RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UBORESHAJI WA BANDARI YA DAR...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa...
View ArticleMZEE GOTFRIED RWELA MKAZI WA KARAGWE ASHEREKEA MIAKA 100 YA KUZALIWA KWAKE!
Mkazi wa Kijiji cha Kinyinya, wilayani Karagwe mkoani Kagera, Gotfried Rwela akikata keki wakati akisherehekea kutimiza umri wa miaka 100 , katika hafla iliyofanyika nyumbani kwake, jana. Gotfried...
View ArticleMWALIKO WA MISA YA KUMBUKUKUMBU YA MZEE SAMUEL LUANGISA TAREHE 13-16 JULY,2017
Familia ya marehemu Mzee Samuel Luangisa inapenda kuwaalika ndugu jamaa na marafiki katika misa ya kumbukumbu na shughuli ya matanga ya Baba yao Mpendwa itakayofanyika nyumbani kwa marehemu Kitendaguro...
View ArticleTANZIA:KIFO CHA MZEE AL HAJJI GALIATANO
Kwa masikitiko makubwa Familia ya Al hajji Galiatano wa Bukoba inawatangazia kifo cha Mzee wao mpendwa Al hajji Abbakari Galiatano kilichotoa leo Jumamosi July 8,2017 Katika hospitali ya Mkoa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS,SAMIA AMRITHI MAMA SALMA KIKWETE ULEZI WA TANZANIA GIRL GUIDES
Aliyekuwa Mlezi wa Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Mama Salma Kikwete (kushoto) akimkabidhi  Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan bendera ikiwa ni ishara ya kumpatia ulezi wa chama hicho katika...
View ArticleWASHABIKI WA MUZIKI NCHINI WAZISUBIRI KOLABO MATATA ZA COKE STUDIO KWA SHAUKU
Msanii Rayvanny (katikati) akiwa na wasanii wenzake wakifanya moja ya Mashup hivi karibuniMwanamuziki Izzo Business akiwa amepozi ndani ya studio jijini NairobiBaadhi ya wasanii nguli waliopo kwenye...
View ArticleSHUKRANI TOKA KWA FAMILIA YA AL HAJJI ABBAKARI GALIATANO KUFUATIA MSIBA WA...
 Viongozi wa Dini wakiwaongoza Maelfu ya wananchi kushiriki Dua maalum ya kumuombea Alhaji Abbakari Rajabu Galiatano kabla ya shughuli ya mazishi yaliyofanyika nyumbani kwake kijijini Buganguzi...
View ArticleHALMASHAURI YA WILAYA BUKOBA YAPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2015 - 2016
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bukoba, Bi Mwantum Dau akizungumza na wajumbe wa Kikao wakati wa  kujadili Ripoti ya CAG. Bi Mwantum amekuwa Kiungo Kikuu katika Kufikia Mafanikio ya Halmashauri tangu...
View ArticleMH RAIS WA JAMUHURI YA BURUNDI AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI NA KUPOKELEWA...
Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza akiwasalimia wananchi wa Mji wa Ngara  kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Posta Mjini Ngara  20 Julai 2017Rais wa Jamuhuri ya...
View ArticleMISA YA SHUKRANI YA MAREHEMU Sir GEORGE CLEMENT KAHAMA HUKO KAYANGA-KARANGWE
Kutoka Kayanga Karagwe nyumbani kwa marehemu Sir George Kahama katika Misa ya Shukrani iliyoandaliwa na familia yake tarehe 19 July,2017.  Baba Askofu Kilaini akitoa neno mara baada ya kusimikwa kwa...
View ArticleSHAKA AMALIZA ZIARA YA KIKAZI WILAYA YA MAGU, ATUA WILANI UKEREWE
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka, akishiriki Kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Kata ya Mwamanga wilayani Magu Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka,...
View ArticleBALOZI KAMALA ATAKA WAKANDARASI WANAOPEWA MIRADI MISSENYI KUIKAMILISHA VIZURI
 Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala amewataka wakandarasi wanaopewa kutekeleza miradi ya maendeleo wilaya ya Missenyi kukamilsha miradi kikamilifu vizuri na kwa wakati. Balozi...
View ArticleSHEREHE ZA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAFUTA GHAFI TOKA HOIMA...
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani anawaalika wananchi katika halfa ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga, Tanzania....
View ArticleWASICHANA WAISHUKURU TGGA KUFANIKISHA ZIARA YA MAFUNZO NJE YA NCHI
 Wasichana wanachama wa Tanzania Girl Guides wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, wakitokea kwenye ziara ya programu ya miezi sita ya mafunzo ya kubadilisha uzoefu...
View ArticleKATIKA KONGAMANO LA KIISLAMU LA AFRIKA MASHARIKI WILAYANI MULEBA LEO JULY...
Jamii imetakiwa kuwatambua na kuwathamini wanawake kwenye ngazi mbalimbali kwa lengo la kuwatumia kuepukana na matendo yanayoweza kuhatarisha usalama na matukio yanayoangamiza dunia ya kuvunja...
View ArticleWAZIRI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA BALOZI MTEULE WA UGANDA...
• Kikao cha Ujirani Mwema Kati ya Tanzania na Uganda chafanyia Mjini Bukoba Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Augustine Mahiga akiwa Mkoani Kagera apokea nakala za hati za...
View ArticleENEO LA KIHISTORIA HUKO MPAKANI KAKUNYU
Katika picha ni Mawe namba 28 na 29 yaliyowekwa na Mkoloni Mjerumani mwaka 1902 kuwa mpaka wa Tanzania na Uganda eneo la Kakunyu Wilayani Missenyi. Hii ni mipaka ya kikoloni lakini Tanzania na Uganda...
View ArticleTANZANIA NA UGANDA ZAKUBALIANA MASUALA MAKUU MANNE YA USHIRIKIANO KATIKA...
Na: Sylvester Raphael Hatimaye mkutano wa ujirani mwema kati ya Tanzania na Uganda umemalizika leo Julai 29, 2017 majira ya jioni kwa Mawaziri wa nchi hizo mbili kutiliana saini hati za makubaliano ya...
View ArticleHAKIKA WAMEPENDEZA BW GHALIB NA BI AIDAH
Naam!Wahaya wanasema 'Banula'!! Na kila mmoja alipenda namna wawili hawa walivyopendeza ni ndani ya ukumbi wa Linas Bukoba,tukio lililochukua kasi na kuwavutia watu wengi ni mwendo wa shangwe,Ndelemo...
View Article