Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live

HATI MILIKI ZA ARDHI ZA KIMILA ZINAKUBALIKA KATIKA TAASISI ZA KIFEDHA KUPATA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

'PEDESHEE NDAMA' AACHIWA HURU

Mfanyabiashara Shaban Hussein maarufu kama ''Pedeshee Ndama'' ameachiwa huru baada ya kutimiza masharti ya dhamana na kulipa faini ya Shilingi Milioni 200. - Mahakama ilimhukumu kifungo cha miaka 5...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 48 CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 LEO TAREHE...

#Serikali imeanza kutoa posho kila mwezi kama motisha kwa Walimu Wakuu,Wakuu wa Shule na Waratibu Elimu Kata ili kuimarisha uongozi na usimamizi wa elimu. #Serikali inafanya mapitio ya majukumu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAZETI LA MAWIO LAFUNGIWA KWA MUDA WA MIEZI 24.

Msemaji Mkuu wa Serikali:Leo tumefanya uamuzi mgumu kwa maslahi ya Taifa na taaluma ya habari kwa kulinda misingi mitatu adhimu ya kitaaluma: ukweli, staha na haki.

View Article

KAULI YA BABA WA TAIFA KUHUSU RUSHWA NA MASLAHI YA TAIFA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO CHA UFUNDI ARUSHA (ATC) NA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT)...

CHUO CHA UFUNDI ARUSHA (ATC) NA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT) WASAINI MKATABA WA MASHIRIKIANO(MoU)Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Richard Masika(wa tatu kushoto) na Mkuu wa Chuo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maadhimisho Siku ya Mtoto wa Afrika: Viongozi wa Dini Wakemea Ukatili

Mwakilishi kutoka Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Sheikh Shomari Mchongoma (kushoto) akizungumza katika mkutano wa vyombo vya habari pamoja na viongozi wa dini kutoka BAKWATA, Jumuiya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS SAMIA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA DAR

 Watoto wakikimbia walipokuwa wakiandamana kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kinyerezi, ambapo yalifanyika kimkoa wilayani Ilala, Dar es Salaam leo.Maadhimisho hayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

COSAD TANZANIA NA CLUB YA ROTARY BUKOBA WAKABIDHI MRADI WA MBUZI MMOJA KWA...

COSAD Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Rotary International/Rotary Club of Minneapolis USA (Kupitia tawi la Rotary Club of Bukoba) wametembelea Mradi maarufu kama OWOG- One Woman...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA SAFARI ZA MWANZA BUKOBA TUMIA 'FRESTER BUS' NI MABASI MAZURI YENYE LUXURY

 Habari njema kwa wakazi wa Kagera na Kanda ya ziwa,kampuni ya mabasi ya FRESTER ROAD WAYS' imeanza rasmi safari zake kuelekea Mwanza - Bukoba kwa kuanza na mabasi ya kisasa kabisa kwa kila siku Hili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RASILIMALI YA TANZANIA: ORODHA YA MAPORI YA AKIBA YA WANYAMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIPENDA TANZANIA YANGU, NASIMAMA NA RAIS WANGU

Na Dkt. Hamisi Kigwangalla. Kila siku nashuhudia wananchi wenzangu wakikalamika. Natamani kujibu. Naacha. Natamani kuwakumbusha wananchi wenzangu. Naacha. Nasema mbona sisi ni wepesi kusahau? Natamani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISI YA WAZIRI MKUU YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua akiongea na  wafanyakazi wa ofisi hiyo (hawako pichani) wakati wa mkutano wa kuadhimisha wiki ya Utumishi wa Umma uliofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUONEKANO WA MWEZI LEO BUKOBA

 Camera yetu ikishuhudia muonekano wa Mwezi Jioni ya leo Jumapili June 25,2017 Mjini Bukoba Jumatatu hii Waislamu duniani kote watasherehekea sikukuu ya Idd El ... Kila mwaka tarehe ya Idd huweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASJID JAMIA BUKOBA SALA YA IDD EL FITRI LEO

 Waumini wa Kiislamu Mjini Bukoba leo Jumatatu June 26,2017 wamejumuika katika Sala ya Idd El Fitri  katika Msikiti wa Jamia uliopo katikati ya Mji huo . Sala ya Idd El Fitri ikiwa inaendelea leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YAKUYAJUA KUHUSU BUHAYA NA HISTORIA YA VIJIJI 'EBYARO N’EBISHAMBAGIZO BYABYO'

Kwa ufupi tunakusogea andiko hili kama lilivyoandaliwa na Frt. Delphinus Rwehumbiza. EBYARO N’EBISHAMBAGIZO BYABYO🔵Ishamura⚫️Theol. IV: Kipalapala Omuli BAWA eituruka lya 25 omuhandiki omoi akahandika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali, Wadau wa Habari wakubaliana kujenga uhusiano imara kikazi

Wadau wa Habari nchini wakiongozwa na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania kwa kushirikiana na Wakfu wa Taasisi Huru za Uwazi Afrika (OSIEA) wamefanya semina ya siku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATENGENEZO YA BARABARA MJINI BUKOBA

Mjini Bukoba kinachoendelea ni matengenezo ya kipande cha barabara kilichokuwa kikipingiwa kelele kwa muda mrefu chini ya Manispaa ya Mji.Mitambo ya kazi ikiendelea kurekebisha sehemu ya barabara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA MRADI WA MAJI (ITOMA - KATORO) ULIOFADHILIWA NA BI ZAHARA ABDALLAH

 Bi Zahara Abdallah pichani kushoto amefadhili kikamilifu mradi wa Kisima cha Maji katika Msikiti waTaawal uliopo Katika Kijiji cha Itoma Kata Katoro Bukoba Vijijini,Mradi huo umegharimu  Shingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AGPAHI YAENDESHA KAMPENI YA UPIMAJI MAAMBUKIZI YA VVU MSALALA NA MANISPAA YA...

Shirika la Ariel Glaser Pediatric Aids Healthcare Initiative (AGPAHI) linalojihusisha na mapambano dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi nchini Tanzania limeendesha Kampeni ya Upimaji wa...

View Article
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>