#TANZIA:Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi mjini na Mwenyekiti wa mkoa wa Kilimanjaro (CHADEMA) Philemon Ndesamburo amefariki ghafla wakati alipokuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Moshi.
↧