Mbunge wa Korogwe Ajitosa Majini kuokoa wananchi wake!!
 Profesa Maji Marefu ( Steven Ngonyani ) Mbunge wa Korogwe Vijijini akiokoa watu wake jimboni. Hakika huyu ni Mbunge wa watu!
View ArticleMVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZIMELETA ATHARI YA MIUNDOMBINU KEMONDO BUKOBA
 Mvua zinazoendelea kunyesha Bukoba zimeleta athari mbalimbali kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kuharibu miundombinu ya barabara Eneo la Bulila Kemondo Bukoba Vijijini ,Barabara ikiwa imekatika kufuata...
View ArticleRAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALIVYOSHIRIKI KATIKA DHIFA YA KITAIFA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali (hawaonekani pichani) waliohudhuria katika Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia Rais wa Afrika Kusini Jacob...
View ArticleMVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZIMELETA ATHARI YA MIUNDOMBINU KEMONDO BUKOBA
 Mvua zinazoendelea kunyesha Bukoba zimeleta athari mbalimbali kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kuharibu miundombinu ya barabara Eneo la Bulila Kemondo Bukoba Vijijini ,Barabara ikiwa imekatika kufuata...
View ArticleMATUKIO YA PICHA HARUSI YA BURUANI KICHWABUTA NA HASANATH MSWADIKU
Maharusi wetu Buruhani Kichwabuta na Mke wake Bi Hasanath wakiwa katika tabasamu pana baada ya shughuli ya ndoa kukamilika iliyofanyika Majuzi nyumbani kwao na Bi harusi na Sasa ni Siku nyingine na...
View ArticleMkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen
Bw.Mfundo Peter Mfundo mwenye miwani katikati mwenyekiti wa Umoja wa wa Tanzania ujerumani akikakata keki#Umoja wa watanzania Ujerumani UTU e.V watingisha jiji la Essen nchini Ujerumani baada ya...
View ArticleHABARI ZAHIVI PUNDE KUTOKA HOSPITALI YA MERCY,SIOUX CITY IA
Latest UPDATE:Mei 18, Alhamisi Saa 4:30 Usiku (Masaa ya Afrika Mashariki)Habari za HIVI PUNDE kutoka Hospitali ya Mercy, Sioux City IA MTOTO Doreen amemaliza KUFANYIWA UPASUAJI wa UTI wa MGONGO, kwa...
View ArticleTAARIFA YA KIFO CHA BADRU KAITABA
Bukobawadau imepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha Kaka yetu,rafiki yetu Badru Kaitaba aliyekuwa Dereva maarufu na mchezaji wa Zamani Balimi FC kilichotoke katika hospitali ya rufaa ya Bugando leo...
View ArticleMkutano wa 18 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni kwenye Mkutano wa 18 wa...
View ArticleTANZIA:KIFO CHA BADRU KAITABA
Bukobawadau imepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha Kaka yetu,rafiki yetu Badru Kaitaba aliyekuwa Dereva maarufu na mchezaji wa Zamani Balimi FC kilichotoke katika hospitali ya rufaa ya Bugando Leo...
View ArticleRIPOTI YA UCHUNGUZI WA MCHANGA WA DHAHABU :Rais Magufuli ameivunja rasmi bodi...
Huu ni muhtasari wa kamati ya uchunguzi wa mchanga wa madini kama ulivyowasilishwa na mwenyekiti wake Prof Mruma hii keo Ikulu!. HADIDU ZA REJEA!. 1.Kamati ilikuwa na kazi ya kuchunguza aina na kiwango...
View ArticleBancABC wins best emerging Bank in Tanzania
BancABC has been announced as the Best Emerging Bank in Tanzania for the year 2017. The bank won the award during The Banker Africa – East Africa Awards 2017 which were held in Nairobi last...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA KAMATI MAALUM YA KWANZA ILIYOFANYA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya uchunguzi wa mchanga wa madini mbalimbali uliotakiwa kusafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini...
View ArticleR.I.P Ivan Semwanga (The Don)
TANZIA aliyekuwa mme wa zamani wa wa Zari amefariki dunia.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi,R.I.P Ivan12.12.1977 -25.05.2017
View ArticleMASHINDANO YA COPA UMISSETA YAZINDULIWA JIJINI DAR
Mchezaji wa Shule ya Sekondary Chang’ombe, Hamad Hemed (kulia), akiwania mpira na mchezaji wa Shule ya Makongo, Muksin Mohamed, wakati wa michuano ya Copa/UMISSETA yaliodhaminiwa na Kampuni ya...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKE WAKE MAMA JANETH WAWATEMBELEA WAGONJWA NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Mzee Francis Maige Kanyasu(Ngosha) aliyelazwa Wodi ya Mwaisela katika...
View ArticleTANZIA:KIFO CHA PHILEMON NDESAMBURO
#TANZIA:Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi mjini na Mwenyekiti wa mkoa wa Kilimanjaro (CHADEMA) Philemon Ndesamburo amefariki ghafla wakati alipokuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya...
View ArticleWAZIRI WA KLIMO MIFUGO NA UVUVI, MH. CHARLES TIZEBA TAYARI AMEWASILI MANISPAA...
Mh. Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh. Charles Tizeba, akisalimiana na Msajili wa Bodi ya Maziwa, Bwn. Nelsoni Kilongozi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ofisi za Mkuu wa Mkoa Kagera mapema...
View ArticleYANAYOJIRI VIWANJA VYA KYAKAILABWA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZIWA
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh. Kinawiroakitoa takwimu za Zao la Maziwa kwa Mkoa wa Kagera, mapema kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi.Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa Kitaifa Mkoani Kagera Mh.Waziri wa...
View ArticleMAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA BUKOBA KWENYE MKAKATI WA KUHAMIA RUBALE.
Pichani Mwenyekiti  wa Halmashauri  ya Wilaya ya Bukoba, Mh. Murshidi Hashim Ngeze, akizungumza na hadhala iliyohudhuria Mkutano wake Katani Rubale Bi Asuma Kokugonza Bantanuka, (Diwani viti maalum...
View Article