$ 0 0 Msemaji Mkuu wa Serikali:Leo tumefanya uamuzi mgumu kwa maslahi ya Taifa na taaluma ya habari kwa kulinda misingi mitatu adhimu ya kitaaluma: ukweli, staha na haki.