Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA UFUPI KANYIGO NA MACHIFU (ABAKAMA)

Muonekano wa maeneo ya Kishenge -Kanyigo ,Kiziba Mkoani KageraBukobawadau Media :Nitaanzia mbali kidogo. Kiziba ilijulikana kama Bunyarwai wakati wa Mukama Bike, katika karne ya 15. Ndugu yake Bike...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) KWA VYOMBO VYA...

 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Wana Habari Makao Makuu UVCCM Upanga.Ndugu waandishi wa habari,Tunawashukuru kwa kupokea wito wetu na kuja, karibuni sana tunawaahidi kwamba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAELFU WAMZIKA MAREHEMU DOMINICK RWEHUMBIZA MUGOMBA KIJIJINI KANYIGO

Shughuli ya Mazishi ya marehemu Mzee Dominick Rwehumbiza Mugomba (81),imefanyika siku ya jana Alhamis 30,2017 Nyumbani kwake Kijijini Kanyigo Wilayani Missenyi,Mazishi hayo yamehudhuriwa na viongozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA AWASILI NCHINI NA KUPOKELEWA NA RAIS MHE.DKT. MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kumpokea mgeni wake Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Dessalegn mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAELFU WAMZIKA MAREHEMU DOMINICK RWEHUMBIZA MUGOMBA KIJIJINI KANYIGO

Shughuli ya Mazishi ya marehemu Mzee Dominick Rwehumbiza Mugomba (81),imefanyika siku ya jana Alhamis 30,2017 Nyumbani kwake Kijijini Kanyigo Wilayani Missenyi,Mazishi hayo yamehudhuriwa na viongozi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA:TAARIFA YA KIFO CHA STIDE MUHAZI

Kwa masikitiko tumepokea taarifa Za kifo cha Kaka yetu,rafiki yetu Stide Muhazi kilichotokea Usiku wa jana Ijumaa machi 31,Shughuli ya mazishi yake inatalajiwa kufanyika siku ya Jumatatu April 3,2017...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIRAFIKI: SERENGETI BOYS YAITANDIKA BURUNDI BAO 2-0 KAITABA MJINI BUKOBA LEO

Na Faustine Ruta, BukobaTimu ya Vijana U17 ya Burudi leo kwenye uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba imepoteza mchezo wake wa pili tena wa kirafiki baada ya kukubali kuchapwa bao 2-0 na Timu ya Serengeti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU YA KAGERA SUGAR ''WANANKURUKUMBI'' WAIADHIBU SIMBA 2-1 UWANJANI KAITABA LEO

Timu ya Kagera Sugar maarufu kama Super Nkurukumbi leo wameza kuwafurahisha  Maelfu ya mashabiki wake waliojitokeza kwa wingi kushuhudia mpambano wao dhidi ya timu ya Simba katika mchezo wa ligi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKWETE AVUNJA REKODI YA KUSHANGILIWA BUNGENI

VIFIJO , vigeregere na nderemo vimetawala bungeni baada ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kutambulishwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai.Kikwete ambaye alimsindikiza mkewe,  alitambulishwa mara baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA UCHAGUZI UBUNGE EALA

Washindi CCM: 1. Fancy Nkuhi (ke) 2. Happiness Legiko (ke) 3. Maryam Ussi Yahya (ke) 4. Dkt Abdullah Makame (me) 5. Dkt Ngwaru Maghembe (me) 6. Alhaj Adam Kimbisa (me). Nafasi za Upinzani: 7. Eng....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI MKOANI KAGERA YAPOKEA VIFAA VYA KISASA KUTEKELEZA KWA UFANISI...

Serikali ya Mkoa wa Kagera imepatiwa vifaa vya kisasa  ambavyo ni Ndege mbili zisizotumia Rubani (Drones) na Redio Upepo ishirini (Radio Calls) kwa ajili ya kufanikisha operesheni ya kuwaondoa wavamizi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA YA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA ALISTIDES MUHAZI - KIJIJINI BUGANGUZI

Hivi ndivyo mamia ya wananchi, wakiongoza na Viongozi wa ngazi mbalimbali walijitokeza kuungana na familia ya Marehemu Mzee Muhazi ,kuuaga mwili wa ndugu yao mpenda Marehemu Alistides Kweyunga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MVUA YAZUA TAHARUKI MJINI BUKOBA LEO

Mvua kubwa imeendelea kunyesha leo Jumamosi April 8,2017 na kusababisha athari kwa wakazi wa Mji wa Bukoba,pichani wanaonekana wananchi wakipata usumbufu katika daraja la Kanoni kutoka eneo moja kwenda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OPERESHENI ONDOA MIFUGO KAGERA YASONGA MBELE SASA NG’OMBE WASAKWA KWA NDEGE...

Operesheni ondoa mifugo katika Hifadhi za Misitu na Mapori ya Akiba Mkoani Kagera yaendelea kwa kasi ambapo tangu kuanza kwa operesheni hiyo Machi 31, 2017 hadi kufikia Aprili 7, 2107 tayari  mifugo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO YA PICHA KTK MAZISHI YA ARISTIDES RUMANYIKA KYOMBO - KIJIJINI KITOBO...

Moja kwa moja kutoka Kijijini Kitobo-Kyazi ni matukio ya picha yaliyojiri katika shughuli ya Ibada ya mazishi ya Arstides Rumanyika Kyombo iliyofanyika mwishoni mwa juma nyumbani Kwao kijijini Kitobo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BITHDAY BLOGGER CATHBERT ANGELO KAJUNA

Leo Aprili 10 ni siku ya kuzaliwa kwangu Blogger Cathbert Angelo Kajuna mmiliki wa Kajunason Blog (www.kajunason.com), Namshukru sana mwenyezi Mungu kwa kunilinda mpaka kufika hapa nilipo na kunipa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU AKABIDHIWA OFISI RASMI LEO MJINI DODOMA

Katibu mkuu wa wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Dkt Leonard Akwikapo na Naibu katibu mkuu Dkt.Ave Maria Semakafu leo wamepokelewa na kukabidhiwa ofisi zao katika makao makuu ya ofisi za wizara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO 17 KUHUSU KOREA KASKAZINI

#Yafahamu mambo 17 Kuhusu #Korea ya Kaskazini! 1.#Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug. 2.#Ndio nchi pekee duniani hadi sasa amabayo imewahi kuiteka meli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA RELI YA KISASA STANDARD...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli akikata utepe kuashiria...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO 17 KUHUSU KOREA KASKAZINI

#Yafahamu mambo 17 Kuhusu #Korea ya Kaskazini! 1.#Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug. 2.#Ndio nchi pekee duniani hadi sasa amabayo imewahi kuiteka meli...

View Article
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live