SHUGHULI YA MAZISHI YA SIR GEORGE KAHAMA JIJINI DAR ES SALAAM JANA
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo katika kaburi la Marehemu Sir George Kahama katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk...
View ArticleRAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUTA AGIZO LA KUFUNGA NDOA KWA SHARTI LA KUWA NA...
RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari Mkoani Dodoma kuhusiana na kufuta agizo lililotolewa Jana na Waziri wa Katiba na Sheria kuhusu Wananchi...
View ArticleMASHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA NCHI TANZANIA WAFANYA MKUTANO NA WAHARIRI WA...
Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania yamewakutanisha wahariri ambao ni wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) ili kujadili namna ya kufanya kazi pamoja na mashirika hayo. Mashirika ya...
View ArticleSERIKALI MTANDAO;TANAPA INAVYOTUMIA TEHAMA KUTOA HUDUMA ZAKE KWA UMMA
Huu ni mfululizo wa vipindi vya Serikali Mtandao hapa utaona kwa namna gani TANAPA inavyotumia TEHAMA katika utoaji huduma kwa umma.
View ArticleBi.Emmanuela Mtatifikolo Kaganda achukua fomu kugombea ubunge wa Bunge la...
-- Bi.Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, mmoja wa wagombea ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki akikabidhiwa fomu na Bw. Said Bakari wa Idara ya Uhusiano wa kimataifa katika makao makuu ya CCM mtaa wa...
View ArticleBalozi wa Tanzania Nchini Ujerumani Mhe Philip Marmo Amvisha Cheo Kanali wa...
Katika hali ambayo haijazoeleka na iliyoonekana kuwa ngeni, Balozi wa Tanzania Mhe. Philip Marmo alimvisha Cheo Kanali Joseph Bakari aliyepandishwa Cheo hivi karibuni kutoka Luteni kanali.Hafla hiyo...
View ArticleBENKI YA KCB TANZANIA YAZINDUA WARSHA YA BIASHARA CLUB KWA WATEJA WAKE AMBAO...
Benki ya KCB Tanzania imeendelea kuwekeza kwa wajasiriamali wadogo na wakati kupitia kitengo chake cha “Biashara Club”, kitengo kinachohudumia wajasiriamali wadogo na wakati yaani (SME) kwa kuwapa...
View ArticleRIPOTI YA KAMATI ILIYOUNDWA NA WAZIRI NAPE NNAUYE KUHUSU UVAMIZI WA CLOUDS MEDIA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa ripoti ya uchunguzi kuhusu tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul...
View ArticleJUKWAA LA WAHARIRI LATANGAZA KUSUSIA KUANDIKA HABARI ZA MAKONDA
Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Neville Meena (katikati) akizungumza katika mkutano ana waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamko la vyombo vya habari la kususia kuandika...
View ArticleBOMOA BOMOA KANDO YA RELI YALIKUMBA ENEO LA KURASINI DAR
Katapila likibomoa majengo ya Baa ya Pentagon katika oparesheni ya bomoa bomoa nyumba zote zilizojengwa katika hifadhi ya Reli ya Kati eneo la Mivinjeni, Kurasini Dar es Salaam. Makontena ya...
View ArticleJARIDA LA WIZARA YA HABARI UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO, TOLEO LA MWEZI MACHI,...
JARIDA LA WIZARA YA HABARI by WHUSM on Scribd
View ArticleKUTOKA KWA MWIGULU NCHEMBA LEO IJUMAA MARCH 24,2017
Kupitia ukurasa wake wa Facebook. Mh. Mwigulu Lameck Nchemba ambae ni Waziri wa Mambo ya ndani ameandika maneno haya ;Mh.Nape Moses Nnauye sio jambazi, ni mtanzania, ni mbunge, mjumbe wa NEC wa CCM,...
View ArticleMANDHARI YA MJI WA BUKOBA LEO
Muonekano wa kipekee wa Kisiwa cha Musila, mandhari safi kabisa mjini Bukoba maeneo ya Kasura
View ArticleRais Magufuli aagiza MsaniiNey Wa Mitego kuachiwa huru
#HABARI Rais John Pombe Magufuli ameagiza msanii Ney wa Mitego aliyekamatwa jana mkoani Morogoro na kusafirishwa kwenda jijini Dar es salaam, aachiwe huru na wimbo wake upigwe kwenye vituo vyote vya...
View ArticleUFAFANUZI WA ACACIA DHIDI YA TUHUMA ZA USAFIRISHAJI WA MAKINIKIA YA...
Buzwagi Mining site.Wakuu napenda kuwapa habari hiyo juu ya makinikia ya dhahabu/shaba.=============== Zimepita wiki tatu (3), tangu kutangazwa kwa zuio la ghafla la ushafirishaji wa makinikia ya...
View ArticleUZINDUZI WA TOVUTI TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( OR-TAMISEMI) , Mhe. George Simbachawene akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kitaifa wa Tovuti za Mikoa na Halmashauri uliofanyika katika...
View ArticleSAKATA LA MAJI BUKOBA LAZIDI KUCHUKUA KASI LEO MACHI 29,2017
Kuhusu kukatika Kwa Maji mjini Bukoba ni kutokana na hatua ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuwakatia Umeme wadaiwa wote sugu na mashirika Umma ikiwa ni pamoja na BUWASA mpaka hapo watakapo lipa...
View ArticleUWANJANI KAITABA:SERENGETI BOYS 3 - 0 BURUNDI
Na Faustine Ruta, Bukoba Timu ya Vijana U17 ya Burudi leo kwenye uwanja wa Kaitaba imeanza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki kwa kichapo cha bao 3-0 na Timu ya Vijanamaarufu kwa jina la Serengeti Boys....
View Article