26 ya...
View ArticleTETEMEKO LA ARDHI RUKWA
TETEMEKO RUKWA: Tetemeko la ardhi la ukubwa wa 5.7 limetokea huko Sumbawanga mkoani Rukwa usiku wa kuamkia leo, RPC George Kyando asema hakuna madhara yaliyoripotiwa #GazetiNiMwananchi
View ArticleWEMA SEPETU AONGEA NA WANAHABARI ATANGAZA KUAMIA CHADEMA
"Nilipokua kada, nilijitoa muda wangu na maisha yangu. Lakini, nilivyotegemea havikutokea. Sisemi nilitaka kubebwa au la" - Wema Sepetu "Nilizaliwa na kulelewa ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Baba yangu...
View ArticleAJALI YAUA WATU WANNE MJINI BUKOBA
Ajali imetokea jioni ya leo Ijumaa Mjini Bukoba baada ya Bus la Rweikiza Mediam School kufeli break na kuwagonga waendesha bodaboda waliokuwa wameegesha kandokando mwa barabara ya Rwemishenye ,taarifa...
View ArticleWAKAMATWA KWA KUJIHUSISHA NA KILIMO CHA BANGI WILAYANI NGARA NA BIHARAMULO
Jeshi la polisi katika wilaya za Ngara na Biharamulo mkoani Kagera linawashikilia wakazi watano wa wilaya hizo kwa kujihusisha na kilimo cha bangi ambayo ni madawa ya Kulevya huku wakihusika kuharibu...
View ArticleRais Mstaafu Jakaya Kikwete Akutana na Rais wa Ivory Coast Mheshimiwa...
Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Kamisheni ya Kimataifa ya Elimu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete jana tarehe 23Februari 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Ivory Coast, Mhe. Alassane Ouattara...
View ArticleRAIS YOWERI MUSEVENI AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI NA KUREJEA NCHINI KWAKE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
View ArticleMAGUFULI AMUAPISHA KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI PAMOJA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Thobias Andengenye kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es...
View ArticleJIUNGE NA 'GANYAMUKANDA SYNDICATE' WADAU WA MAENDELEO KATA YA KISHANDA MULEBA
Wajumbe wa kamati ya shule ya msingi Ganyamukanda wakiwa na wawakilishi kutoka Ganyamukanda syndicate. Fatuma Abdallah na diwani Charles Kinubi Muonekano wa Chumba Kimoja cha Darasa ulioanzishwa hapo...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU KATIKA KANISA KATOLIKI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika Ibada ya Jumatano ya Majivu pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary...
View ArticleKITUO CHA EATV NA HAWA FOUNDATION WAZINDUA KAMPENI YA KUCHANGISHA FEDHA...
Kituo cha televisheni cha EATV kwa kushirikiana na taasisi ya haki za wanawake (HAWA), wamezindua kampeni ya kuchangisha fedha kwa ajili ya wasichana na wanafunzi wa shule za sekondari nchini...
View ArticleRAIS MAGUFULI AMTEUA MAMA SALMA KIKWETE KUWA MBUNGE
Rais John Magufuli amemteua Mama Salma Kikwete kuwa mbunge kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
View ArticleMATUKIO YA PICHA SHUGHULI YA MATANGA YA BALOZI RWEGASIRA NA ESTHER RWEGASIRA
Familia ya Marehemu Balozi Joseph Rwegasira na Mama Esther Rwegasira,siku ya Jana Feb 28,2017 wameungana na ndugu jamaa na marafiki katika shughuli ya Ibada ya kumbukumbu na kuanua matanga iliyofanyika...
View ArticleMUSHEMBA TRINITY SCHOOL NI TUNDA LINALOCHIPUKIA KAGERA NA TANZANIA
Mushemba Trinity School Bukoba ni shule ambayo ilianzishwa mwaka 2012 ikiwa na watoto 26 hasa wenywe uitaji katika jamii lakini pia kutoka katika familia za kawaida, ni shule ya Bweni na kutwa, ila kwa...
View ArticleAhadi za Rais Dkt. Magufuli zatekelezwa katika ziara yake mikoa ya Kusini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki la Watakatifu Wote Jimbo la Mtwara Fr. Patrick Mwaya mara baada ya mahubiri katika Kanisa...
View Article