Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Vijana na Watu wenye Ulemavu) washiriki sherehe za maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani yenye kauli mbiu isemayo Tanzania ya Viwanda: wanawake ni Msingi wa mabadiliko kiuchumi.
Maadhimisho hayo yamefanyika tarehe 8 Machi, 2017 katika Viwanja vya Mwembe yanga katika Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam.
Maadhimisho hayo yamefanyika tarehe 8 Machi, 2017 katika Viwanja vya Mwembe yanga katika Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam.