Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUNA MWENENDO MZURI KATIKA SOMO LA KISWAHILI-TWAWEZA

Na Hassan Silayo Mwenendo wa somo la Kiswahili nchini umeendelea kuimarika na hii ni kutokana na jitihada mbalimbali ziliwekwa na serikali katika somo hilo. Akitoa ripoti matokeo ya utafiti wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ATHARI YA MAZINGIRA BAADA YA MVUA YA MAFURIKO BUKOBA

Athari ya mazingira kandokando mwa ziwa Victoria kutokana na mvua kubwa zilizonyesha maeneo mbalimbali mkoani Kagera siku ya jumapili April 9,2017 na kusababisha madhara katika baadhi ya maeneo Mvua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABIBI NA MABWANA SKY MOTEL WAME TUALIKA MSIMU HUU WA PASAKA KUPATA HUDUMA...

 Katika kipindi hiki cha sikukuu SKY MOTEL wamewaandalia ofa kabambe katika huduma zote zinazopatikana sky motel. Karibu Sky Motel utapokelewa vizuri na kuhudumiwa na wahudumu wetu vizuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PASAKA HII HARMORAPA KUWEKA HISTORIA! KUSHUKA NA HELIKOPTA DAR LIVE!

Pasaka hii Harmorapa kuweka historia! Kushuka na Helikopta Dar Live! Mashabiki wake wa mwanzo kuingia BURE! Wengine kiingilio shs 5000 tu!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AZINDUA MAJENGO YA HOSTELI MPYA ZA UDSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Hostel mpya 20 za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Hostel hizo leo Jijini Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais John Magufuli atoa zawadi za Pasaka kwa Makundi maalum

Kamishna wa Ustawi wa Jamii  kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Bw. Rabikira Mushi akikabidhi zawadi za Pasaka kwa niaba ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DUKA LA KISASA LA GSM MALL LAUNGUA MOTO DAR

 Magari ya Zimamoto na Uokoaji yakiwa nje ya Duka kubwa la GSM Mall tayari kuzima moto uliokuwa unaunguza duka hilo katika Barabara ya Nyerere eneo la Mtava, Dar es Salaam. Chanzo cha moto huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIILI YA ASKARI NANE WALIOUAWA NA MAJAMBAZI MKOANI PWANI YAAGWA RASMI,WAZIRI...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchini, Mwigulu Nchemba, akitoa heshima za mwisho Dar es Salaam leo mbele ya majeneza yenye miili ya askari nane waliouawa na majambazi Kibiti wilayani Mkuranga mkoani Pwani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHAZ + VIDEO: JUMA NATURE ASEPA NA KIJIJI DAR LIVE

Msanii Nguli wa Bongo Fleva, Juma Kassim 'Nature' akipanda jukwaani.SHANGWE zilikuwa shangwe usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, namaanisha Dar Live ambapo wakali wa kudondosha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pichaz +Video: Harmorapa Aandika Historia Mpya Dar Live, Apiga Shoo ya Kibabe

Harmorapa si wa mchezo mchezo! Usiku wa kuamkia leo Ameandika Historia Mpya ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, nazungumzia Dar Live uliopo Mbagala Zakhiem baada ya kudondosha Bonge la Shoo tofauti n...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI U.W.T MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA DINI YA KIISLAMU TAMBAZA DAR...

 Mkuu wa Idara ya Biashara na Mlezi wa Wanafunzi wa Sekondari ya Tambaza, Abdul aziz Said  akizungumza na Wazazi  na wahitimu wa shule hiyo wakati wa Mahafali ya  Elimu ya Dini ya kiislam ya Sekondari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA MCHANA WA PASAKA MJINI BUKOBA

Pata matukio ya picha yaliyojiri mchana wa Pasaka Mjini Bukoba ,Kwa walioamini Pasaka  ni sikukuu ya kufanya ukumbusho wa kufufuka kwake Yesu Kristo Umati mkubwa wa Watoto na Vijana wa Umri mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA WAUZA TAMTHILIA NA FILAMU ZA NJE WAANDAMANA KUIOMBA SERIKALI...

Vijana ambao ni machinga wanaouza CD za Tamthilia na filamu za kizungu,Kihindi na za kutoka bara la asia  wakionesha cd hizo juu wakati wa mkutano na waandishi wa habari mtaa wa Aggrey eneo la Kariakoo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WILAYANI NGARA:RISASI ZAOKOTWA ZIKIWA ZIMETELEKEZWA

 Askari polisi wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera akishuhudia  Risasi 193 za silaha mbalimbali zinazotumika kuuwa wanyama kwenye hifadhi baada ya kuokotwa kandokando ya mto Ruvubu katika daraja kuu la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA JULIUS MTATIRO KUHUSU VURUGU ZA WANACHAMA CUF

MUNGIKI WA LIPUMBA WAVAMIA “PRESS” YA CUF, WAPIGA WAANDISHI WA HABARI NA VIONGOZI, MUNGIKI MMOJA AJERUHIWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI! TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. (Imetolewa na Julius Mtatiro,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJUWE MJI MDOGO WA KATORO BUKOBA VIJIJINI

 Katoro (Bukoba) ni jina la kata ya Wilaya ya Bukoba Vijijini katika Mkoa wa Kagera, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 11,076 waishio humo. Katoro ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAGERA SUGAR YARUDISHIWA POINT ZAKE TATU

Kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji imebatilisha uamuzi wa kamati ya masaa 72 kwa kuipa Simba pointi tatu na kuzirudisha Kagera Sugar

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO KWA UMMA LA UUZWAJI VIWANJA KATIKA ENEO LA MKUNDI MOROGORO

View Article

JARIDA LA MTANDAONI LA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) APRILI-JUNI 2017.

NIT ONLINE NEWSLETTER, APRILI-JUNE 2017 by Chuo cha Usafirishaji on Scribd

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGOMANO LA UVCCM MKOA WA KAGERA KUHUSU CCM MPYA/TANZANIA MPYA,APRIL 29!!

UVCCM Mkoa Kagera inakukaribisha Katika Kongamano la Darasa la Itikadi kuhusu CCM MPYA/TANZANIA MPYA. Kongamano hilo litafanyika tarehe 29. 04. 2017 kuanzia saa 3 asubuhi hapa hapa Bukoba mjini. Mgeni...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>