BI ZAHARA A.RAMADHAN AFADHILI NA KUJENGA MSIKITI KIJIJINI KWAO ITOMA-KATORO...
Bi Zahara Abdullah Ramadhan pichani kulia amefadhili kikamilifu ujenzi wa msikiti katika kijiji chao anachozaliwa Katoro -Itoma Bukoba Vijijini,Bi Zahara amejitolewa kuwajengea waumini wa Kiislam...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI KWA WATUMISHI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wa umma kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa...
View ArticleMGODI WA BULYANHULU WAONESHA VIFAA NA MBINU ZA KISASA ZA UOKOAJI MGODINI
Maonesho ya wiki ya usalama na afya kazini yameendelea katika viwanja vya Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro ambapo mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu unaomilikiwa na kampuni ya uchimbaji madini ya...
View ArticleRAIS MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMAPILI KATIKA KANISA KATOLIKI LA KRISTO MFALME...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Fredrick Shoo akimsomea mstari wa Biblia kutoka kitabu cha Yeremia 17: 7-8 kabla ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt....
View ArticleRAIS DKT. MGUFULI APATA CHAKULA CHA MCHANA NA VIONGOZI WA DINI WA MKOA WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na viongozi wa dini wa mkoa wa Kilimanjaro baada ya kupata nao chakula cha mchana katika Ikulu ndogo mjini Moshi leo Aprili...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA SHEREHE ZA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitabasamu wakati Wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi wakiwa katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo...
View ArticleMAONI YA MDAU KUHUSU CHANGAMOTO KATIKA KATA YA KATORO
@bukobawadau ,Asante sana kwa kutoa Documentary fupi kuhusu Katoro (Bukoba Vijijini). Katoro ni nyumbani kwetu. Nimefurahi kusoma na kuona yaliyojiri wakati mlipotembelea Katoro. Mchango wangu kama...
View ArticleMABIBI NA MABWANA SKY MOTEL WAME TUALIKA MSIMU HUU WA PASAKA KUPATA HUDUMA...
Katika kipindi hiki cha sikukuu SKY MOTEL wamewaandalia ofa kabambe katika huduma zote zinazopatikana sky motel. Karibu Sky Motel utapokelewa vizuri na kuhudumiwa na wahudumu wetu vizuri...
View ArticlePASAKA HII HARMORAPA KUWEKA HISTORIA! KUSHUKA NA HELIKOPTA DAR LIVE!
Pasaka hii Harmorapa kuweka historia! Kushuka na Helikopta Dar Live! Mashabiki wake wa mwanzo kuingia BURE! Wengine kiingilio shs 5000 tu!
View ArticleRAIS MAGUFULI AZINDUA MAJENGO YA HOSTELI MPYA ZA UDSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Hostel mpya 20 za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Hostel hizo leo Jijini Dar...
View ArticleRais John Magufuli atoa zawadi za Pasaka kwa Makundi maalum
Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Bw. Rabikira Mushi akikabidhi zawadi za Pasaka kwa niaba ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
View ArticleDUKA LA KISASA LA GSM MALL LAUNGUA MOTO DAR
Magari ya Zimamoto na Uokoaji yakiwa nje ya Duka kubwa la GSM Mall tayari kuzima moto uliokuwa unaunguza duka hilo katika Barabara ya Nyerere eneo la Mtava, Dar es Salaam. Chanzo cha moto huo...
View ArticleMIILI YA ASKARI NANE WALIOUAWA NA MAJAMBAZI MKOANI PWANI YAAGWA RASMI,WAZIRI...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchini, Mwigulu Nchemba, akitoa heshima za mwisho Dar es Salaam leo mbele ya majeneza yenye miili ya askari nane waliouawa na majambazi Kibiti wilayani Mkuranga mkoani Pwani...
View ArticlePICHAZ + VIDEO: JUMA NATURE ASEPA NA KIJIJI DAR LIVE
Msanii Nguli wa Bongo Fleva, Juma Kassim 'Nature' akipanda jukwaani.SHANGWE zilikuwa shangwe usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, namaanisha Dar Live ambapo wakali wa kudondosha...
View ArticlePichaz +Video: Harmorapa Aandika Historia Mpya Dar Live, Apiga Shoo ya Kibabe
Harmorapa si wa mchezo mchezo! Usiku wa kuamkia leo Ameandika Historia Mpya ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, nazungumzia Dar Live uliopo Mbagala Zakhiem baada ya kudondosha Bonge la Shoo tofauti n...
View ArticleMWENYEKITI U.W.T MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA DINI YA KIISLAMU TAMBAZA DAR...
Mkuu wa Idara ya Biashara na Mlezi wa Wanafunzi wa Sekondari ya Tambaza, Abdul aziz Said akizungumza na Wazazi na wahitimu wa shule hiyo wakati wa Mahafali ya Elimu ya Dini ya kiislam ya Sekondari...
View ArticleTASWIRA MCHANA WA PASAKA MJINI BUKOBA
Pata matukio ya picha yaliyojiri mchana wa Pasaka Mjini Bukoba ,Kwa walioamini Pasaka ni sikukuu ya kufanya ukumbusho wa kufufuka kwake Yesu Kristo Umati mkubwa wa Watoto na Vijana wa Umri mbalimbali...
View ArticleVIJANA WAUZA TAMTHILIA NA FILAMU ZA NJE WAANDAMANA KUIOMBA SERIKALI...
Vijana ambao ni machinga wanaouza CD za Tamthilia na filamu za kizungu,Kihindi na za kutoka bara la asia wakionesha cd hizo juu wakati wa mkutano na waandishi wa habari mtaa wa Aggrey eneo la Kariakoo...
View ArticleWILAYANI NGARA:RISASI ZAOKOTWA ZIKIWA ZIMETELEKEZWA
Askari polisi wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera akishuhudia Risasi 193 za silaha mbalimbali zinazotumika kuuwa wanyama kwenye hifadhi baada ya kuokotwa kandokando ya mto Ruvubu katika daraja kuu la...
View ArticleTAARIFA YA JULIUS MTATIRO KUHUSU VURUGU ZA WANACHAMA CUF
MUNGIKI WA LIPUMBA WAVAMIA “PRESS” YA CUF, WAPIGA WAANDISHI WA HABARI NA VIONGOZI, MUNGIKI MMOJA AJERUHIWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI! TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. (Imetolewa na Julius Mtatiro,...
View Article